makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. M

    Kiuhalisia ziara za Makonda hazina positive impact kwa CCM zaidi ya kuonyesha mapungufu ya serikali ya rais Samia.

    Fikiria suala dogo kama kupeleka maji kwenye mji mdogo wa Katoro ambao upo jirani na ziwa Victoria nalo linahitaji waziri wa maji kupigiwa simu. Huu ni uzembe wa serikali ilyopo madarakani wala sio sifa kwa Makonda kupiga simu. Suala dogo la dhuluma kwa wananchi ambalo kwa serikali makini hata...
  2. Mr Dudumizi

    Ni juhudi gani zifanyike, ili kumzuia Makonda asiendelee kumdhalilisha Mwenyekiti Mbowe kupitia mikutano ya kisiasa?

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Hakika kuna mambo ambayo yanaendelea katika faifa letu. Mambo ambayo yanadhalilisha, yanaumiza na kumvunjia heshima mtu ambae alikuwa anaonekana ana hadhi ya juu kichama, na kisiasa. Kwa vile huyu anaedhalilishwa na kuvunjiwa heshima hana uwezo, wala ujanja wa...
  3. dubu

    IGP, si sahihi kufunga barabara masaa 3 ili Makonda ahutubie barabarani

    Salaam, Ni kweli bila Polisi hakuna utii wa Sheria. Ila Kitendo cha Polisi kujipendekeza kwa Wanasiasa ili wasifiwe au wapewe vyeo vya kisiasa ni kuwaonea wananchi. Ni kweli Polisi wanapambania matumbo yao, ila hili la kuzuia wafanyabiasha na Wasafiri kuchelewa kufika kisa kiongozi wa...
  4. Ngaliwe

    Paul Makonda: Anayempinga Rais Samia, anampinga Hayati Magufuli kwa maana yeye ndiye aliyemwamini kuwa makamu wake wa urais

    "Ndugu zangu wa kanda ya ziwa tulipata bahati ya kuwa na Mwasisi wa Taifa hili Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere, tukapata bahati tena ya kuwa na Rais wa awamu ya 5 Hayati John Magufuli ambaye alifanya jambo la kuamini Wanawake wana uwezo na akavunja miiko ya Mwanamke kutokuwa...
  5. Ngaliwe

    Makonda ambananisha meneja TANROADS Geita: Ahoji ni lini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kahama - Kakoro (km 60) utasainiwa ili ujenzi kuanza

    Katibu wa Halmashauri Kuu, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda amembananisha Meneja wa TANROADS Geita kukihakikishia Chama Cha Mapinduzi kuwa ni lini barabara ya Kahama - Kakoro yenye urefu wa Kilomita 60 itajengwa kwa kiwango cha lami. Mwenezi Makonda ambananisha Meneja huyo mara...
  6. benzemah

    Makonda: Rais Samia hana deni

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM-Taifa, Itikadi na Uenezi, Cde. Paul Makonda amesema Rais, Samia Suluhu Hassan ameendelea kutoa fedha nyingi za utekelezaji wa miradi ya maendeleo nchini kwahiyo deni limebaki kwa wasaidizi wake kuhakikisha wanatekeleza miradi na kufanya kazi kwa bidii ili kuondoa...
  7. T

    Kwa kasi hii Makonda aongezewe Bashiru, Kabudi, Lukuvi na Polepole

    Kwa siku za hivi karibuni, chama cha Mapinduzi (CCM) Kimeanza kurejesha imani kwa wananchi na wanachama waliokuwa wamekata tamaa. Kila kona ni mjadala kuhusu Katibu Mwrnyezi wa Chama Cha Mapinduzi Komredi Paul Makonda kutokana na Uthubutu na Ujasiri katika Kusimamia Utekelezaji wa Ilani ya...
  8. Meneja Wa Makampuni

    Makonda amerudi akiwa ameiva vilivyo

    1. Huyu bwana kwanza anaipenda siasa. 2. Anapenda kuongea 3. Hachoki kuongea 4. Hachoshi akiwa anaongea na wananchi. Basi tu ila nchi yetu inahitaji viongozi kama hawa. Tungeongezea na nguvu akina Sabaya na Happy ni dakika sifuri CCM inakwenda kunyoka. Lakini tuondoe na janjajanja zisizo na...
  9. Nigrastratatract nerve

    Mwenezi Makonda amwambia waziri wa Maji ndani ya wiki 3 tatizo la Maji katoro liwe Historia

    📌📌 WAZIRI WA MAJI MHE. AWESU AMTHIBITISHIA MWENEZI MAKONDA NDANI YA WIKI 3 MAJI KUPATIKANA KATORO - GEITA Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa , Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda amempigia simu Waziri wa Maji Mhe. Juma Awesu na kumtaka kutolea ufafanuzi kero ya upatikanaji wa Maji...
  10. Nigrastratatract nerve

    Katibu Mwenezi Paul Makonda anaelekea Buseresere Muda huu alakiwa na maelfu ya vijana

    📌📌 KISHINDO CHA MAKONDA KATORO NA BUSERESERE - GEITA Maelfu ya Wananchi wa Katoro na Buseresere Wamejitokeza kwa Wingi Kumpokea Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu Paul Makonda wakati akipita na Msafara wake akitokea Chato Kuelekea Geita Mjini Kwenye Mkutano wa Hadhara Leo Tarehe 11...
  11. Ambros Kiwale

    Ufufuko wa CCM kupitia Mwenezi Makonda

    Habari wataalamu, binafsi sio mtaalamu Sana wa siasa, hata hivyo nakiri kwamba tangu nimeanza kufuatilia fuatilia politics ninashawishika kwamba CCM imeanza kurudisha uhai wake kupitia MWENEZI P. MAKONDA. Kwa ujumla Kama Kuna washauri wa Rais humu, wamjulishe kuwa wamefanikiwa Sana kuifanya...
  12. Nigrastratatract nerve

    Katibu Mwenezi CCM Paul Makonda aagiza Taa barabarani Zifungwe Bwanga na amezuia kamatakamata ya wauza mikaa

    📌📌CCM YATOA MAAGIZO MATANO GEITA - MWENEZI MAKONDA Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu Paul Makonda amesema Chama Cha Mapinduzi kinatoa maagizo matano kwa mkoa wa Geita ambayo ni; 1 Malalamiko ya Wafanyabiashara wa Mkaa Chama Cha Mapinduzi kimemtaka Mkuu wa...
  13. S

    Makonda hatoboi. Kauli zake zinawaudhi "wenye nchi"

    Kama unadhani wananhi wote tuna hadhi na haki sawa unajidanganya. Nchi hii Ina wenyewe na kila anayetaka kuwa kiongozi ni lazima akubalike na hawa watu. Makonda katoa kauli zinazowakwaza na kuwachokonoa wenye nchi. Kauli kama "hata nishikiwe bastola sitamakana Magufuli", "kama umestaafu kaa...
  14. B

    Kubali ukatae, Makonda ndio Rais ajae Tanzania baada ya Samia

    1. Ana nyota ya kupendwa na wafalme( viongozi wakuu wa nchi ) J.Kalimteua. J.P.M amemteua. Na sasa Samia amemteua. 2. Haogopi ( Yupo kama wajina wake King David ) 3. Ana element zote za umagufuli a lot of Magufuli minions see a lot of Magufuli in Paul Makonda. 4. He has a threatening aura...
  15. Kamanda Asiyechoka

    Hivi green guard ni jeshi usu? Kwanini mnapigia saluti Makonda na kuvunja sheria za nchi?

    Eti mnapiga saluti kama askari wa majeshi yetu. Acheni uduanzi wa kuvunja sheria za nchi. Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa inazuia kuunda vikundi kama green guard.
  16. M

    Pamoja na kulipwa mishanara, mawaziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wameshindwa kutatua kero za wananchi mpaka Makonda aingilie kati!

    Hii inashangaza sana. Yaani wanakula mishahara ya bure tu. Wameshindwa kabisa kutatua kero za wananchi? Msemaji wa chama anahusika vipi na kero za wananchi?
  17. Jicholamwewe

    Natafuta namba ya Paul Makonda

    Wakuu poleni na kazi. Naombeni yeyote mwenye mawasiliano yani namba za makonda naomba anisaidie naimani kupitia yeye changamoto yangu itaisha pia kama MTU anajua nitampataje please naomba anisaidie. Kama pia yupo hapa JF please nitafurahi akinitafuta pm.naimani kupitia yeye nitapata msaada...
  18. Nyankurungu2020

    Ukweli mchungu: Paul Makonda hawezi kuisafisha CCM iliyochafuka kwa ufisadi.

    Wanachi wanalia kila kona kwa ugumu wa maisha. Kila kona ufisadi umetamalaki kila kona alafu mtu kama Makonda alete siasa za kwenda kuongea na wafu? Siasa za kupigia viongozi simu viongozi na kuhadaa kutatua kero zao wakati wameshaumia.
  19. M

    Ombi kwa Paul Makonda ukiwa Chato muamrishe mkuu wa Wilaya apige marufuku kamari za kichina. Ziwawafisi na kuwamalizia walimu pesa

    Walimu wanaliwa pesa isee na hizi mashine za kichina hazifai Makonda okoa walimu wa Chato.
  20. Carlos The Jackal

    Upinzani acheni kumu-underrate Makonda, mnapotezwa , Jamaa anaitangaza CCM kwelikweli, hatangazi Mtu!

    Kasi ya Mh Makonda ni Hypersonic , Huyu mtu ana Sayansi ya Siasa, endeleeni kumchafua na kumuona wa Kawaida !!. Anachofanya Makonda ni kuisafisha CCM kupitia Majukwaa, Maelekezo anayotoa mbele ya Majukwaa ni vitu ambavyo Watanzania hususan Wanyonge wanavyotaka Kusikia . Makonda Hasafishi mtu...
Back
Top Bottom