Kinywaji gani chenye kilevi lakini madhara yake si makubwa hapa Tanzania?

budagala

Member
Jun 11, 2015
54
112
Asilimia kubwa ya vitu vingi tunavyovitumia inasemekana vina madhara.Nasikia hadi soda eti zina madhara pengine kuliko hata baadhi ya pombe.

Kwa lengo la kuwasaidia watanzania wenzetu,pombe ipi angalao madhara yake ni kidogo kuliko zingine?

Je ni spirit,lager,light,red wine au ni ipi?Siyo lazima kutaja moja kwa moja jina la kiwanda au brand name sababu inaweza ku promote au kuharibu biashara ya watu.Tutumie lugha za waliosoma CUBA tu
 
Wewe sema unataka kujifunza pombe. Kitu chocjote ili kisikudhuru ukitumie kwa kiasi. Kila la hedi katik safari yako ya ulevi
 
Kinywaji kisichokuwa na Shida ni Maji Pekee,Vilivyobaki vyote vinaleta matatizo mwilini!,ACHA!
 
Back
Top Bottom