makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. GENTAMYCINE

    Kinachonishangaza kwa Katibu Mwenezi na Itikadi CCM Makonda ni kuona leo hii akipinga mabaya aliyowahi kuyafanya

    1. Dharau 2. Uonevu 3. Ubabe 4. Uwizi/ Ufisadi 5. Dhuluma 6. Rushwa 7. Uwongo/ Kudanganya Haya GENTAMYCINE niwatakieni tu Kila la Kheri wale wote wenye Ubongo mfupi na hafifu wanaomuamini na kumsifu sasa wakati kwa Rekodi zake za kimatukio Kipindi chake yuko Madarakani/ Serikalini angekuwa...
  2. Mwande na Mndewa

    Chama kimeshika hatamu; Makonda katika nyayo za wanene wa CCM miaka ya 1980

    Wakati wa awamu ya kwanza enzi za Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere,na awamu ya pili iliyoongozwa na Rais Ali Hassan Mwinyi,katibu wa CCM Mkoa ndiye alikuwa Mkuu wa Mkoa,katika mfumo wa vyama vingi Mwenyekiti wa CCM hawezi kushika nafasi ya Mkuu wa Mkoa au Mkuu wa Wilaya,hivyo basi nani...
  3. MGOGOHALISI

    Kumrudisha Makonda Katika Uongozi ni Ishara Tosha kuwa CCM Hawaziwezi Siasa za Kistaarabu Kama Wanavyojinasibu

    Ndiyo hivyo. Kiongozi makini na mstaarabu kamwe abadani hawezi mpa nafasi Makonda. Lakini kwa CCM hii imetokea kwa sababu Hayati Magufuli alishawazoesha siasa chafu. Hapo katikati walijaribu kurudi lakini hoja za siasa toka upande wa pili zinawashinda majukwaani. Wameamua kurudisha warusha...
  4. Nigrastratatract nerve

    Busega yatikisa Mapokezi ya Makonda

    📌📌 WANANCHI WARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI SIMIYU, MABILIONI YA FEDHA YATOLEWA NA RAIS SAMIA Wananchi wa Mkoa wa Simiyu Wilaya ya Busega wameoneshwa kuridhishwa na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kimaendeleo inayotekelezw na Serikali ya Awamu ya sita inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt...
  5. T

    Mwenezi Makonda awatibua wasaka Urais ndani ya CCM

    MAKONDA ANAWADISTURB WASAKA URAIS NDANI YA CCM NA HILI NI JAMBO JEMA Watu wengi huwa hawajui kwanini huwa tunawachapa wasaka urais.Pale tunapobaini pasi na shaka kuwa kiongozi fulani ndani ya serikali na Chama anatengeneza mtandao wa kusaka urais huwa hatumuachi salama. Wasaka urais ni watu...
  6. Nigrastratatract nerve

    Paul Makonda: Endeleeni kufunga barabara maana tumepewa jukumu la kuwasikiliza na kuisaidia Serikali

    ENDELEENI KUFUNGA BARABARA MAANA TUMEPEWA JUKUMU LA KUWASIKILIZA NA KUISAIDIA SERIKALI - MWENEZI MAKONDA "Kitu kimoja nimegundua hapa, hii staili yenu ya kufunga barabara mnapoona msafara wa Viongozi wanapita ni nzuri sana kwa maana inasaidia kusikiliza ba kutatua kero na changamoto zenu tena...
  7. Nigrastratatract nerve

    Mwenezi Makonda Msafara wake wasimamishwa na maelfu ya wananchi wa Ilemela

    📌📌 WANANCHI WA ILEMELA WASIMAMISHA MSAFARA WA MWENEZI MAKONDA KUMPA PONGEZI ZA RAIS SAMIA NA KUSIKILIZA KERO ZA STENDI YA MABASI YA NYAMONGORO Wananchi, Wafanya biashara na Wadau mbalimbali Wilayani Ilemela wamesimamisha msafara wa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi, Uenezi na Mafunzo...
  8. Teslarati

    Makonda alizaliwa kuwa Kiongozi, ni aina ya watu adimu sana kwenye Uongozi wa Juu

    Mimi sina mengi, title ishamaliza uzi. Ila kwa kuongezea huyu mwamba ni hatari. Mtu hadi kaweza kupata attention ya USA na wakamzuia kuingia nchini kwao halafu wewe unakuja kuona ni mtu wa kispoti spoti? Hapa tunasema super sub ya namba 7 imeingia uwanjani. Ngoja niongeze popcorn huku...
  9. Nigrastratatract nerve

    Paul Makonda amtaka Waziri wa Ujenzi kuharakisha ujenzi wa njia nne za barabara Mwanza yenye urefu wa km 32

    MWENEZI MAKONDA ABAINISHA KUWA SERIKALI YA CCM CHINI YA RAIS SAMIA YAIELEKEZA WIZARA YA UJENZI KUJENGA BARABARA ZA NJIA NNE - MWANZA Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda ameendelea na ziara yake katika mikoa ya kanda ya ziwa ambapo leo tarehe 12...
  10. Kasiano Muyenzi

    Makonda nashauri utumie usafiri wa fisi Kanda ya Ziwa, utakuwa mwamba usiotikisika milele!

    Ushatumia aina nyingi za usafiri kama vile bodaboda, bajaji, ndege, kimbinyiko, farasi n.k. Upo kanda ya ziwa sasa kwa nini upande fuso? Huo sio usafiri wa wajanja huko kanda ya ziwa, wajanja wa huko hawatumii fuso wala gari la aina yoyote ile bali hutumia fisi. Jaribu kutumia Fisi kama...
  11. Mwanamayu

    Je, akifanyacho Mwenezi wa CCM, Makonda, ni kuinyima CCM pumzi au kuiimarisha?

    Katibu Mwenezi, Bwana Makonda anafanya ziara huku na kule na kusikiliza kero za wananchi (sijui ni wana-CCM tu au la) na kuwa-task watendaji wa serikali ya CCM na watu kumshangilia. Ingawaje sijui kama analofanya ni sehemu ya job description ya kazi aliopewa. Swali, kwa mendo huu sio...
  12. William Mshumbusi

    Walio karibu na Makonda wamwambie ni kosa kubwa kuwa maarufu kuliko Rais. Aache kabisa harakati

    Huenda anafanya kwa Lengo zuri. Huenda anataka kukisaidia chama lakini Lazma ajue kujizuia. Kuwa maarufu kuliko Rais ni kama uhaini kisiasa. Walio karibu na Makonda wamwambie hatakiwi kuwa Maarufu kuliko Rais. Kisiasa huo ni kama uhaini Ama ajizuie au atazuiwa soon. Au.... Alitaka awe hivyo...
  13. Jidu La Mabambasi

    Katibu Mkuu CCM Chongolo hala hala baba, Makonda anakuja vibaya!

    Siyo siri ujio wa Makonda ndani ya CCM umekuwa na matokeo chanya. Hapa mama Samia alilamba dume ka karata. Tatizo ni Chongolo, anaonekana kutokomea into oblivion. Makonda anapiga chenga hata za mwili kisiasa. Katibu Mkuu changamka! ==== Pia soma: Katibu Mkuu wa CCM, Ndg. Daniel Chongolo...
  14. cleokippo

    Paul makonda wa joto sana, hivi zile ni nguvu zake au superstation? Arudisha matumaini mapya kwa wakazi wa jiji la miamba (the rock city)

    Maelfu ya wakazi wa jimbo la sengerema jijini mwanza leo hii walijitokeza kumlaki katibu mwenezi wa chama cha mapinduzi (ccm) taifa aliyefanya ziara kwa mara ya kwanza ukanda wa ziwa tangu alipochaguliwa kuwa katibu mwenezi siku za hivi karibuni Makonda aliweza kusimamisha shughuli za uchumi...
  15. Nigrastratatract nerve

    Makonda: Rais Samia ni dada wa Kanda ya Ziwa

    📌📌 RAIS SAMIA NI DADA YETU, WATU WA KANDA YA ZIWA - MWENEZI MAKONDA "Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ni dada wa kanda ya Ziwa. Tuna wajibu wa kumuombea, kumlinda na kumtetea kwa sababu kaka yetu Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ndiye aliyetutambulisha na kutuambia...
  16. Nigrastratatract nerve

    CCM hujikosoa na kujisahihisha kulingana na Nyakati:- Mwenezi Makonda

    📌📌 MAKONDA AKIHOTUBIA MKUTANO WA HADHARA - MWANZA "CCM ni Chama bora kwa sababu kinao uwezo wa kujikosoa, kujisahihisha na sifa ya kubadilika kutokana na mazingira. Chama kimepita katika nyakati tofauti na kinakuja na mbinu mpya, ndio maana kitaendelea kuwa madarakani." Ndugu Paul Makonda...
  17. Nigrastratatract nerve

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza apewa wiki tatu na Mwenezi Makonda kuhakikisha Hospitali ya Sengerema Inafunguliwa

    📌📌 MAAGIZO 3 YA CCM NDANI YA SENGEREMA - MWENEZI MAKONDA Katibu wa Halmashauri Kuu , Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda ametoa maagizo matatu ya Chama Chama Mapinduzi mara baada ya kusiliza kero za Wananchi wa Sengerema akiwa njiani kupokelewa katika Jiji la Mwanza ambapo yupo kwa...
  18. D

    Makonda anasema hatomsaliti Hayati Magufuli hata kwa bastola, ilihali tayari kashamsaliti kama ifuatavyo

    Katibu mwenezi akiwa ziarani mkoani geita kasema hivi! Yeye siyo mnafiki kama CCM wengine waliomsaliti Magufuli na kumkana, Yeye Paul Makonda kasema Magufuli ndiye kiongozi wake ambaye hatoweza kumsaliti hata kama atawekewa bastola kichwani" HAYO MANENO KAYATAMKA Mbele ya umati, pia kaenda...
  19. Suzy Elias

    Amini ama usiamini Makonda kabla ya 2024 ndiye atakuwa Katibu Mkuu wa CCM

    Kabla ya majira kutimia 2024 Paul Makonda ndiye atakuwa KM wa CCM. KM wa sasa, atakuwa Balozi wetu katika nchi mojawapo ya Zimbabwe, Namibia ama Zambia.
  20. Kipenzi Changu

    Lissu ameingia. Makonda aaandae majibu ya vyeti, utekaji na uvamizi

    Kama itakuwa ngumu yeye kuandaa majibu basi aliyemteua na CCM kwa ujumla muandae dokezo la majibu. Kwa yeye mambo ni machache tu; Vyeti feki, uvamizi na utekaji ikiwemo unyanganyi. Hii ni siasa, huwezi kumpangia mpinzani wako pa kupiga. Licha ya hivyo pia ni kuiambia serikali kutimiza wajibu...
Back
Top Bottom