Secretariat ya CCM ni kubwa kimamlaka kuliko kiongozi yeyote kasoro Rais tu. Acheni kelele Makonda alikuwa sahihi

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,412
11,061
Katibu mwenezi wa CCM ndugu Paul Makonda hajafanya kosa lolote kumpa maagizo Waziri Mkuu kutatua changamoto za ardhi, Serikali ipo kwa niaba ya CCM na hao mawaziri wote ni wanachama wa CCM na boss wao ni hio secretariat ya CCM.

Mazombi mnapanic kama vibwengo acheni hizo. Tanzania mmezidi kuwa vichwa vya panzi mnasahau mamlaka ya kiti enzi za Nape akiwa mwenezi.

Acheni wivu Makonda bado yupo sana.

Ni hayo tu tukutane kwenye comments

Wadiz
 
CCM ni kubwa kama bahari sio kama Chadema
 
Back
Top Bottom