makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini Paul Makonda ametoswa na Patrobas Katambi amepata uteuzi?

    Siasa bhana hazitabiriki kabisa. Bado sijavijua vigezo vya kumtosa kijana aliyeipigania CCM kwa jasho na damu Paul Makonda na kumpitisha Patrobas Katambi ambaye mchango wake mkubwa uko CHADEMA. Namsubiri mNEC mzee Mgaya aje anipe ufafanuzi. Maendeleo hayana vyama!
  2. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napendekeza Makonda apewe sasa Ukatibu mkuu wa Simba sc

    Nafasi ya 'katibu mkuu' yaani Afisa mtendaji mkuu (CEO) wa Simba kwa sasa iko wazi mara baada ya aliyekuwepo awali kujiuzuru ghafla. Huu ndio wakati muafaka wa Simba sc kumpa hiyo nafasi Paul Makonda ambaye kwa sasa hana kazi rasmi mara baada ya kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa mkoa wa Dar...
  3. Kadoda nguku

    JamiiForums Tanzania Makonda angekuwa bado ni RC wa Dar basi CCM ingebeba Majimbo yote jijini

    Kitendo cha kumuondoa Paul Makonda Dar es Salaam imekuwa kama afueni kwa wapinzani Jijini Dar es Salaam. Hakika kama Makonda angebakia, wapinzani wasingepata Jimbo hata moja ila kwa sasa naona majimbo yote ya Dar yanaenda tena upinzani Sijui CCM hawakulifikiria hilo? Makonda siasa za Jiji la...
  4. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Makonda kwa maneno yake haya kutuhumiwa kunyima Uhuru wa watu kuishi ni sahihi? Yawezekana kafanya mengi

    Aliyekuwa RC wa DSM Paul MAKONDA amesema kuwa yeye ni askari aliyeko benchi, eti anamuomba CP Mambosasa akihitaji msaada yupo tayari. Anapojiita askari alifanyia mafunzo wapi? Hiyo vita alipigana wapi na nani? Sasa nimeelewa Marekani ilipomnyima na kumzuia kuingia ndani ya nchi hiyo, huyu...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi Tanzania, Makonda anapaswa kuhojiwa!!

    Kufuatia kauli hizi za aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Ndg. Paul Makonda Jeshi la Polisi linapaswa kumuita na kumhoji ni kwa namna gani yeye raia wa kawaida awe na uwezo zaidi kuliko vyombo vya ulinzi na usalama wa Nchi kuweza kumlinda Rais. Ambapo akaliomba Jeshi la polisi kutosita...
  6. Duduvwili

    JamiiForums Tanzania Makonda akabidhi ofisi kwa RC Kunenge, adai ofisi hiyo ina majungu mengi

    Wakuu Shalom naona mubashara hapa RC Matata Bwana Makonda akidai kua anafurahia sana kwenda kumtunza Mwanae na kwamba hajapoteza lolote na amedai70% ya wananchi wa Dar ni wambea uzi tayari ntazidi kuwajuza. ======= NISAMEHENI NILIPOENDA KINYUME NA MAPENZI YENU. MAADAMU YESU NINAYE, MUSIWE NA...
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

    Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo imewapitisha Tundu Antipas Lissu Lazaro Nyalandu na Dr Mayrose Majige kusaka nafasi ya kuwania Urais Tanzania. Katika kikao chake cha Kamati Kuu kilichomalizika usiku mnene majina hayo Leo yataletwa ndani ya Baraza Kuu ambao watakata mzizi wa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mama Samia: Paul Makonda alisimama ndani ya Bunge la Katiba na kusema mimi nafaa kuwa Makamu wa Rais na Bunge zima likashangilia!

    Makamu wa Rais mama Samia Suluhu amesema ni Paul Makonda ndiye aliyemtabiria kuwa makamu wa Rais baada ya kusimama ndani ya bunge la Katiba na kusema " huyu mama ndiye anayefaa kuwa makamu wa Rais wa JMT " Mama Samia amesema hayo katika kongamano la Wasichana lililofanyika katika ukumbi wa...
  9. Matope

    JamiiForums Tanzania Kupewa MIC Makonda, Wasafi wamekata matangazo

    Hii inashangaza sana kweli Mhe. Makonda kupewa MIC kama mzungumzaji kwenye harusi ya Dada wa Diamond, jamaa wamekata matangazo Hii kitaalaam tunaitaje?
  10. D

    JamiiForums Tanzania Makonda amejijengea CV kubwa ndani ya nchi na ndani ya Chama cha Mapinduzi

    Jamani kuweni wapole, huyu jamaa namfahamu, jamaa ametoka mbali sana na anakoelekea ni mbali, hivyo kuweni na hikima sana mnapo mjadili. Mimi kwa mara ya kwanza nilikutana naye Ushirika Moshi na kuna semista tulikaa chumba kimoja hivyo nimeunganisha story yote na hadi hapa nimeona mnamjadili...
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wasafi ya Diamond imfukuze Makonda katika nafasi yake ya "Mlezi wa Kundi" hana manufaa tena, ni raia tu kama mimi na yule

    Nashauri kundi la Diamond Platnumz-Wasafi wamuondolee nyazfa zote ndugu Paul Makonda. Hana msaada wowote na anaweza kuanza kuomba posho maana sasa ni jobless anakaa vijiweni tu Nashauri nafasi za Makonda apewe Mkuu wa Mkoa wa sasa bwana Kunenge,wasipofanya hivyo, itaonekana wanmpinga ndugu...
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Rais mfute Abubakari Kunenge Ukuu wa Mkoa. Mrudishe Makonda Tafadhali

    Karibia week ya pili au Tatu.hatujasikia TAMKO LOLOTE TOKA KWA MKUU WA MKOA. Hakuna watu waliobagazwa au garagazwa. Mkuu wa Mkoa gani Kapoa kama supu ya sangara isiyo na ndimu? Sisi wakazi wa Dar tulishajizoelea kubagazwa, kudhihakiwa na kugaragazwa kimwili na kiakili. Sasa mji umepoa utadhani...
  13. G Sam

    JamiiForums Tanzania Picha: Nini kinamtesa Paul Makonda?

    Huyu jamaa inaonekana kuna majuto fulani anapitia na siku za hivi karibuni anaonekana ni kama anafanya toba. Nini kinamtesa? Ni muda tu utafika atapata nguvu ya kukiri hadharani maana siyo jambo la kawaida!
  14. iparamasa

    JamiiForums Tanzania Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa DSM?

    Picha zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao kuonyesha ufahari wa hali ya juu wa ofisi ya Mkuu wa mkoa wa dar es salaam. Ofisi hiyo imekuwa tofauti kabisa na ile ya Mkuu wa mkoa aliyepita bwana Sadick, ofisi ya Makonda ina kompyuta kadhaa za apple,mapambo mengi ya kila aina yanayoashiria ufahari...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kiukweli mambo yanaenda kasi sana, Dar bila Makonda wananchi wameshazoea CHADEMA mwendo mdundo

    Tulikuwa na Dar ya Mhaville, Dar ya Chipungahelo, Dar ya Makamba, Dar ya Kandoro, Dar ya Lukuvi, Dar ya Sadik na hatimaye Dar ya Makonda zote zimepita na maisha yanaendelea. Kwa sasa tunashuhudia maboresho ya kisiasa wapinzani wanadunda kama kawa ndani ya mfumo wa vyama vingi tofauti na...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Lissu bila Polisi kutumia nguvu: Je, Makonda ndiye alikuwa chanzo cha vurugu Dar es Salaam?

    Nimeshuhudia watanzia wakiandamana kwa amani kea zaidi ya masaa matatu bika kuleta fujo Wala vurugu zozote. Je, vurugu tulizokuwa tunaziona kila wapinzani wanapokutana zilikuwa zinatengenezwa na Daudi Albert Bashite? Je, Kuna haja ya KUMPA pongezi za kipekee bwana Abubakar (Mkuu was mkoa wa sasa)?
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Makonda anasaini kitabu cha maombolezo kama nani?

    Naomba wale wanaofahamu masuala ya protokali kwenye misiba ya viongozi wanifahamishe au kama raia yeyote anaweza kuja na kalamu yake ya cello na kuvamia kitabu cha maombolezo na kusaini. Ni vema hili likawekwa wazi ili na sisi raia wengine tuchukue kalamu zetu twende tukasaini.
  18. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Picha Live: Msiochoka kumsema Makonda haya huyu hapa

  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mr. Paul Makonda, kama Rais hajakuachia hata mlinzi mmoja akulinde, basi teuzi utazisikia kwenye Tv tu

    Habari wakuu! Huyu Makonda aliyesifiwa kukamata wauza madawa ya kulevya na kutikisa jiji na nchi aliongezewa ulinzi ghafla na Rais(serikali) mpaka pale hali ilipotulia. Baadaye aliendelea kuwa na ulinzi kiasi kutoka Vyombo mbalimbali vya Ulinzi vya mkoa wa Dar es Salaam mpaka alipoachia...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Makonda: Mkapa hakuwa mbaguzi alinichangia fedha kwenda Dodoma kuanza safari yangu ya Siasa

    Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dsm ndugu Paul Makonda amefika nyumbani kwa mzee Mkapa rip na kusaini kitabu cha maombolezo. Makonda amemuelezea mzee Mkapa kama mtu aliyeuchukia ubaguzi na akatoa ushuhuda wa yeye kupewa fedha na Mkapa wakati anaanza safari yake ya kisiasa. Makonda anasema mzee Mkapa...
Back
Top Bottom