Andrew Makalio (born 22 January 1992) is a New Zealand rugby union player who currently plays as a hooker for Tasman in New Zealand's domestic Mitre 10 Cup and for the Crusaders in the international Super Rugby competition.
Imagine hii tweet ni ya mtoto wa Rais na mkuu wa majeshi ya Uganda!! What a disgraced regime?🥸 ila Watusi ndivyo walivyo wabaguzi, wenye chuki na kuwaona watu wengine kama hawana haki ya kutawala na kuwaona wabantu wote na wahutu kama mifugo
I'm sorry, but we will start arresting nyashless...
Mwanaume umeshajua we ni mnene, bonge, kiriba tumbo na upo irregular.
Sasa,kwanini una-watia aibu wanaume wenzio kwa kuvaa boxer ndogo isiyofunika mfereji wote mpaka chini?
Kwanini unavaa nguo ya kubana isiyofika juu.
Kwanini uvae T shirt au Shati ndogo isiyokuenea mpaka tumbo lionekane au...
Habari jamani leo naomba nije kasi na haraka maana kituko nilichoshuhudia jana ni aibu kubwa sana.
Songa nami.
Jana pale maeno ya Ubungo External kulikuwa na shughuli ya kumtoa mtoto 40.
Waalikwa walikuwa ni wengi na palikuwa na hekaheka nyingi sana.
Sasa basi katika makutano hayo alikuwapo...
Leo nimekutana na video ya mmasai naye anasema anapenda nyash. Kwani hakuna wanaume wanaopenda wanawake vipotable wasio na makalio makubwa?
Na kama wewe ni kama huyo mmasai, kwanini unapenda wanawake wenye makalio makubwa?
Siku hizi hakuna mziki ni bange zinaimba tu, utakachoishia kuona kwenye runinga yako ni makalio sasa sijajua yanaweza kumpa mtu elimu gani
Sijui itakuwa dunia ya aina gani ya watu kuoneshana makali ikiwa hali hii itaendelea
Sijajua watu wanaweza kujifunza nini kupitia makalio kama baadhi ya...
Tipwa Tipwa wamebaki kwa ajili ya burudani tu za kutolea stress za mihangaiko.
Wengine Unakutaga wanahagaika in their 20s, wanauza utu kwa ajili ya starehe na pesa za kuhongwa, wakishafikia 35 sasa ndio wanaanza kutafuta mabwana na kuja na nyuzi humu wakitafuta wazee wa miaka 50 maana wanajua...
Hivi Kuna watu wantuma pesa kirahisi kabisa mda huu Kuna jinga linatuma sms ya hivi aisee tanzania imeshindwa kuwashugulikia Hawa wajinga maana ni usumbufu sana aisee watanzania tufanye kazi hii sio ajira shenzi kabisa huyu jamaa nilijua meseji ya maana kumbe jinga Moja
Nimeona ndoa ambazo wanandoa kabla ya kuoana wote hawakuwa bikra lakini ndoa zina furaha, amani na mafanikio
Nimeona ndoa ambazo mwanamke ameolewa na mtoto tayari au watoto lakini ndoa zina furaha, amani na mafanikio.
Nimeona ndoa ambazo wanandoa wameingia kwenye ndoa ilhali mume au wote...
Imagine mtu anatembea bara barani sehemu finyu then akuoneshi motion ya kupishana kama vile wewe unavyomuonesha, anatembea towards you kama vile presence yako haipo hio yote ili wewe umpishe kwa kujibana bana coz yeye ndio pisi kali matawi ya juu mwenye wiggle wiggle.
Sasa wakikutana na no...
Leo nakiri bila kushurutishwa makalio yana umuhimu wake.
Najua baadhi ya waja hasa flat screeners wataguna😜na wengine wameenda mbali zaidi kwa kudai eti makalio makubwa yanapunguza akili.
Nimegundua akili zikiwa za kuvukia barabara zinatosha.
Kwanza mnaotaka miakili mingi yanini? mnataka...
Haya wanaume jibuni hili fumbo, kuna ukweli wowote katika hili?
Kama ni kweli mbona wanaume wa Tanzania wanapenda sana Minyambizi?
Yani Minyambizi ndio inaendesha range na wembamba Passo.
Hii inaitwa ngoma draw, Mi nafikiri kila mtu ashinde mechi zake huku tukila kwa urefu wa kamba zetu maana hata solomon alijaribu kila kitu na akaishia kusema hii dunia na maisha kiujumla ni batili tu.
Kama mwanaume priority yako ni kupenda makalio makubwa.
Na mwanamke priority yake ni kupenda...
Hello members, nawasalimia kwa vibes za jukwaa tukufu, jukwaa linalohuisha maisha yetu na linatufanya tuishi bila stress.
Nawakariibisha kwa majibu, maoni na mtizamo kuhusu wanawake kubinua na kutikisa makalio hovyo kila pahala, hususani kwenye sherehe, matamasha, kupost video mitandaoni na...
Kila nikipita kwenye mitandao kuanzia Instagram, Twitter ( X ), Facebook n.k kote huko kwa asilimia kubwa unakuta Picha au clip ya demu akionesha makalio bila aibu
Sasa najiuliza ni matangazo au ni Nini???, au ndio Dunia unaelekea mwishoni???
Wengine mpk skuizi wanaenda kufanya upasuaji (...
Mitazamo ya uzuri wa mwanamke siyo ya kudumu, inabadilika kulingana na nyakati.
Enzi za mabibi zetu wanawake wenye mwanya walionekana kuwa ndiyo warembo zaidi. Ikawalazimu bibi zetu kubomoa meno ya mbele ili kupata pengo litakalohesabika kama mwanya.
Enzi za mama zetu, wanawake wenye rangi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.