Makonda ana u-maalum , afisa kipenyo!

Makonda ana u-maalum , afisa kipenyo!

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
16,964
Reaction score
26,053
Baada ya tambo nyingi jijini Dar na kujiita RC wa MA-RC wote Tanganyika, hatimaye alibugi kwa kwenda kuchukua fomu ya ubunge na kuachia u-RC, hakujua bwana Jon walker atamla kichwa.

Jana uwanja wa mpira Dodoma kaingia kwa mbwembwe na kurudishwa na maafisa vipenyo wenzake, amekuwa akijiona ni maalum sana , Dar RC mstaafu ni yeye pekee?
Walikuwepo toka akina :_
1.Songambele
2.,Mhaville,
3.Chipungahelo ,
4 Rwegasira
5,Lukuvi,
6.Makamba,
7. Kandoro,
8 Meck Sadiki .na wengineo mbona walitoka na nobody cared about them.

Kwanini yeye tu ndio anapenda media na kuharibu shughuli za watu, kial aendapo anataka kuharibu na yeye ndiye awe talk of the day , jana alifanikiwa, hakuna anayejua sera za jana zaidi ya diamond plarinumz aliimba na makonda alinyimwa kuingia getini/meza kuu.

Makonda anachukiawa na Pompeo na amepigwa marufuku huko Marekani, anachukiwa na kila mtumishinwa Jiji la Dar maana alikuwa anawadhalilisha sana, media na wengineo, sasa sababu za kumchukia ni hizi hapa.

alikuwa na drama nyingi sana
Mara kumpiga Jaji..
Kupiga marufuku wakandarasi..
Ziara za manispaa na kudhalilisha watumishi...
Kutuhumu watu madawa ya kulevya....
Kushindana Mawaziri na Wabunge warudi Dodoma...
Tuhuma za utekaji sijui Roma sijui Mo nk...
Tuhuma za kupora magari ya watu...
Tuhuma za kuvamia studio..
Ugomvi na Ruge..
Mara kufukuza wauza magari mjini...
Mara kupima tezi dume..
Mara kukamata wanaume waliotekekeza wanawake..
Mara Walimu wasilipe nauli..
Mara watu wasiingie mjini bila kuoga...

Hakika alivuka mipaka
 
Na ikiwa ni kweli kwamba aliratibu operation iliyoshindwa ambayo mlengwa alinusurika kifo na amegeuka mwiba kwa chama tawala, hilo kosa atalijutia maisha yake yote.

Huko kwenye chama hawatakua na hamu nae hata kidogo.

Lakini kwenye siasa chochote kinawezekana, unawezakuta wamemuengua wajisafishe na harakati za uchaguzi kisha baadae akawekwa sehem ya maana tu. Siasa ni zaidi ya ukahaba.
 
Na ikiwa ni kweli kwamba aliratibu operation iliyoshindwa ambayo mlegwa amegeuka mwiba kwa chama tawala, hilo kosa atalijutia maisha yake yote.

Huko kwenye chama hawatakua na hamu nae hata kidogo.

Lakini kwenye siasa chochote kinawezekana, unawezakuta wamemuengua wajisafishe na harakati za uchaguzi kisha baadae akawekwa sehem ya maana tu. Siasa ni zaidi ya ukahaba.
Mbona hiyo hana swali, ile damu iliyomwagika pale itamlilia maisha yake na vizazi vyake.
Ile ya clouds, ya kumvesha Mo-kanga baada ya kumpima "oil" yani huyu jamaa sijui aisee.
 
Huu ujasiri aliutoa wapi? Kwa Magu, kwa Mkapa au kwa nani hasa? Maana alizidisha mpaka chumvi, hakuna kauli mbaya kama aliyotolea Kanisani akiwa amevaa jinsi ya kuchanika chanika, tena mbele ya marehemu Mengi, eti hakuna mchaga anayeweza kutoa msaada, alikuwa Mengi tu ndio mchaga bora katika wachaga wote.

Mimi sio mchaga, ila natambua wachaga ni watu smart sana kwenye madili hasa yahusuyo pesa, tena sio dhambi we mahaba yako yakijikita kwenye mambo ya Ankara, lakini ni watu wanaotoa pia kupita maelezo, iwe makanisani, misikitini kwenye vituo vya yatima, omba omba mpaka bia sehemu za bata.

Alijisahau kuwa ukimtegemea mwanadamu imekula kwako, hata ndugu anaweza kukuuza na kukusahau mazima.
 
Hii nlisahau, akaambiwa aache "kujimwambafai mwambafai" kifutu
 
Baada ya tambo nyingi jijini Dar na kujiita RC wa MA-RC wote Tanganyika, hatimaye alibugi kwa kwenda kuchukua fomu ya ubunge na kuachia u-RC, hakujua bwana Jon walker atamla kichwa.

Jana uwanja wa mpira Dodoma kaingia kwa mbwembwe na kurudishwa na maafisa vipenyo wenzake, amekuwa akijiona ni maalum sana , Dar RC mstaafu ni yeye pekee?
Walikuwepo toka akina :_
1.Songambele
2.,Mhaville,
3.Chipungahelo ,
4 Rwegasira
5,Lukuvi,
6.Makamba,
7. Kandoro,
8 Meck Sadiki .na wengineo mbona walitoka na nobody cared about them.

Kwanini yeye tu ndio anapenda media na kuharibu shughuli za watu, kial aendapo anataka kuharibu na yeye ndiye awe talk of the day , jana alifanikiwa, hakuna anayejua sera za jana zaidi ya diamond plarinumz aliimba na makonda alinyimwa kuingia getini/meza kuu.

Makonda anachukiawa na Pompeo na amepigwa marufuku huko Marekani, anachukiwa na kila mtumishinwa Jiji la Dar maana alikuwa anawadhalilisha sana, media na wengineo, sasa sababu za kumchukia ni hizi hapa.

alikuwa na drama nyingi sana
Mara kumpiga Jaji..
Kupiga marufuku wakandarasi..
Ziara za manispaa na kudhalilisha watumishi...
Kutuhumu watu madawa ya kulevya....
Kushindana Mawaziri na Wabunge warudi Dodoma...
Tuhuma za utekaji sijui Roma sijui Mo nk...
Tuhuma za kupora magari ya watu...
Tuhuma za kuvamia studio..
Ugomvi na Ruge..
Mara kufukuza wauza magari mjini...
Mara kupima tezi dume..
Mara kukamata wanaume waliotekekeza wanawake..
Mara Walimu wasilipe nauli..
Mara watu wasiingie mjini bila kuoga...

Hakika alivuka mipaka
Mod, peleka hii kule MMU
 
anamatako makubwa sana kajisahau alidhani wanaume wataangalia ndanda ile kumbe watu wanaangalia vingine
 
"Sema sana, Furahia sana, simulia sana LAKINI Omba yasikukute" alisikika Mwana Lumumba
 
alitia huruma, dah though ana roho ngumu ya paka "lissu, Clouds, Saa nane, Azory" roho ngumu sana
Huyu mtu kama alihusika kweli na matendo ya kuwapoteza na kuwajeruhi hawa watu, Mungu atamlipa tu maana inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom