Usipokuwa makini unaweza kujikuta unamhonga mtu anayekuzidi kipato!

Bush Dokta

JF-Expert Member
Apr 11, 2023
12,160
20,337
Kwenye nyanja za kupigana vibomu ambavyo kwakweli vinapendezesha mahusiano, unajua bila kuhonga wengine hatujisikii raha na huwa tunapenda watu wanaotuombe hela. Asikudanganye mtu bwana, ukiwa unamhonga anakuwa mtumwa wako.

Sasa bwana katika pita pita za hapa napale nikakutana na vijana wana hustle maisha. Wamepinda kinyama wanajituma ili kuhakikisha Uchumi wa kati unafikiwa. Pamoja na yote wanahonga sana na wanahonga kwa wanawake wanaowazidi vipato!

Yaani wewe unashindia wali maharage kila siku ila unayemuhonga yeye anakula BBQ, chips kuku, pilau na supu.

Sasa unawaza hawa vijana vipi? Wanajua lakini kinachoendelea? Anatokea mwanamke wako siku hizi za weekend anakupigia simu anakwambia nina shida ya laki na 30.

Kumbe wewe unahenya kuipata mwenzako anabeba mashoga zake wanaenda kupiga pombe huku wame-tune ile nyimbo ya "Enjoy" ya Jux maisha mafupi ni Simple ungana nami upoze koo.

Wakati huo wewe umekula maandazi na chai, sana sana plus maharage kwa mama ntilie hapo Gongo la Mboto na uchovu juu.

Wanawake kuweni na huruma basi.
 
Na bado... kiherehere tu, kwani mlitolewa masime kulazimishwa mahusiano na hao Ke?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kwenye nyanja za kupigana vibomu ambavyo kwakweli vinapendezesha mahusiano, unajua bila kuhonga wengine hatujisikii raha na huwa tunapenda watu wanaotuombe hela. Asikudanganye mtu bwana, ukiwa unamhonga anakuwa mtumwa wako.

Sasa bwana katika pita pita za hapa napale nikakutana na vijana wana hustle maisha. Wamepinda kinyama wanajituma ili kuhakikisha Uchumi wa kati unafikiwa. Pamoja na yote wanahonga sana na wanahonga kwa wanawake wanaowazidi vipato!

Yaani wewe unashindia wali maharage kila siku ila unayemuhonga yeye anakula BBQ, chips kuku, pilau na supu.

Sasa unawaza hawa vijana vipi? Wanajua lakini kinachoendelea? Anatokea mwanamke wako siku hizi za weekend anakupigia simu anakwambia nina shida ya laki na 30.

Kumbe wewe unahenya kuipata mwenzako anabeba mashoga zake wanaenda kupiga pombe huku wame-tune ile nyimbo ya "Enjoy" ya Jux maisha mafupi ni Simple ungana nami upoze koo.

Wakati huo wewe umekula maandazi na chai, sana sana plus maharage kwa mama ntilie hapo Gongo la Mboto na uchovu juu.

Wanawake kuweni na huruma basi.
Hueleweki mara useme unapenda kuhonga mara wakuhurumie. Tulia upakwe dawa ikuingie
 
nihonge tu mkuu..tumeumbiwa kupokea mkuu🥰
Hahaha ila kweli sasa hebu muelewesheni mleta mada kwamba mwanamke hata awe ana kipato cha 7m kwa mwezi na mwanaume ana kipato cha 700k kwa mwezi lazima ataombwa na kama ni mwanaume atatoa kwa moyo na hatopungukiwa. Sijawahi sikia mwanaume kafulia kisa kuhonga japo kuna muda tunacharara ila ikiwepo tufanya matendo ya huruma ni jadi ya mwanaume
 
Hahaha ila kweli sasa hebu mueleweaheni mleta mada kwamba mwanamke hata awe ana kipato cha 7m kwa mwezi na mwanaume ana kipato cha 700k kwa mwezi lazima ataombwa na kama ni mwanaume atatoa kwa moyo na hatopungukiwa. Sijawahi sikia mwanaume kafulia kisa kuhonga japo kuna muda tunacharara ila ikiwepo tufanya mayendo ya huruma ni jadi ya mwanaume
Bush Dokta kuja kipande hiki usome
 
Back
Top Bottom