makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania Makonda kusuka au kunyoa: Kinana awataka watendaji wafuate muongozo wa Rais kwa kutodhalilisha watendaji hadharani

    Makonda sasa asuke au anyoe, Kinana ametoa kauli kwamba falsafa ya Rais Samia ni kufuata Katiba sheria na kanuni, na kwamba watendaji wasidhalilishwe na viongozi. Naiona falsafa ya makonda ya kudhalilisha ili apate umaarufu inagonga mwamba, je nini hatma yake? Atabadili gia angani na kwanza...
  2. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Upepo wa Makonda umekata mapema sana

    Tatizo ni kuwa hana hoja nimemskiliza kwenye mikutano alofanya alikuwa na haraka sana ya kuzunguka, alikuwa hana hoja zaidi ya kuwaonyesha "adui" zake kuwa nimerudi dining room! Hakuwa na hoja wala mikakati yeyote. Upepo umekata
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia yuko bize kujitengenezea "Augustino Mrema" wake kupitia Makonda

    Naona kabisa SSH anaenda kujipatia Augustino Mrema wake kwa kupitia Makonda. Utaratibu wa Mrema hauna tofauti na wa Makonda, anajijenga yeye binafsi, baadae Sasa ataamini yeye ndio yeye. Sasa itafikia muda anakuwa liability kwa CCM na Rais Samia sidhani kama ataweza kumdhibiti tena. CCM bado...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Emmanuel Nchimbi ataweza kufanya kazi na Makonda?

    Dkt. Emmanuel Nchimbi amerejeshwa Makao Makuu ya CCM kuongeza nguvu. Anakutana na Paul Makonda, anakutana na majalada yakutaka Sabaya na timu yake warejeshewe madaraka . Je, Nchimbi atakubali ana na aina hii ya vijana kumsaidia kazi? Je, Emmanuel Nchimbi atakubaliana na mkakati wa chama...
  5. Peter Dafi

    JamiiForums Tanzania Mufti Watanzania Dkt. Abubakari Zuberi Ally amfanyia dua maalum Paul Makonda

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, Itikadi, Uenezi na Mafunzo ndugu Paul Makonda leo tarehe 1 December 2023 amemtembelea na kumshukuru Mufti wa Tanzania Dkt. Abubakary Zuberi bin Ally kwa kumuombea na kuanae katika nyakati zote alizo zipitia Ndg Makonda na kuendelea kupata Baraka...
  6. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Nimejiridhisha kwamba, kelele zisizo haki, hazimzuii Paul Makonda kufika alikompangia Muumba!

    Kelele zingelikuwa ndio kizuizi cha mtu kufikia hatima Yake, watu wengi tungelikufa mapema. Tukiorodhesha tuhuma hapa kumhusu Makonda, kitabu chenye kurasa elfu kinajaa. Tukisikiliza clips za watu wasio haki wakipiga kelele zinazompinga Makonda, hakuna mwenye MB za kutosha kuzisukiliza zote...
  7. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Ukweli usiopingika Paul Makonda amerudisha heshima ya CCM kwa kila Mtanzania

    Huwezi kuwa na chama tawala ambacho hakiwezi kuwajali wananchi waliokiweka madarakani. Kero zao, shida zao lazima zisikilizwe kana kwamba wanawaamrisha waliowaweka madarakani Makonda yupo sahihi kutoa matamko ili mawaziri wa CCM wasikilize kero za Watanzania.
  8. benzemah

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CCM chini ya Mwenyekiti Samia yaridhia Daniel Chongolo kujiuzulu Ukatibu Mkuu

    Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa kilichofanyika leo tarehe 29 Novemba, 2023 Jijini Dar es salaam na kuongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kimeridhia kujiuzulu kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa...
  9. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Mwanangu Makonda, hakika, hautapata unachokitaka

    Nitahakikisha hilo. Nami nipo hapa Dar es Salaam kuhudhuria vikao vya chama changu CCM kama mmoja wa mwalikwa. Uridhike na ulichopewa chamani. Ulipoteuliwa tu kuwa Mwenezi wa CCM, hima ukaanza tamaa ya Ukatibu Mkuu. Ukaratibu bila utaratibu wala kutubu mipango ya kuifanya nafasi ya Katibu Mkuu...
  10. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mbele ya Safari Makonda yatamkuta kama ya Lowassa, Usaliti ni Ngao ya watu wa Pwani

    Kuona mbali, karibu, nyuma, mbele, kati, historia, yajayo , ya jana, Leo na kesho. Haya yote ni uwezo wa mwenyezi Mungu aliyoweka ndani yetu. Iwavyo vyovyote vile Makonda aweke utayari ndani ya akili yake kutokuwa na matamanio ya vitu vikubwa na asiamini katika ahadi yoyote atakayoambiwa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Taifa liache unafiki. Hivi uovu wa Gekul unafikia hata robo ya ule wa Makonda?

    Kama kweli tunajali maadili na haki za watu basi Makonda alipaswa kuwa anaozea Segerea kwa maovu makubwa aliyoyafanya. Lkn bado anapewa cheo huku mikono yake imejaa dhulma na damu nyingi za watu. Ushahidi uko wazi kabisa: Lissu kamtaja hadharani, mwandishi wa magazeti ya Mwanahalisi kafungua...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Makonda yupo wapi?

    Alionekana akipanda malori ya mchanga, bajaj, baiskeli, punda na hata ngamia huko kanda ya ziwa. Alichoacha kupanda ni fisi tu, je Makonda yupo wapi? Jana Kikwete kasisitiza umuhimu wa serikali kuchukua ushauri katika maswala mbalimbali, nafikiri Kikwete alishaona mbinu za kisiasa za awamu hii...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Utakuja lini Makonda? Unahitajika Mbeya kutatua changamoto

    Binafsi nilianza kumfahamu na kumkubali Mheshimiwa Makonda baada ya kuchukua hatua na kufanya HARAKATI za KUPAMBANA NA WAUZAJI WA MADAWA YA KULEVYA. Mpaka kesho nampenda namwamini Makonda. Katika kipindi cha Nipashe ITV asubuhi ya Leo vijana wachimba madini wilaya ya chunya wanawaomba...
  14. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Kijana mzalendo amvaa Paul Makonda ahoji ukimya wake mkataba wa bandari

    UCHAMBUZI WA KIJANA MZALENDO NKINDIKWA DAVIDKUHUSU TATHMINI YA ZIARA YA KATIBU WA ITIKADI NAUENEZI WA CCM TAIFA, NDG. PAUL CHRISTIANMAKONDA ALIYOIFANYA KATIKA MIKOA YA KANDA YAZIWA MWEZI NOVEMBA 2023. 1. UTANGULIZI Ndugu waandishi wa habari leo jumatatu tarehe 20/11/2023 nimewaitaili...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Makonda ni mhalifu mkubwa sana hapa Tanzania

    Ameongeza kwa kusema " kwa nchi zenye kufuatia utawala wa sheria Makonda alipaswa kuwa jela".
  16. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania RC Makalla achana na Makonda vinginevyo utakwenda na maji

    Baada ya ziara ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ndugu Paul Makonda kufikia tamati huko Mkoani Mwanza, yapo maagizo halali ya Chama aliyoyaelekeza kwa Watendaji wa Serikali Mkoani humo wayatekeleze kwa maslahi mapana ya Wananchi. Ajabu, Mkuu wa Mkoa huo ameanza kupuuza huku akimnanga bwana...
  17. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Makonda ana hulka zile zile za Magufuli. Uchaguzi ujao tegemeeni yale yale ya 2020

    Tegemeeni yale yale, msikenue meno mkasema kutakuwa na unafuu uchaguzi ujao! Msijidanganye kwamba kuna jimbo mtapata, Msidhani Makonda kateuliwa kihasara hasara, hawa wameangalia mtu mwenye roho ngumu, na asieogopa chochote. Huyu amewekwa hapo kuwashughulikia kisayansi, huyu ni Magufulism...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awe makini asije akatuletea "Sabaya" mwingine. Je, ni kwanini CCM wanamtumia Makonda hata baada ya kupigwa ban na Marekani?

    Mpaka sasa wenye uelewa wa kawaida tu wanafahamu ni nini mama Samia anakiandaa kwa siku zijazo hususani 2025. Mama na CCM wanajua fika kuwa bila rafu mambo yatakuwa magumu sana 2025. Kila wakati historia imeonesha kuwa pamoja na CCM kuwa madarakani na kujinasibu kama chama makini na kujiuza kwa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Makonda fuatilia dhuluma mradi wa fidia Jangwani watu wanalipwa 170,000 badala ya milioni 4 aliyosema Waziri

    Mradi wa kulipa fidia wananchi wa Jangwani kupisha mwekezaji una mambo ambayo sio ya kawaida, Waziri wa TAMISEMI, Mchengerwa ametangaza wananchi hao watalipwa sh. milioni 4 lakini kinachoendelea kwenye utekelezaji watu wamesainishwa fomu za kulipwa laki na 70 bila kujali ukubwa wa familia...
  20. Leak

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda awataka Viongozi wanaosubiri ziara ya Rais ndio watatue matatizo ya wananchi wajitafakari kama wanapaswa kuendelea kuwa viongozi

    Katibu wa Itikadi naUenezi chama cha Mapinduzi (Paul Makonda) amewataka viongozi wa Umma na wa siasa kuacha mara moja tabia ya kusubiri ziara ya Viongozi wakuu wa Umma ndio waje kueleza mazuri na mipango au kutoa ufafanuzi wa mambo muhimu yanayo husu miradi ya jamii na utekelezwaji wake! Paul...
Back
Top Bottom