makalio

Andrew Makalio (born 22 January 1992) is a New Zealand rugby union player who currently plays as a hooker for Tasman in New Zealand's domestic Mitre 10 Cup and for the Crusaders in the international Super Rugby competition.

View More On Wikipedia.org
  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Mpina kuhusu upasuaji wa kuongeza makalio yazua mjadala Bungeni

    MJADALA mkali umeibuka bungeni kuhusu upasuaji kurekebisha maumbile, ikiwamo kupunguza au kuongeza ukubwa wa makalio katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Luhaga Mpina, Mbunge wa Kisesa (CCM), ndiye aliyeibua zogo bungeni jijini, alipotoa hoja kwamba MNH-Mloganzila imeanzisha huduma hiyo...
  2. tpaul

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mnaowashika wanawake makalio na matiti Kariakoo kiama chenu kinakuja; Chalamila anawachemshia dawa

    Kuna hii tabia ya wanaume kuwashika wanawake makalio na matiti kwenye sehemu za misongamano, hasa Kariakoo, ambako muda wote kuna msongamano wa watu. Mh Chalamila, RC wa Dar es Salaam anawachemshia dawa ambayo hamtakuja kumsahau. Yaani mtajuta kumfahamu. Mara nyingi wanaume hawa huvizia kwenye...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel acha kupotosha maudhui ya hoja ya Mpina kuhusu makalio

    Dk. Mollel Naibu Waziri wa Afya acha kutumia ofisi na kodi za umma kuendesha propaganda na kupotosha maudhui ya hoja ya Mheshimiwa Mpina kuhusu Hospitali za Umma kutoa huduma za kuongeza Makalio badala ya kutumia fedha hizo kuboresha huduma za afya za msingi. Kama umeamua kumjibu Mpina hoja...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Pesa za Kununua Mashine za Kuongeza Makalio Mloganzila zimetoka wapi?

    "Hospitali za Serikali kuacha jukumu lake la msingi na kuanza kufanya kazi za anasa kama kuongeza ukubwa wa makalio badala ya kujishughulisha kikamilifu kutibu maradhi yanayosumbua wananchi, tunao uhaba mkubwa wa raslimali fedha katika kutatua matatizo ya huduma za afya, mfano leo ni zaidi ya...
  5. TUKANA UONE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuache kufarijiana huko nje kwa maneno ya kijinga,Hakuna Mwanaume wa Kiafrika asiyependa au Kumtamani Mwanamke mwenye Makalio Makubwa!

    Ukihitaji salamu subiri kwanza FaizaFoxy anikubalie ombi langu,tofauti na hapo utaambulia gunzi ukapikie Mapupu! Sometimes huwa nawashangaa baadhi ya wanaume kumtupia lawama kijana Harmonize kwa kupenda Mishangazi yenye matako makubwa! Hivi nani aliwaambia wanaume wa Kiafrika hawapendi...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mama sasa nimekua, acha kucheza vigodoro huku unatikisa Makalio

    MAMA SASA NIMEKUA, ACHA KUCHEZA VIGODORO HUKU UNATIKIZA MAKALIO. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Nimechoka. Acha niseme tuu. Niwe huru. Mama gani huyu, Bora kutokuwa na mama kuliko kuwa na Mama wa hovyo kama mama huyu. Oooh! Mama ni Mama, sijui Taikon unalaana, mmelogwa ninyi sio bure. Ni...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nani kaiona chupa ikiwa kwenye makalio? Daktari kathibitisha? Wanasiasa kuweni makini na hila za mitandaoni

    1. Kuna mdada aliandaliwa kumchafua DC Simalenga. Ustadi mkubwa ulitumika kufunika jicho na shavu la huyo mdada kwa bandeji iliyopakwa tomato sauce . Media uchwara zikategesha kamera mbele ya mdada na kurekodi shutuma kali dhidi ya DC kwamba amemnasa kibao kilichopelekea jicho na shavu...
  8. Chief Kumbyambya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wenye makalio makubwa mnajionaje?

    Nisiwafiche, Nyie ni vibonge tuu... Msijione kama Nyie ndo namna gani vipi sio.... Mnariiiinga kisa hayo manyama? Nyie ni vibonge tu kama vibonge wengine. Leo nimeingia tawi moja hivi la NMB hapa town, Ile nafika tu nakuta teller anapiga umbea na mwenzie wa dirisha lingine na sio kwamba...
  9. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Matamanio ya watu yana "evolve", ndio maana zamani makalio hayakuwa kigezo katika mapenzi na urembo

    Angalia ndugu, dunia ya mapenzi, urembo na fashion inaendeshwa kutokana na matamanio ya mwanaume. Vile desires za mwanaume zilivyokuwa zina evolve (kubadilika kutokana na muda) ndivyo vile ilivyopelekea kubadilika kwa nature ya mapenzi na urembo. Mwanadamu asili yake ni kuhitaji zaidi...
  10. S

    JamiiForums Tanzania ONYO kwa akina dada wote kuhusu huduma ya kukuza makalio itakayoanza kutolewa Mloganzila

    Mloganzila wanajitangaza kwamba wanataka kuanza kukuza makalio. Lakini najiuliza, kwa utaalamu upi? Kwa umakini upi? Wa watu wapi? Hawa hawa wanaosahau mikasi tumboni mwa wagonjwa? Hawa hawa wanapasua kichwa badala ya mguu? Hawa hawa wanaomdunga ganzi nyingi kupitia kiasi (overdose) mama...
  11. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Mloganzila yaanzisha huduma ya kurekebisha 'shape' ya mwili

    Swali: Je, Serikali imeridhia Kuruhusu kuanza kutoa Huduma kama hizi zinazoharibu Maadili ya Nchi na dini? Aisee Kwa Sasa kuja kupata binti natural itakuwa ni Mtihani. -- Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa mara ya kwanza nchini itafanya huduma za kibingwa bobezi za upasuaji wa...
  12. Nyendo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tangu sifa za makalio ziimbwe mabinti akili zimekwisha, maadili wameweka kando

    Tangu wanaume wawaimbie sifa za kuwa na makalio makubwa wanawake ndio wenye soko mjini na vijijini mabinti wamelewa sifa hizo na akili wameweka kando wamebakiza makalio, yawezekana ndio ujana wa sasa ulivyo ila je wamewahi fikiri haya wanayoyafanya sasa huko mitandaoni kama wataweza kutamani...
  13. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Issue ya huyu Mvulana kutongozwa na kushikwa shikwa makalio na mwalimu wa kiume

    Kuna kipindi nlisoma kijana mmoja humu ambaye ana jinsia ya kiume akilalamika na kutaka msaada kwa wanajamii kuhusiana na kushikwa shikwa makalio na kutongozwa na mwalimu wake wa kiume chuoni. Kama week mbili hivi sikuweza kula kabisa... Nlijawa na hasira sana... Nlikuwa natetemeka tu kwa...
  14. Masai wa Town

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenye makalio makubwa hawana heshima

    Nimegundua Hawa warembo Wanajifanya wajanja na wajuwaji kwa kila hoja ilihali %kubwa ni weupe vichwaji, kisa tu wanasifiwa barabarani kuwa ni wazuri. Kwanza wengi wao waliofaulu vyuoni kwa kuuza uchi Kutana na kimwanamke(age 23-27), tako kubwa au hips, chenye ajira kidogo, yaani kinadhani...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nini hasa kinasababisha baadhi ya Makalio ya Dada zetu 'Kudundadunda' sana Kama 'Kitenesi' wakiwa Wanatembea?

    Kuna Mmoja nimepishana nae Stendi ya Makumbusho nikitaka kupanda Gari za Mbagala Rangi Tatu na kwa jinsi yalivyonivutia yalivyokuwa yanatikisika Kiushawishi wa Tendo Pendwa la Kibaiolojia nimejikura nimeghairi kwenda huko Mbagala Rangi Tatu na sasa nimepanda Basi alilopanda Yete la Mbweni ili tu...
  16. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upekee wa Mwanamke ni chuchu embe na sura nzuri

    Hello JF family, Tusilazimishane, makalio si chochote kwa mwanamke, makalio sio innovation wala creativity, na sio unique attribute kwa mwanamke. Upekee wa mwanamke ama wanawake ni chuchu embe na sura nzuri. Tuwe wakweli, mwanamke mwenye chuchu bomba na sura nzuri ana mvuto wote, hata mashetani...
  17. Sajo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Unajua kuwa kutikisa makalio kwa lengo la kumtega mtu ni unyanyasaji wa kingono? Jifunze hapa juu ya unyanyasaji wa kingono

    UNYANYASAJI WA KINGONO NA RUSHWA YA NGONO Kumekuwa na tabia isiyopendeza katika jamii hususani mahali pa kazi ambapo baadhi ya waajiri au mameneja wa waajiri wamekuwa na tabia ya kuwanyanyasa kingono na kuwaomba rushwa ya ngono wafanyakazi walio chini yao au watu wasio wafanyakazi wanaoomba...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Muhimbili Mloganzila yaanzisha huduma ya plastic surgery ikiwa ni pamoja na kuongeza matiti, makalio, nk

    Hospitali ya Taifa ya Muhimbili tawi la Mloganzila wameanzisha huduma ya upasuaji ya kurekebisha baadhi ya sehemu mbalimbali za mwili (plastic surgery). Baadhi ya aina za upasuaji ambazo zitakua zikitokewa hospitalini hapo ni pamoja na kuongeza/kupunguza matiti, kuongeza hips, kuongeza makalio...
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Ni yapi madhara yatookanayo ya kemikali kali za kuchubua ngozi, kuongeza ndevu, kuotesha nywele kwenye vipara, kuongeza makalio na maziwa

    Kumeibuka wimbi la wafanyabiashara wengi wakiingiza nchini madawa mbalimbali yenye kemikali kali za kurefusha uume, kuongeza ndevu, kukupa six packs hata kama una mtumbo mkubwa kama wa Bujibuji Simba Nyamaume , dawa ya kuotesha nywele kwenye upara na nyingine nyingi. Na kuna madawa ya...
  20. Sun Wukong

    JamiiForums Tanzania Wanaume: Hivi hizi nywele za makalio hunyolewa?

    Hazinyolewiiiii
Back
Top Bottom