Tangu sifa za makalio ziimbwe mabinti akili zimekwisha, maadili wameweka kando

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,194
4,115
Tangu wanaume wawaimbie sifa za kuwa na makalio makubwa wanawake ndio wenye soko mjini na vijijini mabinti wamelewa sifa hizo na akili wameweka kando wamebakiza makalio, yawezekana ndio ujana wa sasa ulivyo ila je wamewahi fikiri haya wanayoyafanya sasa huko mitandaoni kama wataweza kutamani kuyaona yakiwarudia miaka 10 mbele?

Kwenye mitandao ya kijamii mabinti wanashindana kuyatikisa makalio yao na kuona ndio ujana na mtindo wa maisha, sawa lakini hivi wanajua kuwa internet haisahau na haya wanayofanya yatawarudia hata wakiwa wazee? Je, watatamani wakutane na vidio zao wakiwa wanatikisa makalio yao hapo baadae? Au ndio wataanza kulaumu watu kufukua makaburi kwa wakati huo?

Tena wengine ni watoto wadogo kabisa miaka 16, 17, 18, 19, 20 hata bado hawajui muelekeo wa maisha yao, hawajui kesho ya wala hawajui wapi wataelelekea, sitaki kuzungumzia kuhusu kuolewa kwa kuwa kuolewa ni maamuzi binafsi na pengine muoaji anapenda hayo maisha. Nazungumzia kwa habari ya kupata ajira kwa watakaotaka kuajiriwa, je, unadhani kuna taasisi itamuhitaji mtu anayetikisa makalio aende kuchafua sura ya taasisi? Au mtu anayejiheshimu anaweza kukupa mchongo mtu wa namna kama yako? fursa zinaweza kukukimbia kwa mtindo wako unaoonesha maadili yako kuwa ya ovyo.

Kucheza ni burudani na ni afya lakini kwa nini ucheze mpaka uutoe au uuvue utu wako? Kwa nini ucheze kama mtu asiye kuwa na maadili? Najua mnaiga wanenguaji hao tayari wameyachanua maisha yao huko, hiyo ni kazi yao ndio inawapa kula kwao na si ajabu akitoka jukwaani hafanyi hayo sasa wewe mdogo wangu unayeanza kurekodi challange ukamtumia msanii akupost unajua unachokifanya kina impact gani kwenye maisha yako ya baadae?

Wanaume mnahusika sana katika hili, mnawapoteza sana mabinti kwa kuwadanganya kuwa kuonesha makalio yao ndio kuwa kwenye soko hali ya kuwa ukweli ni kwamba hamuhitaji mwanamke wa aina hiyo kuwa naye kwenye mahusiano ya kudumu ila mnawafanya viburudisho vya muda tu, hebu waambie kuwa wakiwa na maadili ndio huvutia zaidi ili hicho kichaa kilichowakumba mabinti kitoke.

Kumbuka chochote ufanyacho au uwekacho mtandaoni iwe picha, video au maandishi hakisahauliki kitarudi kwa wakati usiotegemea pengine kitakuokoa au kukuangamiza kabisa.

1684825115227.png

 
Tangu wanaume wawaimbie sifa za kuwa na makalio makubwa wanawake ndio wenye soko mjini na vijijini mabinti wamelewa sifa hizo na akili wameweka kando wamebakiza makalio, yawezekana ndio ujana wa sasa ulivyo ila je wamewahi fikiri haya wanayoyafanya sasa huko mitandaoni kama wataweza kutamani kuyaona yakiwarudia miaka 10
Kumbuka chochote ufanyacho au uwekacho mtandaoni iwe picha, video au maandisi hakisahauliki kitarudi kwa wakati usiotegemea pengine kitakuokoa au kukuangamiza kabisa.
 
Wanaume tuset agenda nyingine ya kuwadrive hawa wadada hili la makalio tutawapoteza wengi

Kuna siku nipo na manzi Moja tunaenda geto kufika nikakuta huyo mdada wa chumba Cha jirani anaogesha watoto wadogo Moja wa kike Moja wa kiume, kale ka kike ukimcheki ana kama miaka 6 hv kalivotuona alishika ukuta akaanza kukatika nliangalia tu nkasemaa kwa kwel tupo pabaya
 
si id fake lakini
Kuna watu wamepata kazi, wamepata fursa mbali mbali kutokana na mtandao wa huu na I'D fake, vipi kama maisha yako ya mtandaoni humu yakiwa ovyo kuna mtu atakuamini kukupa connection ya kitu chochote?

I'D fake zisikupe uhuru wa kuishi maisha mabaya mtandaoni unatakiwa kuishi vyema popote hata kama huonekani kwa kuwa huyo bado ni wewe.
 
Wazazi wako bize na kupambana na maisha, watoto wanajilea, kupelekea kuwa hivyo walivyo.Hili tatizo haliwezi kuisha.
Na baada ya miaka 10 ijayo suala la mwanamke kutikisa tako wala haitakiwa big deal.
 
Wanaume tuset agenda nyingine ya kuwadrive hawa wadada hili la makalio tutawapoteza wengi

Kuna siku nipo na manzi Moja tunaenda geto kufika nikakuta huyo mdada wa chumba Cha jirani anaogesha watoto wadogo Moja wa kike Moja wa kiume, kale ka kike ukimcheki ana kama miaka 6 hv kalivotuona alishika ukuta akaanza kukatika nliangalia tu nkasemaa kwa kwel tupo pabaya
Sasa kwa nini hukakagegeda mwanawane? Mnachezea fursa nyie mjue
 
Tangu wanaume wawaimbie sifa za kuwa na makalio makubwa wanawake ndio wenye soko mjini na vijijini mabinti wamelewa sifa hizo na akili wameweka kando wamebakiza makalio, yawezekana ndio ujana wa sasa ulivyo ila je wamewahi fikiri haya wanayoyafanya sasa huko mitandaoni kama wataweza kutamani kuyaona yakiwarudia miaka 10 m
TTuma uma​
Tuma video

Kama unalo tikisa
 
Ewaaa hapo safi mwanwane. Vipi uno la mama, sii hatari sana itakuwa ulimwaga mpaka ubongo🤣🤣🤣🤣
😁Aisee asikwambie mtu penzi la kuiba tamu kinyama hasa mke wa mtu!

Yule mwanamke mume wake anaendeshaga magari ya mizigo yanayoenda Zambia huko, ila siku ya tukio kulikuwa na game ya yanga na Tp mazembe yanga kashinda 3 mwanamke alikua na vibe kinoma kaja mlangoni ananambia nitoke nje maana ananijua mi naipenda yanga 😁nikamuinvite aingia kaingia ana bia 😁😁😁😁aiseee nilijichukulia points tatu kizembe sana!!!! Ntu ya ntwara ukimsifia anabadilisha gear angani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom