Uchaguzi 2020 Zimebaki siku 31 za kupiga kampeni, sijamuona Makonda akiwanadi wagombea wa CCM

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,818
5,007
Kama wanavyofanya wana CCM wengine waliotia nia na kuenguliwa ama kushindwa kwenye kura za maoni, sijawahi kumuona Makonda akiwanadi wagombea wa CCM. Ikumbukwe kuwa aliwahi kuahidi kuwa atazunguka Dar es Salaam nzima kumpigia kampeni Magufuli.

Je, ni kujiamini sana au alikasirishwa na kitendo cha kukatwa?

NB. Ikumbukwe kuwa bado Kuna nafasi za uteuzi ambazo zitatangazwa na Rais atakayeshinda Uchaguzi wa Oktoba.
 
Dethilamu idhi dhefu.
 
Bado mwezi mzima wa kampeni,sema Makonda kukosa madaraka kunamyima raha.Bora ajipangie likizo bila malipo hadi January 2021,labda anaweza kuokoteza fursa.
 
Kama wanavyofanya wana CCM wengine waliotia nia na kuenguliwa ama kushindwa kwenye kura za maoni, sijawahi kumuona Makonda akiwanadi wagombea wa CCM. Ikumbukwe kuwa aliwahi kuahidi kuwa atazunguka Dar es Salaam nzima kumpigia kampeni Magufuli.

Je, ni kujiamini sana au alikasirishwa na kitendo cha kukatwa?

NB. Ikumbukwe kuwa bado Kuna nafasi za uteuzi ambazo zitatangazwa na Rais atakayeshinda Uchaguzi wa Oktoba.
Makonda anafikiria sana ,yupo na stress haswa kuwa itakuwaje tundu lissu akiingia madarakani?
Anaiwaza segerea sana
 
Kama wanavyofanya wana CCM wengine waliotia nia na kuenguliwa ama kushindwa kwenye kura za maoni, sijawahi kumuona Makonda akiwanadi wagombea wa CCM. Ikumbukwe kuwa aliwahi kuahidi kuwa atazunguka Dar es Salaam nzima kumpigia kampeni Magufuli.

Je, ni kujiamini sana au alikasirishwa na kitendo cha kukatwa?

NB. Ikumbukwe kuwa bado Kuna nafasi za uteuzi ambazo zitatangazwa na Rais atakayeshinda Uchaguzi wa Oktoba.
Ebwwna eeh sio Makonda wa zamani. Mwanaccm aliyekomaa enzi hizo akiwa na akina Nape hali mida kama hii ilikiwa ni tete.

Naona laana ya kumpiga mWw warioba inamwandama. Hajawahi kufanikiwa ktk jambo lolote.

Sasa anamaliza misikiti na makanisa kuomba msamaha...too late too little
 
kuna kila dalili chama (ccm) taifa kimempiga stop makonda kuwanadi wagombea wake majukwaani kwenye uchaguzi huu!
wamegundua jamaa ana damu ya kunguni atachafua sana hali ya hewa...kwa tunavyomjua makonda anavyopenda kushika microfone haingewezekana akaiachia hii fursa "kazembe" hv!!!.

dr bashiru na polepole wanahusika!.
 
NANI ANAWEZA KUKAA LEO NA KUMSIKILIZA MAKONDA???? Mtu mwenye "ZERO" ana LIPI LA KUNISHAWISHI?
 
Back
Top Bottom