Tuambiwe ndege yetu iliyoachiwa kutoka Netherlands imeachiwa kwa makubaliano gani au kwa mabilioni mangapi.

fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
13,819
18,556
Ndege yetu iliyokuwa imeshikiliwa na wawekezaji wa Netherlands kwa miezi zaidi ya sita imeachiwa.

Je ni kwa makubaliano gani au tumelipa kiasi gani? Ni haki ya wananchi kujua mambo haya na serikali isione fahari kutuambia tu kirahisi ndege imeachiwa.

Ni wakati wa ndege zetu kuleta faida na watanzania kufurahia faida na sio kufurahia ndege kuachiwa.

Tuambiwe kukamatwa kwa ndege yalikuwa makosa ya nani na amewajibishwa vipi.
 
Other things must left untold forever. Tukubali tu serikalia sio rahisi kukiri hili publicly
 
Ukiambiwa utapiga kelele. Sirikali Serekali. Jaribu kuelewa kwanza umuhimu wa mikataba
 
Ndege yetu iliyokuwa imeshikiliwa na wawekezaji wa Netherlands kwa miezi zaidi ya sita imeachiwa.

Je ni kwa makubaliano gani au tumelipa kiasi gani? Ni haki ya wananchi kujua mambo haya na serikali isione fahari kutuambia tu kirahisi ndege imeachiwa.

Ni wakati wa ndege zetu kuleta faida na watanzania kufurahia faida na sio kufurahia ndege kuachiwa.

Tuambiwe kukamatwa kwa ndege yalikuwa makosa ya nani na amewajibishwa vipi.
Umeandika nilichokuwa nawaza. Si ajabu wamelipa mamilion
 
Back
Top Bottom