makubaliano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Hatua ya kwanza ya makubaliano kati ya UN, UKRAINE na URUSI inaiwezesha URUSI kuuza nafaka na mbolea bila vikwazo

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema hatua muhimu ya kwanza imefikiwa katika juhudi za kuwezesha nafaka kusafirishwa kutoka Ukraine. Guterres ameeleza kwamba hatua hiyo imefikiwa kwenye mazungumzo ya mjini Istanbul kati ya wajumbe wa Urusi na Ukraine. Wajumbe wa Umoja wa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Makubaliano kati ya Serikali na kampuni ya madini ya Barrick, yametekelezwa kwa kiwango gani mpaka sasa?

    Naomba kujua hawa wanaume wa kampuni ya Madini ya Barrick wametekeleza makubaliano gani mpaka sasa maana tuliahidiwa mengi na makubwa ila kwa sasa ukimya umetawala tofauti na kilichokuwa kinahubiriwa majukwaani. Kwa mfano, ujenzi wa smelter umeshaanza? Na kama umeanza, umefika asilimia ngapi...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mapigano makali yanaendelea DRC vs M23 licha ya makubaliano

    Mashambulizi makali yametokea Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) baina ya Jeshi la Serikali hiyo na wanamgambo wa M23, ikiwa ni nis aa chache tangu Rais wa DRC, Felix Tshisekedi kukubaliana na Rais wa Rwanda, Paul Kagame kupunguza uhasama kuhusiana na mapigano hayo. Msemaji wa...
  4. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Ethiopia na Sudan zafikia makubaliano ya amani

    Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed amesema amefikia makubaliano na kiongozi wa nchi jirani ya Sudan ili kusuluhisha kwa amani mzozo wa mpaka ambao umesababisha mapigano hivi karibuni Mazungumzo kati ya viongozi hao wawili yanafuatia mapigano katika eneo la mpakani mwezi Juni, ambapo Sudan...
  5. babu M

    JamiiForums Tanzania Elon Musk ailaumu Twitter kukiuka makubaliano ya kuinunua kwa kutoa maelezo kuhusu idadi ya spam na fake accounts kama alivyoomba

    Elon Musk ametuma barua ya malalamiko kwa Mkuu wa maswala ya kisheria wa Twitter akisema anaamini Twitter inakiuka merger agreement kwa kutotoa ushirikiano kuhusu idadi ya fake na spam akaunti kama alivyoomba. Wakati wa makubaliano, Twitter alidai spam na fake akaunti zipo chini ya asilimia...
  6. L

    JamiiForums Tanzania China na Tanzania zasaini mpango mpya wa utekelezaji wa makubaliano ya kiutamaduni

    Serikali za China na Tanzania jana Alhamis zilisaini mpango mpya wa 2022-2025 wa utekelezaji wa makubaliano ya kiutamaduni unaolenga kuimarisha ushirikiano wa pande mbili kwenye nyanja mbalimbali. Kwa mujibu wa ubalozi wa China nchini Tanzania, mpango huo uliosainiwa jijini Dar es Salaam na...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kanuni mpya Kikokotoo Inaondoa ubabe wa NSSF. Siasa za Magufuli ziliwabeba waonevu NSSF

    Mwaka 2014 Sheria ya iliyokuwa SSRA ilianza kutumika kulipa mafao na ikasaidia sana kupandisha mafao ya Mfuko wa NSSF na iliyokuwa PPF ambayo ilikuwa inawanyonya kisheenziii wastaafu kabla ya 2014 Julai. Hata baada ya Kanuni hiyo Mfuko wetu wa NSSF uliendelea kuwanyonya wastaafu wengi kwa kigezo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Japan na Ujerumani zinakaliwa na Marekani kimabavu na hazina jinsi ila kujifanya ni makubaliano

    Japan ilikuwa ni mshirika mkubwa wa Hitler kwenye vita kuu ya pili!! Japan walikuwa ni wababe wa vita na wakatili sana!! Waliwatesa sana wachina na korea ya kusini enzi hizo. Hadi leo Wachina na wakorea ya kusini hawaivi kabisa na wajapan. Baada ya vita kuu ya pili Hitler na Japan waliposhindwa...
  9. Monica Mgeni

    JamiiForums Tanzania Sikia makubaliano mapya kati Tanzania na jiji la Dallas, Marekani

  10. B

    JamiiForums Tanzania TPA na kampuni ya Dangote waingia makubaliano ya kibiashara kupitia bandari ya Mtwara

    Mamlaka ya usimamizi wa bandari Tanzania (TPA) Leo Jumatano Machi 16, 2022 imeingia makubaliano ya kibiashara na kiwanda cha Saruji cha Dangote kilichopo Mkoani Mtwara yenye lengo la kurahisisha usafirishaji wa Saruji kwa kutumia bandari ya Mtwara. Makubaliano hayo Yanawezesha kampuni ya...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia arejea kutoka Dubai na makubaliano 36 yaliyobeba trilioni 17.1 zenye ajira 204,575

    Na Bwanku M Bwanku Leo Jumanne kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua ziara ya siku 3 ya Rais Samia Suluhu Hassan kule Falme za Kiarabu (UAE) ambapo Jana Jumatatu Februari 28, 2022 alirejea nchini kutoka kwenye ziara hiyo ambayo pamoja na mambo mengine alishiriki matukio mawili...
  12. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Wamagharibi kumbe kweli walikubaliana na Urusi kutoongeza Wanachama wa NATO kuelekea Mashariki, gazeti laibua ushahidi

    Kumbe Nchi za Magharibi walikubaliana na Urusi kuwa hawata utanua umaja wa kujihami wa nchi hizo,yaani NATO. Lakini kumbe kwa Hila zao za kutaka kuizunguka kijeshi Urusi wakaendelea kujiunga nchi nyingine katika umoja huo. Urusi ilikua mstahamilifu na mvumilivu.waliziunga nchi kama...
  13. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuandaa Mkataba kati ya Mpangaji na Mpangishaji wa Nyumba za familia

    Kumbuka kuwa thamani ya nyumba ya biashara inaweza kuathiriwa na muda wa mkataba wa upangishaji wa nyumba husika. Nyumba ya biashara yenye mkataba wa upangishaji wa miaka mingi inakuwa na thamani kubwa ukilinganisha na nyumba ya biashara yenye mkataba wa miezi michache tu. Vilevile jambo hili...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Maandamano zaidi yapangwa kufanyika Sudan, Waziri Mkuu atoa wito wa makubaliano ya kisiasa

    Waziri Mkuu Abdalla Hamdok amesema utulivu na umoja wa Sudan uko hatarini. Hamdok ametoa wito wa kuwepo kwa makubaliano ya kisiasa, ili kulinda nchi siku zijazo, wakati taifa hilo likiwa limegubikwa na maandamano makubwa ya kupinga mapinduzi ya kijeshi. Akizungumza kabla ya maandamano...
  15. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Makubaliano ya Rais Samia na Rais Kenyatta kuhusu makazi na ardhi ni hatari Sana kwa Watanzania

    Salama wandugu, nimesikitika eti huyu mama amesaini makaratasi kuhusu uhuru na suluhu za kibiashara Sasa Jambo moja linanipa ukakasi ni Juu makaratasi ya makazi na ardhi wandugu wakenya siyo wa kuwachekea watahodhi ardhi ya Watanzania, kwanini asiwapeleke Zanzibar wakamiliki ardhi .
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Usitoe ahadi kuwa utamuoa au akuoe kabla hamjakubaliana. Kitakachokutokea utajuta

    Mahusiano ni sehemu ya maisha yetu na kwa wale ambao wanaingia kwenye mahusiano ndio wanaongoza kuwa na ahadi kama kichwa cha habari. Ahadi kuwa utamuoa au akuoe hii kitu usije kufanya kama hujatulia, bado ujapanga kufanya hivo. Ahadi kuwa utamuoa au akuoe ina matatizo makubwa mpaka wengine...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Sudan: Wananchi waandamana kupinga Makubaliano yaliyomrejesha Hamdok madarakani

    Maelfu ya watu wameandamana katika Mji Mkuu wa Sudan, Khartoum pamoja na Miji mingine. Vikosi vya Usalama vimetumia mabomu ya machozi dhidi ya Waandamanaji katika Mji wa Omdurman. Wananchi walikusanyika kutoa heshima kwa waliouawa na Vikosi vya Usalama. Pia, wamepinga Makubaliano yaliyomrejesha...
  18. beth

    JamiiForums Tanzania Sudan: Mawaziri 12 wajiuzulu kupinga makubaliano na Jeshi

    Mawaziri 12 wamewasilisha barua za kujiuzulu kwa Waziri Mkuu Abdalla Hamdok aliyerejeshewa Madaraka siku kadhaa zilizopita. Wamefanya hivyo kupinga Makubaliano ya Kisiasa kati ya Waziri Mkuu na Baraza la Kijeshi. Hamdok alirejeshwa Madarakani baada ya kusaini Makubaliano na Jenerali Abdel...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Boomplay na capasso zatia saini kuendeleza makubaliano ya kimkakati

    JOHANNESBURG, AFRIKA KUSINI-App na jukwaa linaloongoza barani Afrika kwa huduma ya kusikiliza na kupakua muziki, Boomplay limeingia makubaliano ya ushirikiano na Chama kinachosimamia hakimiliki za watunzi na waimbaji wa muziki (CAPASSO) ikiwa ni mkakati wa Boomplay kuendelea kupanua huduma zake...
  20. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Donald Trump: Rais aliyeharibu makubaliano ya JCPOA

    Marekani hawajawahi kupata rais mpuuzi, mpumbavu na kichaa kama Donald Trump Huyu Bwana akili zake hazikua nzima, ni Rais aliyeitia dunia hasara, na aliyewatia Marekani hasara Jamaa alianzisha vita ya biashara na China matokeo yake yakaathiri hadi za dunia ya tatu, Shipping cost ziliongezeka...
Back
Top Bottom