Makonda: Rais Samia alilibeba jina langu na kuingia nalo Kamati Kuu bila kujali kelele za chura akiamini nitamsaidia kazi. Viongozi wa Dini mniombee!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,028
142,081
Mwenezi wa CCM Komredi Makonda amewaomba Viongozi wa Dini wazidi kumuombea ili mosi, amuheshimishe Mungu wa Mbinguni na pili, atimize majukumu ambayo Rais Samia anaamini atamsaidia.

"Rais Samia alilibeba jina langu na kuingia nalo Kamati Kuu bila kujali kelele za chura akiamini nitamsaidia kazi," amesema Komredi Makonda.

Jambo TV
 
Mwenezi wa CCM komredi Makonda amewaomba Viongozi wa Dini wazidi kumuombea Ili mosi amuheshimishe Mungu wa Mbinguni na pili atimize majukumu ambayo Rais Samia anaamini atamsaidia

"Rais Samia alilibeba Jina Langu na kuingia nalo Kamati Kuu bila kujali kelele za Chura akiamini Nitamsaidia Kazi" amesema Komredi Makonda

Chanzo: Jambo TV
Kwahiyo leo chama chetu kimemtuma akaeneze haya?
 
Mwenezi wa CCM komredi Makonda amewaomba Viongozi wa Dini wazidi kumuombea Ili mosi amuheshimishe Mungu wa Mbinguni na pili atimize majukumu ambayo Rais Samia anaamini atamsaidia

"Rais Samia alilibeba Jina Langu na kuingia nalo Kamati Kuu bila kujali kelele za Chura akiamini Nitamsaidia Kazi" amesema Komredi Makonda

Chanzo: Jambo TV
Naunga mkono hoja, sisi washauri wa bure, tuliisha mshauri awapuuze tuu hao chura na kelele zao kisimani, aendelee kuteka maji. Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! .
P
 
Mwenezi wa CCM Komredi Makonda amewaomba Viongozi wa Dini wazidi kumuombea ili mosi, amuheshimishe Mungu wa Mbinguni na pili, atimize majukumu ambayo Rais Samia anaamini atamsaidia.

"Rais Samia alilibeba jina langu na kuingia nalo Kamati Kuu bila kujali kelele za chura akiamini nitamsaidia kazi," amesema Komredi Makonda.

Jambo TV
Uenezi wa CHAMA au binafsi ... lol
 
Mwenezi wa CCM Komredi Makonda amewaomba Viongozi wa Dini wazidi kumuombea ili mosi, amuheshimishe Mungu wa Mbinguni na pili, atimize majukumu ambayo Rais Samia anaamini atamsaidia.

"Rais Samia alilibeba jina langu na kuingia nalo Kamati Kuu bila kujali kelele za chura akiamini nitamsaidia kazi," amesema Komredi Makonda.

Jambo TV
Shetani anahimiza aombewe ili atende kazi yake ya uharibifu kwa ustadi mkubwa.

Samia ana malengo hasi na utulivu wa kisiasa na kiusalama
 
Tunaanza upyaaaaaaa !

IMG_20231101_155548.jpg
images - 2023-10-28T213916.350.jpeg

images - 2023-11-01T155434.481.jpeg
 
Mwenezi wa CCM Komredi Makonda amewaomba Viongozi wa Dini wazidi kumuombea ili mosi, amuheshimishe Mungu wa Mbinguni na pili, atimize majukumu ambayo Rais Samia anaamini atamsaidia.

"Rais Samia alilibeba jina langu na kuingia nalo Kamati Kuu bila kujali kelele za chura akiamini nitamsaidia kazi," amesema Komredi Makonda.

Jambo TV
Sawa
 
Back
Top Bottom