makini

Jully Makini (also known as Jully Sipolo) (born c. 1953 (age 64 in 2017)) is a Solomon Islander poet, writer and women's rights activist. The author of poems such as Civilized Girl (1981) and Praying Parents (1986), in June 2017 she received the International Women of Courage Award from the US Secretary of State for her work in promoting women's rights in the Solomon Islands.

View More On Wikipedia.org
  1. munguwetusote

    JamiiForums Tanzania Nimetapeliwa ajira za wanaojifanya ni World Vision Tanzania

    Habari wanajamvi wenzangu. Pasipo kupoteza muda wa mtu yeyote, nipende kushiriki nanyi juu ya huu mtindo wa utapeli wa ajira/nafasi za kazi zinazotangazwa kila uchwao. Naamini kupitia uzi huu, wanajamvi wengi watapata elimu ambayo itaweza kuwasaidia kwa namna moja au nyingine. Kumekuwa na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tuwe Makini mwisho wa mwaka - madukani Vyakula na vinywaji wanauza vilivyokwaisha Muda (Expired)

    Nimekutana na juisi za Zambia zinazouzwa Tanzania hususani Mbeya na Songwe wanauza zilizoexpire. Pia biscuits hasa za nje chocolate zimeisha Muda lakini zinauzwa tu! Wenye mamlaka sijui wako wako wapi Watanzania tunalishwa sumu
  3. B

    JamiiForums Tanzania Masuala ya rainbow yamepandikizwa kwenye katuni za watoto,wazazi tuwe makini

    Leo nipo na watoto wangu tunaenda shopping,ghafla mwanangu wa kike aliyepo baby class akaanza kuniomba nimnunulie ice cream za rain bow.Nilishtuka sana,nikamuuliza amejuaje mambo ya rainbow?Akanijibu huyaona yakitangazwa kwenye katuni Masha and the bear.Nimeogopa mno sababu hiyo katuni nilikuwa...
  4. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki kuweni makini na watoto wenu wanaoenda 'Mafundisho' msimu huu wa likizo

    Naanza kupata hofu sana na haya maamuzi ya roman katoliki. Kama tu issue ya DP World wale TEC walipiga kelele kwa nini wasitoe waraka kuhusu haya maamuzi ya Vatican? Wazazi kuweni makini na watoto wenu wanaoenda huko Mafundishoni, inawezekana zile stori huwa zina ukweli.
  5. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Kwaya za utumishi ni usanii. Mh rais iwe makini na wasanii. Ni wale funka kombe mwana apite.

    Mh rais naomba uelewe kuwa utumishi kwaya sio kila kitu wanafanya usanii
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ihefu iwe makini kucheza na Yanga, itashuka daraja

    Ihefu inatumia nguvu nyingi sana inayoweza kutumika kucheza mechi Saba na timu nyingine ndogo za ligi. Wanaingia uchovu wa kudumu baada ya kulazimisha kuifunga Yanga au Simba unasababisha kupoteza mechi 7 baada ya mechi na Yanga. Baada ya kuifunga Yanga wanaendelea kufurahi na kushangilia kwa...
  7. The bump

    JamiiForums Tanzania Bank tellers ni wezi wa kimya kimya, kuweni makini

    Nimekua ni mtu wa kuchukua Pesa mara kwa mara Bank na mara nyingi ni mtu ambae sikuaga na utaratibu wa Kuhesabu Pesa ninazo pewa toka BANK. Lakini niwahakikishie wale ma teller either ni wao au mtu anaewapa yale maburungutu anakua anapiga hela. Mara nyingi nikitoa Salio la maburungutu huwa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Bandari Tanzania mnapotoa ufafanuzi wa hoja kuweni makini; meli kukaa bandarini siku 20 ni sifa?

    Bandarini kuna shida, viongozi wanashangilia meli kukaa zaidi ya siku ishirini bila kukamilisha huduma. Mamlaka inatuambia ongezeko la meli kwao ni kikwazo badala ya kuwa fursa. Kibaya zaidi pamoja na mifumo waliyonayo ila wanadiriki kuwaambia waaguzaji mizigo kama wana malalamiko waende...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Prof. Jay, AY & Chid Benz vs Fid Q, Mwana FA & Joh Makini vs Ngwair, Langa & King Zillah, Utasikiliza kundi gani hapo?

    Umepewa Playlist tatu hapa zina ngoma za 1. Prof. Jay, AY & Chid Benz 2. Fid Q, Mwana FA & Joh Makini 3. Ngwair, Langa & KingZillah, Utasikiliza kundi gani hapo?
  10. I

    JamiiForums Tanzania Angalia kwa makini umeona nini!?

    Je umeona nini;? 🤔
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nani kaiona chupa ikiwa kwenye makalio? Daktari kathibitisha? Wanasiasa kuweni makini na hila za mitandaoni

    1. Kuna mdada aliandaliwa kumchafua DC Simalenga. Ustadi mkubwa ulitumika kufunika jicho na shavu la huyo mdada kwa bandeji iliyopakwa tomato sauce . Media uchwara zikategesha kamera mbele ya mdada na kurekodi shutuma kali dhidi ya DC kwamba amemnasa kibao kilichopelekea jicho na shavu...
  12. Mpingamkoloni

    JamiiForums Tanzania PPRA Kukosa Umakini: Kunahitaji miujiza ili mfumo mpya wa ununuzi NEST, ufanikiwe

    Mfumo wa ununuzi wa TANePS pamoja na changamoto zake, ulikuwa mfumo mwepesi kujisajili na kuutumia. Changamoto zilizoifanya TANePS iondolewe, ni hizo hizo zinaikumba NEST kwa sasa. Mfano ilikuwa inalalamikiwa kwamba mfumo wa TANePs ulipokuwa na hitilafu za kiufundi, ilipaswa kuitafuta kampuni...
  13. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania Wazee wa delivery kuweni makini na utapeli huu unatrend sana

    Kwa wale wenye biashara ya kupelekea mteja alipo hata kama ni kwa garama zake kuwa makini. iKO HIVI. Anakuja mteja siku ya kwanza mnafanya biashara vizuri kwa 100% hapo kwa mfanyabiashara lazima atengeneze imani na mteja wake ambeye anamzoom na kumset akae kwenye line. Mnabadilishana...
  14. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kuweni makini na vibanda vya huduma ya pesa kwa njia ya simu, wengi hutoa hela mbovu

    Ni kama vile huwa wanaambiana au wanapeana semina. Hii imenitokea mara nyingi mpaka nilipo anza kuchukua tahadhari. Hii inawahusu zaidi wanao toa kuanzia laki 2, 3 na kuendelea lakini pia hata wanao toa chini ya hapo inawahusu pia. Ni hivi ukienda kutoa hela kuanzia lets say laki 2 au 3...
  15. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Azov Brigade, Magharibi wanakuendesha vile wanavyotaka wao kuwa makini

    Azov Brigade ya Ukraine inatambuliwa na ulimwengu wa magharibi kama mashujaa walinzi wa Ukraine ila Hamas wana tambulika kama kundi la kigaidi kutoka Palestine. Ulimwengu wa Kimagharibi wakiamua kinyesi kiwe chakula wanaamua tu na ukiwa muunga tela watakulisha nawe utaona utamu wake. Dunia hii...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Makonda anatumiwa kuwapoza wasukuma ili kupunguza makali ya 2025?

    Namnukuu member wa Jf Glenn katika moja ya comment yake namnukuu "Ukweli mchungu Msoga wenye nchi kamwe hawataki hata kumsikia Makonda. Pia Kinana na Makonda haziivi hata chembe" NOTE: Ikumbukwe kuwa CCM jambo lao kuu kuliko yote ni kubaki kuwa Chama Bola chama Tawala iwe kwa namna yeyote Ile...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuwe makini na wanasiasa wanaotaka kutumia ukabila kupata kura

    Mara nyingi wanasiasa ndio wamekuwa chachu ya ukabila Afrika. Watanzania tunapaswa kuwa makini na wanasiasa hawa ambao hawaangalii maslahi mapana ya nchi bali huangalia nafasi zao madarakani. Kuna hisia kubwa kuwa kuna kundi la wanasiasa wanatumia mbinu mbalimbali ikiwepo kutaka upendeleo wa...
  18. V

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini na kuwasema watu vibaya

    Wakuu Jana tulikuwa na part flan maghton actually nlialika masela tule bujiii na kuchoma, na kama unavyojua sehemu kukiwa na idadi kubwa ya masela stori ni mpira na madem japo Kuna wachache waliokuja na manzi zao. Katika ubishani mchizi mmoja(simtaji jina najua yupo Jf) akawa ndio spika manaa...
  19. Rebuild

    JamiiForums Tanzania Mimi ni shabiki wa Fid Q lakini Joh Makini kashinda

    Fid Q namkubali sana kwa barz. Leo baada ya kupiga mitungi nikasema nisikilize ngoma za Fid Q na Joh makini. Lakini katika nyimbo zilizo nivutia katika mzuka ni hizi hapa. Fid Q wimbo walk it off Joh makini nusu nusu. Nikasikiliza midundo inafanana kimzuka. Lakini katika barz asee niseme...
  20. Girland

    JamiiForums Tanzania Simba yangu isikilize kwa makini

    Baada ya kichapo tena cha mbwa koko aliyekula mboga ya mchana kutoka kwa mahasimu wetu wa "mabonde kuinama "kwenye mafuriko. Kama mshabiki, mnazi, mkereketwa ninashauri yafuatayo: 1.TATHMINI IFANYIKE KUHUSU MWENENDO WA KLABU YETU NDANI NA NJE YA UWANJA. Lazima wataalamu watuambie je kila mmoja...
Back
Top Bottom