makubaliano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    JamiiForums Tanzania FCS, Vodacom Foundation wasaini makubaliano kuelekea Wiki ya Azaki

    Shirika la The Foundation for Civil Society (FCS), na Vodacom Tanzania Foundation wamesaini makubaliano ya mkataba wa mwaka mmoja wenye thamani ya Shilingi milioni 150 ikiwa ni udhamini wa Wiki ya AZAKI 2024, itakayofanyika Jijini Arusha kuanzia Septemba 9 hadi 13, 2024. Akizungumza katika...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania FCS yasaini makubaliano ya kuboresha Wanawake, Vijana na Wenye Ulemavu katika uendeshaji wa biashara

    Foundation for Civil Society (FCS) na TradeMark Africa wamesaini makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa kuboresha mazingira wezeshi na jumuishi ya kibiashara kuhakikisha Wanawake, vijana na watu wenye ulemavu wanajumuishwa kikamilifu katika uendeshaji wa biashara, kukabiliana na changamoto kubwa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ukigeu geu wa Israel kuelekea makubaliano ya kusimamisha vita, kikwazo kwa Amani Gaza!

    1. Yamekuwapo mazungumzo kwa azimio thabiti la makubaliano ya kusimamisha vita linaloendelea kujadiliwa kwa takribani miezi 2 sasa. Pendekezo hili likiwekwa mezani na Marekani, Qatar na Egypt kwa pamoja mbele ya HAMAS na Israel, mahasimu; wafikie makubaliano sasa. HAMAS wayakataa mapumziko...
  4. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Lissu na Muungano wa mchongo, aeleza kutekwa kwa Jumbe

    Tundu Lissu akielezea kuhusu muungano wa mchongo. Aelezea kuhusu wapinga muungano wa kizanzibari kutekwa na kuwekwa vizuizini, Jumbe na wenzake. Sikilizeni hapa cheche zake.
  5. Uchumi TV

    JamiiForums Tanzania Wenje na Chief wanaongelea makubaliano chadema na polisi juu ya maandamano yao

    Katika mahojiano yaliyofanywa kati ya kituo kimoja cha TV mtandao na kiongozi wa Chadema kanda ya ziwa Ezekiel Wenje na chief kalumuna wa chadema kagera ni kywa wamekubalina na polisi juu ya kulinda maandamano yao ya april 22 mjini bukoba na kuwa njia walizoruhusiwa kupita ni kutoka kashai...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Uingereza zasaini Makubaliano ya Kukuza Ushirikiano (Mutual Prosperity Partnership - MPP)

    SERIKALI ya Tanzania na Uingereza zimesaini Makubaliano ya Kukuza Ushirikiano (Mutual Prosperity Partnership - MPP) yanayolenga kuchochea maendeleo katika sekta za kiuchumi zikijumuisha uwekezaji, biashara na miundombinu. Makubaliano hayo yameshuhudiwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais...
  7. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kakwenza Rukira aweka Makubaliano ya Siri na Umoja wa Ulaya kuhamasisha Ushoga Uganda

    Katika pitapita mitandaoni nimekutana na huyu chawa wa Mtoto wa Rais Museveni, Kainerugaba Muhoozi akimtuhumu Kakwenza Rukira kuingia makubaliano ya siri na umoja wa Ulaya nchini Uganda katika kuhamasisha ushoga nchini humo. Nakumbuka Uganda imezuia mahusiano ya jinsia moja na Rais Museveni...
  8. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Toyota yasaini makubaliano ya Kuunda Magari yake nchini Kenya

    Kenya na Toyota Tsusho Corporation ya Japani wametia saini makubaliano ya mfumo wa ushirikiano katika utengenezaji wa magari na maendeleo ya nishati mbadala. Makubaliano hayo yatawezesha Toyota kuanzisha kiwanda cha kutengeneza magari nchini. kampuni imefanya uwekezaji wa awali wa Kshs 800...
  9. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jeshi la Polisi: Hatujakubali au kukataa maandamano, tutawapa majibu tarehe 23

    Mbombo ngafu.....jidanganye kwamba maandamano yamekubaliwa!!!! ====== Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema limekutana na Viongozi wa CHADEMA na kuwahoji kuhusu maandamano waliyopanga kuyafanya January 24,2024 na wamekubaliana kuwa watawapa majibu kimaandishi kesho January...
  10. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Makubaliano na Jeshi la Polisi yamefikiwa kuwa maandamano yataendelea kama yalivyopangwa

    Ameandika Mbowe katika ukurasa wake wa mtandao wa X; "Team yetu ya Chama ikiongozwa na Naibu Katibu Mkuu, Bara Mhe Benson Kigaila imekuwa na kikao na Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum, Dar Es Salaam ACP Jumanne Muliro na timu yake kuhusiana na Maandamano ya Amani yanayopangwa na kuratibiwa na...
  11. Mwanamwana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kujiondoa katika makubaliano ya uingizaji wa mafuta na Saudi Arabia

    Nchi ya Kenya inatafuta kujiondoa katika makubaliano ya Serikali kwa Serikali (G2G) na Saudi Arabia ikieleza kuwa inaleta upotoshaji kwenye soko la ubadilishaji wa fedha na kukiri kwamba imekosa kulegeza shinikizo kwenye dola. Makubaliano ya G2G yaliyoanzishwa na Rais William Ruto mwezi wa...
  12. Webabu

    JamiiForums Tanzania Mapigano makali yaibuka mpakani na Israel. Makombora ya Hamas yatua miji ya kusini ya Israel huku makubaliano mapya kuhusu misaada ikifikiwa

    Ikiwa ni siku ya 110,zaidi ya miezi 3 tangu vita vianze mapigano makali yameripotiwa kwenye mpaka wa Israel na Gaza na kupelekea Israel kuamua kurudisha baadhi ya vikosi ilivyokuwa imeviondoa kaskazini ya Gaza. Katika mapigano ya jana Hamas ilifanikiwa kurusha makombora kadhaa kulenga maeneo ya...
  13. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Man Utd yafikia makubaliano na Sir Jim Ratcliffe, ambapo atamiliki 25% ya hisa za Klabu hiyo

    Hatimae kile kitendawili cha umiliki wa Man Utd kimeteguliwa leo kwa ambapo klabu hiyo imefikia makubaliano na Sir Jim Ratcliffe ambaye ni Mwenyekiti wa Kampuni ya INEOS kumiliki asilimia 25 Klabu hiyo. Ikimbukwe wamiliki wa Man Utd bado watabakia familia ya Glazzer kwa asilimia 75. Sir Jim...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa TRC, Kadogosa asema “Hatuna makubaliano yoyote ya kubadilisha mkandarasi wa SGR”

    Maswali kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa kuhusu Mradi wa Reli ya SGR. Swali: Kuna changamoto kadhaa na malalamiko yanayoripotiwa na Wafanyakazi wa SGR hasa Lot 3 na 4, nini kinachoendelea? JIBU: Changamoto kwenye miradi mikubwa ni jambo la kawaida...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yaingia makubaliano na Shirika la Nyumba Zanzibar (ZHC)

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Zanzibar (ZHC), Mwanaisha Ali Said, na Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya CRDB, Stephen Adili. Kwa pamoja walisaini makubaliano ya ushirikiano kati ya Benki hiyo na Shirika la Nyumba La Zanzibar (ZHC) yenye lengo la kuwawezesha Wafanyakazi na...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Uganda zaingia makubaliano ya kusafirisha shehena kupitia Bandari ya Dar es Salaam

    Tanzania na Uganda zimeingia makubaliano ya kuongeza usafarishaji wa Shehena ya Mizigo kutoka Bandari ya Dar es Salaam kwenda Uganda kupitia ushoroba wa Mwanza. Makubaliano hayo yamesainiwa kati ya Waziri wa Uchukuzi wa Tanzania Prof. Makame Mbarawa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Uganza...
  17. Webabu

    JamiiForums Tanzania Israel ilipovunja makubaliano na Hamas wakazuia mateka

    Kwa kweli Israel wamebanwa sana katika hii vita.JWanapigana na mtu ambaye anawafahamu sana hasa katika suala la kuvunja makubaliano na kutotekeleza maazimio.Kwa kujua hilo Hamas wamekuwa wakiendesha vita vyao kwa vipimo madhubuti sana. Katika siku ya pili ya utekelezwaji wa makubaliano ya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Isreal yakiuka makubaliano ya kusitisha vita

    Photos: UN, Red Crescent staff rescue man shot by Israeli forces in Gaza The incident took place on main road in the Zeitoun district on the southern outskirts of Gaza City. https://x.com/qudsn/status/1728336182671479295?s=20 Nb Siku Israel ataporipuwa Vatican ndio wakiristo wa Buyu...
  19. Ritz

    JamiiForums Tanzania Israel na Hamas zinakaribia kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano na kubadilishana mateka na wafungwa

    Wanaukumbi. Maafisa wa Hamas 'wanakaribia kufikia makubaliano ya mapatano' na Israel na kundi hilo limetoa majibu yake kwa wapatanishi wa Qatar, Ismail Haniyeh alisema katika taarifa. Taarifa hiyo haikutoa maelezo zaidi, lakini afisa wa Hamas aliiambia Televisheni ya Al Jazeera kwamba...
  20. Sheillah Sheillah

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi fundi kupiga picha kazi aliyopewa aifanye, na kuitumia kujitangaza bila makubaliano na mwenye kazi?

    Habari? Unamtafuta fundi kisha unampa kazi yako na unampa malipo yake kama mlivyokubaliana. Akimaliza kufanya kazi yako anaipiga picha na kuianika mitandaoni akijitangaza kwamba ni yeye kaifanya. Hapa mfano mkubwa ni fundi wa ujenzi, deco, kupaua ,rangi nk. Wanafanya kazi kisha wanapiga...
Back
Top Bottom