makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. Pants Road Tabata Segerea na Kinyerezi Mh. Makonda amka

    Hawa watoto wamejaa mh mkuu wa mkoa weka vijana wako. Wanakata,wanapiga mapanga, wanapora, wanavunja, wanatwaa flat screen, Simu, yaan hawana huruma na korona hii wao kata funua. Jamani msaada wa patrol Error. Please correct Panya road
  2. Kilichompata Andrew Mayalla Baba wa Pascal Mayalla kutoka Kwenye system (Wasiojulikana wanaotambulika)

    Mzee Mayalla, RSO, RPC, DSO na OCD wa Mwanza wote walistaafishwa kwa manufaa ya umma, walihamishwa usiku usiku na kurudishwa kijijini (detention fulani za Nyerere). Wakati yote haya yakifanyika, bwana Pascal Mayalla alikuwa mdogo sana, hakujua hili wala lile, hadi ilipoanza kuunguruma, Kesi ya...
  3. K

    RC Makonda na Mambosasa, kwa hili la baadhi ya watu kutokuvaa barakoa DSM mnamuangusha Rais

    Wakuu amani iwe kwenu, Rais Magufuli mara nyingi amesisitiza watu kuvaa barakoa ili kujilinda na kulinda wenzao dhidi ya kuenea kwa ugonjwa hatari wa corona. Rais amesisitiza sana hili na nilitegemea viongozi wa chini akiwemo Mkuu wa Mkoa DSM, Wakuu wa wilaya zote, Kamanda wa kanda maluum ya...
  4. W

    Vita dhidi ya corona: RC Makonda aiombea Dar na Tanzania

    Salamu kwenu. Kupitia Wasafai FM 89.9 Mh. Makonda ameongoza ukemeaji kwa njia ya maombi dhidi ya corona. Ameendelea kutoa tafakari/mahubiri ya mistari kadhaa kutoka ktk biblia. Mf. Isaya 18:1. Hakika Dar tunakiongozi mwenye kipaji kama ambavyo daima amethubutu katika maamuzi mbali mbali...
  5. Hivi RC Makonda ametekeleza ahadi yake ya kuwakamata wabunge wa Chadema, aliowaita wazururaji ambao aliwafananisha na changudoa?

    Jana mnamo majira ya saa 6 mchana, tulimsikia RC Makonda, akitoa amri kwa wabunge wa Chadema, ambao waliamua kutoendelea na vikao ya Bunge, kwa kile walichokiita kujiweka karantini kutokana na hofu ya ugonjwa wa COViD 19 Akawapa saa 24 wawe wamerejea kuendelea na vikao hivyo vya Bunge na kama...
  6. H

    Harmonize ni msanii aliyekosa ‘Focus’

    Harmonize Ni msanii mzuri aliyekosa focus ajui kipi Cha kusimamia na kipi cha kusimamia leo atakuja na hili kesho yake atakuja na lingine ataacha la mwanzo.Alivyotoka wasafi alianzisha bus la mgahawa wakutoa chakula bure lakini imeishia njiani sasa sijajua alikuwa ana Nia ya dhati au alikuwa...
  7. T

    Kauli ya Makonda huenda ikaibua mgogoro mkubwa wa Kikatiba

    Nipo mahali nimejichimbia nasikia zakunyapia nyapia kauli aliyo itowa mh Makonda ikiwa itatekelezwa itaibua mgogoro mkubwa wakikakatiba jambo litaisumbuwa serikal na hasa ukizingatia mh Makonda yeye sii sehem ya bunge wala sio msemaji wa Bunge. Pili mwenye Mamlaka na wabunge sio Serikal kuu...
  8. RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

    Mkuu wa Mkoa wa DSM, Paul Makonda ametoa saa 24 kwa Wabunge wote waliokimbia kushiriki vikao vya Bunge na kwenda Dar es Salaam kula bata, kuhakikisha wanarudi Bungeni tofauti na hapo, watakamatwa kwa kosa la uzururaji kama wanavyokamatwa machangudoa wanaozurura usiku. RC Makonda amesema kwa...
  9. Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

    Wanabodi, Kwa mujibu wa Rais Magufuli wametuma sample za mimea na wanyama kwa kuzipa majina ya binadamu kwenye maabara kuu ya Taifa Dar es Salaam kwa siri bila wapimaji kufahamu baada ya kupimwa zimetest positive yaani zina corona Hapa ndipo Magufuli ameprove uwana-science wake. Je? Tatizo ni...
  10. RC Makonda atangaza vita na wanaopandisha bei ya sukari, msako mkali kuanza kesho

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo ametangaza vita na Wafanyabiashara wanaouza Sukari kwa bei ghali tofauti na bei elekezi ya Serikali ambapo amesema ifikapo Kesho kikosi kazi kitafanya ukaguzi na watakaobainika kuuza bidhaa hiyo kwa bei ya juu Watakamatwa na Sukari kutaifishwa...
  11. N

    VIDEO: Best speech ya Makonda, tumekaribia nchi ya ahadi, hii video inanipa moyo sana

    The best speech ever kutoka kwa mkuu wa mkoa bora kabisa tangu hii nchi ipate uhuru,tumekaribia kufika nchi ya ahadi TUPO PAZURI MNOO,NARUDIA TUPO PAZURI MNOOO Watakuja hapa vibaraka wa mabeberu kupinga lakini nakuhakikishia KISHINDO CHA AWAMU YA TANO kimegonga kote duniani na heshima ya nchi...
  12. Jumuiya ya Mabohora Tanzania wamkabidhi RC Makonda vifaa vya kujikinga na Corona

    Jumuiya ya Dawoodi Bohora Tanzania leo imekabidhi vifaa mbalimbali vya kujikinga na corona vyenye thamani ya Shilingi Milioni 27 kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda kwa lengo la kuwakinga wananchi wa Mkoa huo. Akipokea Vifaa hivyo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa, Mganga Mkuu wa Mkoa...
  13. Je, ni kweli Makonda alitoa agizo la jiji la Dar es Salaam kupuliziwa dawa ya kuzuia corona kwa niaba ya Rais John Pombe Magufuli?

    Ili kuwalinda wakazi wa Mkoa wake wa Dar es Salaam, Mh. Paul Makonda amedai alilazimika kuchukua hatua hiyo kwa niaba ya Rais Magufuli. Kama dai lake hili ni la kweli, nadhani uchunguzi kama unahitajika kufanyika, video hizi hapa chini ni ushahidi wa kutosha.
  14. Kama mwandishi wa habari Talib Ussi amesimamishwa kazi kwa kutoa ripoti ya corona, ni kwanini Makonda anaendelea na kazi kwa kufanya kosa hilo hilo?

    Tulielezwa kuwa wenye mamlaka ya kutangaza wagonjwa wa corona nchini ni watu watatu, ambao ni waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, waziri mkuu Kassim Majaliwa na Rais mwenyewe, John Magufuli Upande wa Zanzibar, anayeruhusiwa kutoa ripoti yoyote ya wagonjwa wa corona, ni waziri wa afya wa huko, Hamad...
  15. Rais Magufuli muongeze RC Makonda aongoze mapambano ya Covid-19

    Pole na majukukumu hapo Chato, Mheshimiwa Rais wangu. Baada ya kuwaza sana juu ya kuongezeka kwa idadi ya wagonjwa corona naomba nikuombe bomoa zile kamati muweke RC Makonda aongoze mapambano kwa sababu zangu ninazoziona. Kwanza Makonda akili imesha mkaa sawa sasa hivi naona ameamua kuongoza...
  16. RC Makonda: Yeyote anayeenda katika eneo la manunuzi lazima avae barakoa. Kwenye misongamano watu wakae umbali wa mita 2

    Mkuu wa mkoa wa Dar, Paul Makonda ameagiza kuwa mtu yeyote anayeenda katika eneo lolote la manunuzi lazima awe amevaa barakoa (mask). Amesema haijalishi ila lazima watu wavae barakoa “Ununue, ukate kanga, ukate leso na utafute rubber bands. Lazima uwe umevaa barakoa” Aidha, ameagiza kuwa...
  17. M

    Tamko la Makonda Mkuu wa Mkoa Dar halitendewi haki

    Tunashangaa sana sisi wakazi wa huku Mburahati NHC kuna vijana wanakaa katika makundi huku wakivuta bangi na kucheza kamali pamoja na janga hili kubwa huku wahusika hawashughuliki nalo tunaomba serikali iliangalie hili kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wanaovuta bangi na kucheza kamali...
  18. RC Makonda: Dar es Salaam tumetenga hospitali 25 kuhudumia wenye dalili za Corona na mh Rais Magufuli ametupa magari ya wagonjwa 20 yote mapya

    Mkuu wa mkoa wa DSM Mh. Makonda amesema mkoa wake umetenga hospitali 25 jijini zikiwemo zile za Rufaa na baadhi ni binafsi ili kuhudumia watu wote wanaojihisi wana dalili za corona. Makonda amesema ukifika katika hospitali hizo utapimwa magonjwa mengine yote na ukionekana uko salama ndipo damu...
  19. J

    Makonda: Wazururaji hawataenda gerezani bali watafanya kazi za kuzibua mitaro, kufyeka nyasi na kusafisha barabara

    Mkuu wa mkoa wa Dsm Paul Makonda amesema watu watakaokamatwa wakizurura jijini Dar watawajibishwa kwa kuzibua mifereji, kufyeka nyasi, kufagia barabara na kufanya kazi nyingine za usafi. Makonda amesema hatawaweka mahabusu wazururaji kwa ajili ya kuepusha msongamano wakati huu wa Corona. Hivyo...
  20. Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

    Kwanza ningependa kukupongeza kwa juhudi zako za kutaka kuliboresha jiji letu hili la Dar. Nimekuwa nikifuatilia juhudi zako tangu ulipokuwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni. Naamini jitihada zako za kutaka kuboresha wilaya ya Kinondoni ndizo zilizomfanya Raisi akuongezee majukumu kutokana na kuona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…