makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. S

    JamiiForums Tanzania Alianza Heri James, sasa ni Gambo na Makonda atafuata

    Vijana waliofaidika na kutamba vilivyo na mfumo kandamizi wa mwendazake ni pamoja na:- Makonda, Sabaya, Heri James, Mrisho Gambo, Ali Hapi na Mnyeti Ilikuwa huwaambii kitu hawa. Walifanya na kusema walitakalo hata kama linagharimu maisha, mali na utu wa mtanzania hawakujali. Walikuwa malaika...
  2. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Kauli hii Moja tu ya Sabaya inatosha kabisa kumkamatisha Makonda na kuhojiwa na kisha kupelekwa Mahakamani

    Akinukuliwa na makamera, mlalamikaji ambae ni mfanyabiashara wa hoteli alisikika na akionekana kusema kuwa amejitoa Mhanga, yuko tayari kwa lolote. Alisema hivi,"Sabaya alinitaka nimpe milioni tano, na utaamua mwenyewe uiite rushwa au MAKONDA style". Mwisho wa kunukuu. Hii kauli ikitokea kwa...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baada ya Salum Hamduni wa PCCB 'kumtetea' na 'kumlinda' Paul Makonda, naomba nitume salamu za pole kwa wafuatao...

    1. Ben Saanane pole sana huko uliko. 2. Azory Gwanda pole sana huko uliko. 3. Binti Akwilina Akwilina pole sana huko uliko. 4. Clouds tv hasa hasa Marehemu Ruge na Watangazaji wa Shilawadu akina Soudy Brown na Kwisa, poleni sana. 5. Mwanamuziki Roma Mkatoliki pole sana. 6. Yusuf Mehboob...
  4. Etwege

    JamiiForums Tanzania Salumu Hamduni: TAKUKURU hatuna nia wala sababu ya kumkamata Makonda

    Mkurugenzi wa Takukuru bwana Salumu Hamduni amewataka watanzania kupuuza uvumi wa kwamba wamemkamata na kumhoji aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda. Salumu Hamduni amesema hawana nia wala sababu ya kumkamata Paul Makonda kwani ni kijana safi na mchapakazi hodari na mzalendo wa...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU wakanusha kumshikilia Makonda

    TAKUKURU wamekanusha habari zilizokuwa zimesambaa mtandaoni kuwa wanamshikilia aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda kwa mahojiano. Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Salum Rashid Hamdun amewataka watu kupuuza uvumi huo. Taarifa zimekuwa zikimhusisha Makonda na tuhuma zinazomkabili aliyekuwa...
  6. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Je, huu ni mwanzo wa mwisho wa Makonda?

    Wanangu jamvini hamjamboni? Nimesoma kanusho la TAKUKURU kwenye gazeti la the Citizen kuhusiana na kukamatwa kwa Daudi Bashite/Paul Makonda. Je hii inamaanisha nini? Je huu ni mwanzo wa mwisho wa mteule huyu wa mwendazake aliyeshindwa kuamini kuwa chenye mwanzo kina mwisho? Kwa habari zaidi...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Yusuf Manji arejea Tanzania

    Mfanyabiashara maarufu nchini Yusuph Manji amerejea jioni ya leo Juni 01,2021 kupitia uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA) Manji alipowasili leo alizuiliwa kwa muda na maofisa Uhamiaji waliotaka kujiridhisha na uraia wake na kisha aliruhusiwa baada ya Maofisa hao...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam bado inamuhitaji Paul Makonda sana

    Kiukweli hili jiji bado linahitaji huduma ya aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa huu Mheshimiwa Paul Makonda "Bashite" Kwa sasa jiji limepoa, kama vile halina mkuu wa mkoa Sisi wananchi wa Dar tunakuomba Rais Magufuli uturudishie mtu huyu muhimu kwa maendeleo ya jiji ilikuwa haiwezi pita mwezi bila...
  9. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Geita: Baraza la Madiwani laukataa Mkoa mpya wa Chato

    Baraza la Madiwani Geita limeukataa Mkoa wa Chato. Je, Hayati Magufuli angekuepo wangeweza kukataa hiki kitu. CCM wakikusifia au wakikubaliana na wewe ujue wana maslahi au ni Unafiki tu. Wanajitahidi kufuta Legacy ya Shujaa wetu. Sio sahihi Hata kidogo. ======= Baraza Maalum la Madiwani...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

    Kwangu mimi kutokana na Tuhuma zao (hasa walipokuwa katika Nyadhifa zao) namfananisha Ole Sabaya ni Papa na Paul Makonda ni Nyangumi. Unatoaje amri ya kuchunguzwa kwa Papa Ole Sabaya na ukamuacha Nyangumi Paul Makonda? Hapa Rais Samia Mimi Krav Maga sijakuelewa Rais Samia tafadhali hakikisha...
  11. technically

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: RC Makonda akimfokea DC Chongolo

    Tujifunze kuweka Akiba ya maneno vyeo vyetu ni mapito tu watawala wajifunze kuishi na walio chini yao vizuri. PIA SOMA: Daniel Chongolo apendekezwa kuwa Katibu Mkuu CCM
  12. Kimbakuli

    JamiiForums Tanzania Makonda is a good leader, sema kupenda sifa na kujipandisha ndio kunamwangusha sana

    I do remember Paul Makonda wa awamu ya nne, akiwa UVCCM na badae DC-Kinondoni na Mjumbe wa Bunge la Katiba, alikuwa promising young politician wa taifa letu. Lakini ilipoingia awamu ya tano, sijui alilishwa nini huyu kijana, sijui km ni u-RC ndio ulimlewesha, sijui allitaka kucopy style ya...
  13. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiingereza cha Paul Makonda kimejichimbia ardhini

    Nimefuatilia mara kadhaa kuona uwezo wa Paulo kujibu hoja kwa kutumia lugha yake ya darasani , mara kadhaa anaponyemelea vyombo vya habari ujificha kwenye kiswahili. Niombe kujua kiingereza kipo pale au kipo chakuandika?
  14. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Godlisten Malisa ajitolea kuchangisha hela kwaajili ya bima ya afya ya watoto 59

    Habara wanaJF Leo nimesoma andiko la mwanaCHADEMA ndugu Malisa GJ na kufarijika kwa hatua aliyochukua ya kuendeleza alichokuwa kaanzisha Mheshimiwa mstaafu Makonda. Huyu kijana ni hazina ya taifa. Yuko tofauti sana na misimamo ya baadhi ya wakubwa wengine wa chama chake waliojaa chuki. TAFADHALI...
  15. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Mtu kama Makonda ashukuru sana Watanzania siyo watu wa kisasi

    Kwa jinsi alivyokuwa aki behave that time. Na kudhalilisha watu kwa kebehi na kiburi sasa mambo yamebadilika sana kwa upande wake. Ingekuwa Wananchi wa nchi nyingine wangekuwa wameshamlipa Ujira wake. Ule ubabe na kiburi chake akitumainia Ngao ambayo kwa sasa sidhani kaka bado anayo. Nakwambia...
  16. Mtini

    JamiiForums Tanzania Utabiri wangu: Makonda kurudishwa ukuu wa mkoa

    Makonda ni kiongozi mzuri na mchapa kazi sana japo hakuna binadamu asiye na mapungufu. Kama kijana mchango wake bado ni wa muhimu sana katika ujenzi wa Taifa letu. Ni suala la muda tu ila namuona Makonda akirudishwa kwenye ukuu wa mkoa nafasi ya juu zaidi
  17. mngony

    JamiiForums Tanzania Makonda akiwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani itapendeza

    Mh Rais, Makonda bado ni kijana sana kupotea kwenye siasa, pamoja na mapungufu na mabaya yake usimuache. Itapendeza zaidi akiwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani, awe karibu na rafiki yake Ridhwani. Ikishindakana Pwani basi hata Mkoa mmoja wa Kanda ya Ziwa awe karibu na nyumbani na karibu na nyumba ya...
  18. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Baada ya uteuzi wa Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais wa JMT, sasa naamini watu kama Makonda, Chalamila, Ole Sabaya hawana nafasi katika Serikali

    Kwa kumteua Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni ishara muhimu ya kuonesha kuwa Madam President Samia Suluhu Hassani, atakuwa Rais wa namna gani. Kumbukumbu zinaonesha kuwa Dkt. Philip I. Mpango ni mtu safi na mwadilifu. Hana makando kando...
  19. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Je, tutarajie Rais Samia Suluhu kumrudisha Paul Makonda tena kwenye mfumo wa siasa?

    Habari wadau! Binafsi natabiri ujio wa Paulo tena kwenye gemu baada ya Mama Samia Suluhu kuapiswa. Pia namuomba Mama Samia Suluhu asije akamsahau Paulo kwenye utawala wake sababu zipo wazi Paulo ni jembe pia ni wembe akimrudisha tena itapendeza sana na atasaidia sana maana kama tunavyojua...
  20. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Makonda na Musiba, Magufuli hayupo. Je, mmejiandaa kisaikolojia?

    Kifo cha rais John Pombe Maguli ni pigo kubwa kwa taifa na Afrika kwa ujumla. Ni rais ambaye amejijengea sifa, maadui hata marafiki. Tanzania, bila unafiki wala kificho itamkumbuka baada ya mwanzilishi wake Mwl Julius Nyerere. Alikuwa mkweli na muwazi ingawa maradhi yake yalizungukwa na kificho...
Back
Top Bottom