Hivi wanawake wenye makalio makubwa mnajionaje?

Chief Kumbyambya

JF-Expert Member
Jun 16, 2022
490
1,461
Nisiwafiche, Nyie ni vibonge tuu... Msijione kama Nyie ndo namna gani vipi sio.... Mnariiiinga kisa hayo manyama? Nyie ni vibonge tu kama vibonge wengine.

Leo nimeingia tawi moja hivi la NMB hapa town, Ile nafika tu nakuta teller anapiga umbea na mwenzie wa dirisha lingine na sio kwamba hajaniona... Kaniona sana na ana bonge la tako hivyo pozi nyiiingi anafikiri tako litambeba.... kakazana huyo, " shostii nakwambia wema Kawa kama bibiii.... Bora hata alivyokuwa mnene na umbo lake alikuwa anavutia balaa ila sio sasa" Mi nimetulia tu namchora, nikasema leo wacha nimtolee uvivu.

Shostii yake alivyoniona akakata stori Ili nihudumiwe kwanza ndo yule tako anageuka eti karibu kaka.... Nikamwambia tumalize kwanza za wema.. kumbe angebaki vile vile angekuwa mzuri sio saizi eti ee? Kuanzia hapo akajua tu mjuba nimemaind akajishtukia eti samahani kaka angu karibu nikuhudumie..

Nikamwambia hakuna samahani hapo naongea Kwa sauti watu wote mpaka ofisini Kwa meneja wao wanasikia... Dada kakazana anaongea sauti ya chini Ili nipunguze Mimi ndo kwaaanza namuuliza... Vipi kajala unamuonaje bibie! Nae akipungua si atakua bibie kama wema tu?

Meneja wao ikabidi atoke, akauliza kuna nini hapa? Nikamwambia nipo na mfanya kazi wako hapa badaka ya kunihudumia amekazana anapia stori za wema sepetu yeye na mwenzie dirisha la pili hapo ndo ikabidi na Mimi niendeleze. Meneja akajua kosa ni lao akaomba radhi sana na akamwambia yule tako baada ya kazi unione shwaini wewe..... (Nimemnukuu)

Nyie ni vibonge tu, natumai atatia adabu na kesho naenda tena.
 
Unauzoefu wa kuingia benki au unaishiaga tu Kwa mawakala wa mpesa, tigo na airtel money tu? Kama huingiagi benki huwezi elewa ninachosema.
Umejiumbua kuwa hujastaarabika, katika jamii iliyostaarabika huwezi kumkoromea mwanamke kwa sauti hadharani.

Unampe vidongo kwa sauti ya upole lkn unampa vitu hadi ajione hafai.

Kubweka ni kwa watu wa hovyo.
 
Tuachane na story ya wema nijibu swali lako la kuhusu sisi wenye makalio makubwa tunajionaje!!

Binafsi najiona nimebarikiwa sana, baraka kubwaa kumbwaa. Nikipita mahali attention ya watu wengi unakuwa kwangu, ni raha sana asikwambie mtu.

Sio ile unaishi kwama hauishi yaani unapita kama vile bado haujapita. Yaani mimi nikipita napata mashabiki wa kunisindikiza kwa macho ya tamaa. Yaani ni raha sana.

Haya wale wa “weka picha” nawasubiri.
 
Tuachane na story ya wema nijibu swali lako la kuhusu sisi wenye makalio makubwa tunajionaje!!

Binafsi najiona nimebarikiwa sana, baraka kubwaa kumbwaa. Nikipita mahali attention ya watu wengi unakuwa kwangu, ni raha sana asikwambie mtu...
Ushuhuda kama huu inabidi uambatane na Picha. We can't entertain the wit which does not supported by evidence.
 
Tuachane na story ya wema nijibu swali lako la kuhusu sisi wenye makalio makubwa tunajionaje!!

Binafsi najiona nimebarikiwa sana, baraka kubwaa kumbwaa. Nikipita mahali attention ya watu wengi unakuwa kwangu, ni raha sana asikwambie mtu. Sio ile unaishi kwama hauishi yaani unapita kama vile bado haujapita. Yaani mimi nikipita napata mashabiki wa kunisindikiza kwa macho ya tamaa. Yaani ni raha sana.

Haya wale wa “weka picha” nawasubiri.
Isijekuwa na ww ni first batch ya Mloganzila
 
Tuachane na story ya wema nijibu swali lako la kuhusu sisi wenye makalio makubwa tunajionaje!!

Binafsi najiona nimebarikiwa sana, baraka kubwaa kumbwaa. Nikipita mahali attention ya watu wengi unakuwa kwangu, ni raha sana asikwambie mtu. Sio ile unaishi kwama hauishi yaani unapita kama vile bado haujapita. Yaani mimi nikipita napata mashabiki wa kunisindikiza kwa macho ya tamaa. Yaani ni raha sana.

Haya wale wa “weka picha” nawasubiri.
Ile huduma iliyozinduliwa muhimbili naona ilikuhusu vilivyo, by the way,, wewe ni kibonge tu
 
Tuachane na story ya wema nijibu swali lako la kuhusu sisi wenye makalio makubwa tunajionaje!!

Binafsi najiona nimebarikiwa sana, baraka kubwaa kumbwaa. Nikipita mahali attention ya watu wengi unakuwa kwangu, ni raha sana asikwambie mtu. Sio ile unaishi kwama hauishi yaani unapita kama vile bado haujapita. Yaani mimi nikipita napata mashabiki wa kunisindikiza kwa macho ya tamaa. Yaani ni raha sana.

Haya wale wa “weka picha” nawasubiri.
Umebarikiwa sana kuanzia guu zuri, si ndio ee
 
Umejiumbua kuwa hujastaarabika, katika jamii iliyostaarabika huwezi kumkoromea mwanamke kwa sauti hadharani.

Unampe vidongo kwa sauti ya upole lkn unampa vitu hadi ajione hafai.

Kubweka ni kwa watu wa hovyo.
Ustaarabu ukizidi unakua fala bogas mzee... we endelea na ustaarabu wako. This world is not fair at all.

Fuatilia Kwa umakini utagundua watu wote wastaarabu huwa mnakufaga mapema sana do you know why??? Mkiumizwa hamsemi mnabaki na vinyongo moyoni. Kanuni ni Ile ile... Ukizinguliwa lipukaaaa...

Nina T-shirt yangu huwa naipenda sana kwenda nayo benki imeandikwa "EXPLOSSIVE MACHINE" huwa nikivaaga hiyo popote Kaa mbali.
 
Tuachane na story ya wema nijibu swali lako la kuhusu sisi wenye makalio makubwa tunajionaje!!

Binafsi najiona nimebarikiwa sana, baraka kubwaa kumbwaa. Nikipita mahali attention ya watu wengi unakuwa kwangu, ni raha sana asikwambie mtu. Sio ile unaishi kwama hauishi yaani unapita kama vile bado haujapita. Yaani mimi nikipita napata mashabiki wa kunisindikiza kwa macho ya tamaa. Yaani ni raha sana.

Haya wale wa “weka picha” nawasubiri.
Usiweke picha bei ya tangazo itakua kubwa zaidi.

Lipia tangazo kwa mods.
 
Back
Top Bottom