Prof. Jay, AY & Chid Benz vs Fid Q, Mwana FA & Joh Makini vs Ngwair, Langa & King Zillah, Utasikiliza kundi gani hapo?

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,121
1701691540408.jpeg

Umepewa Playlist tatu hapa zina ngoma za

1. Prof. Jay, AY & Chid Benz
2. Fid Q, Mwana FA & Joh Makini
3. Ngwair, Langa & KingZillah, Utasikiliza kundi gani hapo?
 
Moya namba moya hapo kuna professor anakuambia nikuadiaje? Kisha akatuuliza tukamjibu ndiyoo mzeee ghafla alipomuona mtoto mkali akaona zali la menthali,.

Ghafla tukasikia ilaaaaaaalaaaaa, Kiiiing koooooong uzito wa mdundo wa hindi tangu enzi za pancho ,mashuhuri toka mtoto toka studio joto sahau kuhusu aaac.,tukaulizana nani huyu ndipo sauti ikapaaza ni chidy chidy chidy wamekaa😂😂😂😂 .

Tulipoona mbona yamekua haya tukasikia mdundo kwa jirani your my African queen never seen before tuuu tuuu tuuuu give me so more ...
MAJIBU MSHAPATA
 
Playlist heavy sana hizi. Japo naweza kusindikizia na za mkali mmoja kutoka pande za iringa anaitwa geezy mabovu rip
 
Ay ana jimbo lake moja linaitwa usijaribu, linatisha hilo dude. Bnafs kundi namba moja.
Nb. prof jay ndo msanii wangu pendwa wa mda wote kwa hapa tz, akifuatiwa na Ngwair, fidq, langa, Ay, Chidbenz

Sent from my BKK-LX2 using JamiiForums mobile app
 
Moya namba moya hapo kuna professor anakuambia nikuadiaje? Kisha akatuuliza tukamjibu ndiyoo mzeee ghafla alipomuona mtoto mkali akaona zali la menthali,.

Ghafla tukasikia ilaaaaaaalaaaaa, Kiiiing koooooong uzito wa mdundo wa hindi tangu enzi za pancho ,mashuhuri toka mtoto toka studio joto sahau kuhusu aaac.,tukaulizana nani huyu ndipo sauti ikapaaza ni chidy chidy chidy wamekaa .

Tulipoona mbona yamekua haya tukasikia mdundo kwa jirani your my African queen never seen before tuuu tuuu tuuuu give me so more ...
MAJIBU MSHAPATA
Hahahaha umetisha hasa hapo kwa king n queen ya yesaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom