crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,410
- 3,376
Wiki kadhaa zilizopita Iran na marekani walifikia makubaliano ya kubadilishana wafungwa.
Makubaliano hayo yalihusisha kuachiliwa zaidi ya Dolla billion 6 (zaidi ya trillion 12 za kitanzania) , Mali ya Iran ambazo marekani ilizizuia kutokana na vikwazo vyake kwa taifa Hilo kwa ajili ya matumizi ya kibinadam huko Iran.
Rais wa Iran alipoulizwa kuhusu Hilo alisemaa Iran itazitumia pesa hizo popote inapotaka kwa sababu Ni zake lakini waziri blinken wa marekani alisema Ni kwa matumizi ya kiraia "and we have the means to do that"
Wafungwa waliachiliwa lakini imekuja kugundulika kuwa marekani wamefikia makubaliano na Qatar,mpatanishi wa dili Hilo kuwa hizo pesa haziendi popote
Source:rt