makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwambieni Dkt. Nchimbi, aache kupambana na Makonda, Nyota ya Makonda imeinuliwa na Mungu ili kuwatetea wanyonge kama alivyokuwa Hayati Magufuli

    Pengine Inawezekana mkawa mnalifaham ila mnalipuuzia . Pengine Mungu kaamua kuendelea kuwapa ugumu wa Moyo na kufabaza akili zenu ili mshangazwe !!. Paul Christian Makonda, Uthubutu alonao ni zaidi ya Hayati John Pombe Magufuli, na Hawa ndio aina ya watu ambao wanaweza kulivusha Taifa hili...
  2. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushawishi wa Makonda ni mbingu na ardhi na wa Nchimbi

    Vyovyote vile iwavyo, ukweli ni kuwa Makonda ana nyota ya ushawishi kuliko SG Nchimbi. Hata ukifuatilia namna mapokeo ya hadhira inayo hudhuria mikutano yao, wazi huwezi kuchelewa kung'amua hilo. Pamoja na wengi kumpuuza Makonda, lakini ukweli ni kwamba anao ushindi ulio bayana lijapo suala...
  3. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenezi Makonda: Sifanyi mikutano ya kujaza watu kwa kutumia wasanii kwasababu tunataka kuona uhai wa CCM na jumuiya zake

    📌📌 SIFANYI MIKUTANO YA KUJAZA WATU KWA KUTUMIA WASANII KWASABABU TUNATAKA KUONA UHAI WA CCM NA JUMUIYA ZAKE - MWENEZI MAKONDA Asema CCM Inawapenda na Kuwajali Wasanii lakini kwasasa ni muhimu kuona Uhai wa Chama, Wasanii wataburudisha kipindi cha kampeni Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ziara za Makonda hazina mvuto tena. Wananzengo wameg'amua ni maigizo ya kisanii

    Pamoja na mikwara mbuzi ya kupiga simu lakini hakuna jipya. Dhuluma na ufisadi bado vipo palepale. Polisi na Mahakamani dhuluma. Upigaji ulisharuhusiwa. Maana kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake wanaogopa kuvimbiwa tu
  5. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenezi Makonda ampatia tsh milioni 2 kijana mjasiriamali mwenye kujiendeleza kibiashara

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda amempatia kijana wa kiume mjasiriamali mwenye ulemavu kiasi cha Tsh Milioni 2 kama sehemu ya kujiendeleza katika biashara yake ya duka la vinywaji. Mwenezi Makonda amefanya hivyo mara...
  6. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania CCM ya Rais Samia, Dkt. Nchimbi na Mwenezi Makonda tuishauri lipi? Mengi yametekelezwa

    WanaJf, Salaàm! Kero nyingi za watanzania zimetatuliwa kupitia UTEKELEZAJI wa Ilani ya uchaguzi. Umeme upo Maji yapo Barabara zipo Mikopo kwa wanafunzi ipo Uwezeshaji wanawake, walemavu, na wazee umefanyika Ajira kwa vijana zimeongezeka Ruzuku ya kilimo ipo Michezo imefadhiliwa nk nk Sasa...
  7. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Yetote mwenye sifa atasimamia uchaguzi

    “Wanasema wakurugenzi wasisimamie uchaguzi. Sisi tunasema Mtanzania mwenye sifa Tume itampa nafasi ya kusimamia uchaguzi.” – Paul Makonda, Katibu wa Halmashauri Kuu CCM, Itikadi, Uenezi na Mafunzo PIA, SOMA: Matamko mengine ya Makonda Makonda: 2024 na 2025 tutakupima kwa kazi; sio kwa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alifikiria nini kumteua Makonda? Alikuwa ana lengo gani?

    Makonda ana sifa moja kubwa nationally and Internationally, Gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons." Kwa watu wenye akili watajiuliza swali kama hilo Mama Samia lengo lako ni nini kumteua Makonda? Any...
  9. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Nchi yetu nzuri Tanzania tutaiharibu wenyewe kwa kuteua na kutumia watu kama kina Makonda

    It is very funny! 1. Serikali imeweka utaratibu wa kupanga na kusimamia sekta zake mfano ujenzi wa barabara. Leo tumeuacha, Makonda ndiye anapeleka magreda site kuchimba barabara. Nasi tuko kimya tunaona sawa. 2. Vikundi vya kupinga vyama halali vya upinzani vinaasisiwa na vinatumia dini na...
  10. Nkaburu

    JamiiForums Tanzania Picha: Debate Nyani Ngabu Vs Makonda

    ??
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Paul Makonda: Lissu mjanja ameona maandamano hayana maana

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda amebainisha kuwa Tundu Lissu ni mjanja ndio maana ameamua kuwakimbia CHADEMA baada ya kuona hakuna haja ya kufanya maandamano yasiyo na tija wala maana yoyote na kuamua kwenda zake Nchini Ivorycoast kuangalia...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Paul Makonda yaingia shubiri Bagamoyo na kuibua mapungufu ya Serikali ya CCM

    19 January 2024 Bagamoyo, Pwani PAUL MAKONDA AKUTANA NA UGUMU ULIOPITILIZA UNAOSHINDWA KUPATIWA UFUMBUZI NA MFUMO WA UTAWALA WA SERIKALI YA CCM https://m.youtube.com/watch?v=om38fxu03Yc Katibu wa uenezi, itikadi na mafunzo wa CCM Bw. Paul Makando leo hakuamini macho yake kuona jinsi ya mfumo...
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Paul Makonda: Tumechoka na ahadi za treni za umeme

    Kuhusu kuanza kwa treni ya kisasa ya SGR, Makonda amesema kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichoketi Unguja hivi karibuni kiliwaita Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa kutoa maelezo kuhusu maendeleo ya ujenzi wa reli...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda kutoa Katapila 20 kusaidia kurekebisha barabara za Jimbo la Kawe

    Katibu wa Itikadi , Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Paul Makonda leo Januari 19, 2024 ameahidi kukabidhi katapira 20 kwa mbunge wa jimbo la Kawe, Josephat Gwajima kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa barabara. Makonda ametoa ahadi hiyo kutokana na wananchi wa jimbo hilo kulalamikia ubovu wa...
  15. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Debate challenge: Nyani Ngabu vs Paul Makonda!

    Paul Makonda kadai anataka mdahalo na viongozi wa CHADEMA. Wao wamemjibu kwa kuweka masharti ili mdahalo huo ufanyike. Here I come. Mbeba maboksi niliyeishia kidato cha nne na kufeli. Siweki masharti yoyote yale. Mimi na yeye tufanye mdahalo kuhusu mada yoyote ile…katiba mpya, ufisadi, global...
  16. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Nimepata kusomea Ratiba ya Makonda mikoa 20, anapita barabara zenye lami tu? Kwenye barabara za maeneo yenye vumbi hakuna wanaccm?

    Huyu bwana ni msaani! Anatumia Kodi na fedha za chama kupitia na gari Kila mkoa Kwa siku Moja! Cha kunifurahisha Sasa , hapiti maeneo yenye matatizo mfano , maeneo ambayo hakuna maji, shule, barabara, umeme bali anapitia maeneo ya barabara kuu penye lami TU. Cha kujiuliza huko kusiko na lami...
  17. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tambueni Makonda kupita mule alipopita Magufuli ni kwa sababu Watanzania wanahitaji matokeo chanya

    Watanzania wanahitaji kuona reli ya Sgr kutoka Dar mpaka Mwanza inafanya kazi hii ni kwa sababu ughali wa maisha utapungua sababu mizigo na abiria watasafiri kwa bei rahisi. Bwawa la JHNP linazalisha umeme na umeme haukatiki hovyo. Bei ya umme ishuke na umeme usiwe anasa. Raia wanyonge...
  18. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda ampigia simu Waziri Silaa, amtaka akatatue migogoro ya ardhi Bunju

    Katibu wa itikadi na uenezi chama cha Mapinduzi CCM, Ndugu Paul Makonda akizunngumza na wananchi wa wilaya ya kinondoni kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho. Makonda amemtaka waziri wa Ardhi kufika katika jimbo la kawe na kutatua migogoro ya ardhi iliyopo ndani ya jimbo hilo.
  19. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: 2024 na 2025 tutakupima kwa kazi; sio kwa maneno, sio kwa kugawa kanga kipindi cha uchaguzi

    Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda, leo January 19,2024 ameanza ziara yake kwa kuongea na Wakazi wa Tegeta Jijini Dar es salaam ambapo pamoja na mambo mengine amesema Wabunge, Wawakilishi na Madiwani watapimwa kwa kazi wanazofanya na sio kwa maneno au kujipendekeza kwa...
  20. comte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Siasa imemlipa Mbowe kajenga kasri

    Katibu Mwenezi wa CCM, Paul Makonda amlipua Freeman Mbowe kuwa "siasa imemlipa, amejenga kasri, naenda kulala kwake" PIA, SOMA: Matamko mengine ya Makonda Makonda: 2024 na 2025 tutakupima kwa kazi; sio kwa maneno, sio kwa kugawa kanga kipindi cha uchaguzi Makonda: Yetote mwenye sifa...
Back
Top Bottom