Makubaliano ya uwekezaji wa bandari ni "kick" ya CHADEMA iliyobuma

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
2,590
4,603
Suala la uwekezaji wa bandari limeenda kinyume na matarajio ya wengi walioamini kupitia suala hili watapata uungwaji mkono na vyama vyao vitazidi kukubalika Zaidi lakini imekuwa ni tofauti, na suala hili linawatesa Zaidi waliolikuza kama "agenda" ya kisiasa.

Kuna baadhi ya wanachama wa CHADEMA wakiongozwa na Mdude Nyagali waliotaka kutumia suala hili kuitisha maandamano ambayo kimsingi ni utaratibu wa kufanya fujo kwenye mfumo wa kidemokrasia. Wengi wanatambua demokrasia ni mfumo unaopendelea mijadala zaidi kuliko maandamano lakini CHADEMA walitaka kuitisha maandamano. Hii ikawa ni kiki ya kwanza iliyobuma.

Kuzunguka nchi nzima kujaribu kupotosha habari za nchi kuuzwa na mambo mengine kupitia uwekezaji wa bandari. Baada ya CCM kuingilia kati na kuelimisha Umma na Umma ukaelewa elimu ya uwekezaji wa bandari walioyopewa na CCM kuliko upotoshaji wa CHADEMA. Hiyo ikawa ni kiki ya pili iliyobuma.

Kwa kiki hii kubuma ambayo naweza kusema "it was last kick of dying horse" ni ishara mbaya kwa CHADEMA hususani kipindi hiki ambacho kunatarajiwa kuwa na uchaguzi mdogo katika Jimbo na Mbarali na uchaguzi wa udiwani katika kata mbalimbali.

Je, tutarajie nini?
Tutarajie CHADEMA kugoma kushiriki uchaguzi huu kwa kisingizio hakuna tume huru?

Tutarajie kulaumiwa kwa CCM pale CHADEMA itakaposhindwa Kwa aibu kwenye uchaguzi huo?

Macho na masikio ya watanzania kwa sasa ni kwenye uchaguzi huu mdogo ili wafahamu, nani kaeleweka zaidi kwenye suala la uwekezaji wa bandari, ni CCM au CHADEMA?
 
0746c3af960d0a1e66004001f147f941.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suala la uwekezaji wa bandari limeenda kinyume na matarajio ya wengi walioamini kupitia suala hili watapata uungwaji mkono na vyama vyao vitazidi kukubalika Zaidi lakini imekuwa ni tofauti, na suala hili linawatesa Zaidi waliolikuza kama "agenda" ya kisiasa.
Suala la Bandar sio suala la Chadema, ni suala la Watanzania wenye kuipenda nchi yal kwa manufaa ya vizazi vijavyo..
20230808_203720.jpg
 
Kosa wanalofanya Chadema kwa Samia ndio kosa hili hili walifanya kwa Jakaya kudharau Uwezo wao wa kisiasa

Wengi waliujua Uwezo na maarifa ya Jakaya ya Kisiasa baada ya kustaafu

Jakaya kila akizungumzia uwezo wa Rais Samia huwa anasifia sana uwezo wake wa kuwa calm panapotokea Zilzala ya kisiasa …uwezo huu walikuwa nao ma Rais wote kasoro Rais wa tano.
 
Suala la uwekezaji wa bandari limeenda kinyume na matarajio ya wengi walioamini kupitia suala hili watapata uungwaji mkono na vyama vyao vitazidi kukubalika Zaidi lakini imekuwa ni tofauti, na suala hili linawatesa Zaidi waliolikuza kama "agenda" ya kisiasa.

Kuna baadhi ya wanachama wa CHADEMA wakiongozwa na Mdude Nyagali waliotaka kutumia suala hili kuitisha maandamano ambayo kimsingi ni utaratibu wa kufanya fujo kwenye mfumo wa kidemokrasia. Wengi wanatambua demokrasia ni mfumo unaopendelea mijadala zaidi kuliko maandamano lakini CHADEMA walitaka kuitisha maandamano. Hii ikawa ni kiki ya kwanza iliyobuma.

Kuzunguka nchi nzima kujaribu kupotosha habari za nchi kuuzwa na mambo mengine kupitia uwekezaji wa bandari. Baada ya CCM kuingilia kati na kuelimisha Umma na Umma ukaelewa Elimu ya uwekezaji wa bandari walioyopewa na CCM kuliko upotoshaji wa CHADEMA. Hiyo ikawa ni kiki ya pili iliyobuma.

Kwa kiki hii kubuma ambayo naweza kusema " it was last kick of dying horse" ni ishara mbaya kwa CHADEMA hususani kipindi hiki ambacho kunatarajiwa kuwa na uchaguzi mdogo katika Jimbo na Mbarali na uchaguzi wa udiwani katika kata mbalimbali.

Je tutarajie nini?
Tutarajie CHADEMA kugoma kushiriki uchaguzi huu Kwa kisingizio hakuna tume huru?

Tutarajie kulaumiwa Kwa CCM pale CHADEMA itakaposhindwa Kwa aibu kwenye uchaguzi huo?

Macho na masikio ya watanzania Kwa Sasa ni kwenye uchaguzi huu mdogo ili wafahamu, nani kaeleweka Zaidi kwenye suala la uwekezaji wa bandari, ni CCM au CHADEMA?
Mkuu nimekupa like siyo kwamba nimeupenda uzi wako Wala wewe,no,ni aibu mwanaume kuposti uzi halafu ukakosa like
 
Nadhan muwe mnajitajidi kuficha ujinga, unapokua Mbumbumbu hakikisha huwi mwepesi wa kupanua mdomo.

Kwahiyo, Akina Shivji, TLS, Dini , watu binafsi wasomi na wasokua wasomi, ndani na nje, hao wote ni CHADEMA??.

IFIKE MAHALI PENYE MASILAHI YA NCHI, PAWE KWENYE MIOYO YETU.
 
Kosa wanalofanya Chadema kwa Samia ndio kosa hili hili walifanya kwa Jakaya kudharau Uwezo wao wa kisiasa

Wengi waliujua Uwezo na maarifa ya Jakaya ya Kisiasa baada ya kustaafu

Jakaya kila akizungumzia uwezo wa Rais Samia huwa anasifia sana uwezo wake wa kuwa calm panapotokea Zilzala ya kisiasa …uwezo huu walikuwa nao ma Rais wote kasoro Rais wa tano.

Kwahiyo Jakaya unaona ni Masta wa SIASA ???

Sikiliza bwana Mdogo.

Kuna watu wanapenda kua viongozi na watatumia wawezalo kua viongozi, hata hivo Huwa wakishaupata huo Uongozi hawajui nn waufanyie Kwa manufaaa ya Nchi .
Mfano wake ni Huyo Jakasamia .

Alafu Kuna Huyu aliitwa JPM, Hawa ndio unasikia ni watu walozaliwa kwaajili ya Maisha wengine, ndo Akina Trump Hawa, Akina Putin , Traore, wengineo.
 
Kila mtu ana uhuru wa kuchambua uongozi wa mtu kwa namna aonavyo inafaaa, Mimi namuona Jk alikuwa Kiongozi Mzuri sana kwny kila eneo kwa mifano halisi lakini pia natambua na Wewe una sababu na ushahidi wa kumuona alikuwa Kiongozi wa hovyo na mifano bila shaka unayo na nina heshimu hilo

Ushamba ni kuamini unaloamini Wewe ndio sheria na kila mtu anapaswa kuamini hivyo na asipoamini hivyo ana tatizo

nikisema Jakaya ni Mwanasiasa mzuri kwa kupanga mikakati na kutekeleza nakuwa na ushahidi wa hilo na Wewe unaweza ukasema nooo hana lolote kila alilopanga alichemka hilo nakubishia vipi?
 
Suala la uwekezaji wa bandari limeenda kinyume na matarajio ya wengi walioamini kupitia suala hili watapata uungwaji mkono na vyama vyao vitazidi kukubalika Zaidi lakini imekuwa ni tofauti, na suala hili linawatesa Zaidi waliolikuza kama "agenda" ya kisiasa.
dwa Kwa aibu kwenye uchaguzi huo?

Macho na masikio ya watanzania Kwa Sasa ni kwenye uchaguzi huu mdogo ili wafahamu, nani kaeleweka Zaidi kwenye suala la uwekezaji wa bandari, ni CCM au CHADEMA?
makuwadi na madalali ya warabu wa dpworld 2025 mtanyooka tu.
 
Kosa wanalofanya Chadema kwa Samia ndio kosa hili hili walifanya kwa Jakaya kudharau Uwezo wao wa kisiasa

Wengi waliujua Uwezo na maarifa ya Jakaya ya Kisiasa baada ya kustaafu

Jakaya kila akizungumzia uwezo wa Rais Samia huwa anasifia sana uwezo wake wa kuwa calm panapotokea Zilzala ya kisiasa …uwezo huu walikuwa nao ma Rais wote kasoro Rais wa tano.
So what? rubbish

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
 
Suala la uwekezaji wa bandari limeenda kinyume na matarajio ya wengi walioamini kupitia suala hili watapata uungwaji mkono na vyama vyao vitazidi kukubalika Zaidi lakini imekuwa ni tofauti, na suala hili linawatesa Zaidi waliolikuza kama "agenda" ya kisiasa.
u mdogo ili wafahamu, nani kaeleweka Zaidi kwenye suala la uwekezaji wa bandari, ni CCM au CHADEMA?
Nadhani suala la Bandari ni muhimu sana kwa Taifa. Kulidogosha na kulifanya suala la Kiki ni kutowaheshimu WaTanzania.
 
CHADEMA imemsaidia Mwabukusi kutengeneza jina lake kisiasa. Kwa sasa Mwabukusi ni mkubwa kuliko CHADEMA nzima. Pia CHADEMA wana kazi nzito ya kujisafisha kwamba hawana udini kwenye siasa zao baada ya kuitisha mkutano uliojaa mapadre, wachungaji na maaskofu. Ikumbukwe CHADEMA bado haijaweza kujisafisha kwenye kashfa ya ukanda na ukabila.
 
Suala la uwekezaji wa bandari limeenda kinyume na matarajio ya wengi walioamini kupitia suala hili watapata uungwaji mkono na vyama vyao vitazidi kukubalika Zaidi lakini imekuwa ni tofauti, na suala hili linawatesa Zaidi waliolikuza kama "agenda" ya kisiasa.

Kuna baadhi ya wanachama wa CHADEMA wakiongozwa na Mdude Nyagali waliotaka kutumia suala hili kuitisha maandamano ambayo kimsingi ni utaratibu wa kufanya fujo kwenye mfumo wa kidemokrasia. Wengi wanatambua demokrasia ni mfumo unaopendelea mijadala zaidi kuliko maandamano lakini CHADEMA walitaka kuitisha maandamano. Hii ikawa ni kiki ya kwanza iliyobuma.

Kuzunguka nchi nzima kujaribu kupotosha habari za nchi kuuzwa na mambo mengine kupitia uwekezaji wa bandari. Baada ya CCM kuingilia kati na kuelimisha Umma na Umma ukaelewa Elimu ya uwekezaji wa bandari walioyopewa na CCM kuliko upotoshaji wa CHADEMA. Hiyo ikawa ni kiki ya pili iliyobuma.

Kwa kiki hii kubuma ambayo naweza kusema " it was last kick of dying horse" ni ishara mbaya kwa CHADEMA hususani kipindi hiki ambacho kunatarajiwa kuwa na uchaguzi mdogo katika Jimbo na Mbarali na uchaguzi wa udiwani katika kata mbalimbali.

Je tutarajie nini?
Tutarajie CHADEMA kugoma kushiriki uchaguzi huu Kwa kisingizio hakuna tume huru?

Tutarajie kulaumiwa Kwa CCM pale CHADEMA itakaposhindwa Kwa aibu kwenye uchaguzi huo?

Macho na masikio ya watanzania Kwa Sasa ni kwenye uchaguzi huu mdogo ili wafahamu, nani kaeleweka Zaidi kwenye suala la uwekezaji wa bandari, ni CCM au CHADEMA?

njoo nikupe maua yako
 
mwisho wa siku bandari inachukuliwa na dp world waseme walie wanye walete ubaguzi wa kidini ws kikabila mwishowe bandari inawekezwa na DP WORLD MWARABU MUISLAMU kama mnavyooita hivyo chadema
 
Back
Top Bottom