Mama sasa nimekua, acha kucheza vigodoro huku unatikisa Makalio

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,340
51,900
MAMA SASA NIMEKUA, ACHA KUCHEZA VIGODORO HUKU UNATIKIZA MAKALIO.

Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli

Nimechoka. Acha niseme tuu. Niwe huru. Mama gani huyu, Bora kutokuwa na mama kuliko kuwa na Mama wa hovyo kama mama huyu. Oooh! Mama ni Mama, sijui Taikon unalaana, mmelogwa ninyi sio bure.
Ni bora niwe na laana kuliko kuwa na Mama kama huyu.

Bora angekufa, au angekuwa kichaa ningeshukuru Mungu. Sijui kwa nini Mungu alinipa Mama wa hovyo kama huyu. Natamani siku moja niambiwe huyu sio mama yako. Nitafurahi sana.

Hakuna jambo baya duniani kama kuzaliwa na limama lichawi au Mama wa aina ya huyu wangu. Mama wa hovyo.

Najua Watu humu ni wanafiki, hawawezi kusema mambo bayana. Lakini mimi nitasema.

Unafikiri mimi najisikiaje kumuona Mama yangu akicheza kigodoro huku akikata mauno na kutikiza matako bila haya, najisikiaje? Ati huyu ndio Mama yangu. Haki ya nani ninabahati mbaya mno.

Mama anacheza chura huku akivua nguo mpaka nguo za ndani zaonekana. Inafikia hatua anabambiwa mpaka na vijana wadogo ati ndio raha ya kigodoro. Kigodoro gani, Upumbavu tuu.
Yaani Washikaji zangu wa kijiweni wamkamatie Mama yangu kwenye vigoma na vigodoro alafu ninyi muone nina Mama. Mama gani? Upuuzi tuu.

Najua na huwezi kunilaani kwa chochote na siwezi na sitokuja kukuheshimu. Kwanza matendo yako yenyewe yalishanilaani kitambo sana. Mimi wakuona aibu zako? Mimi wakuona uhuni wako? Mimi wakuona uchafu wako? Mimi huyu nione mpaka nguo zako za ndani alafu unitishie Laana kweli? Hivi utanilaani mara ngapi zaidi ya mambo hayo wewe mama wa hovyo?.

Nimechoka kutiwa aibu! Unafikiri ninajisikia unavyobadilisha Wanaume, najisikiaje? Najua hujali na ndio maana hata mimi sitajali kukutolea maneno ya hivyo. Siwezi kuwa na heshima na busara kwa Mama Mpumbavu ati kwa kile kiitwacho heshima ya Wazazi.

Heshima ya wazazi ni kuzaa? Mbona hata wanyama Wanazaa, panya anazaa, mbwa anazaa, nguruwe, mbuzi mee wote Wanazaa. Heshima yao ni kuzaa nakuuliza?
Kuzaa ni silika ya kiumbe. Haihusiani na heshima. Heshima inajengwa na malezi na makuzi. Tabia njema na utu wema ndio huleta heshima.
Sasa wewe umenizaa au nimekuzaa alafu hapohapo unadai heshima ambayo haikustahili.

Mimi sio mwanao nilishakuambiaga. Nawe sio Mama yangu hilo unalijua. Mimi siwezi kuwa na Mama kama wewe. Na wewe huwezi kuwa na mtoto kama mimi.
Lazima nifanye uchunguzi kuwa huenda siku unajifungua ulibadlishiwa mtoto. Lazima nifuatilie mpaka nitajua ukweli.

Mama gani? Hovyo kabisa!

Najua kuna wamama wa hovyo kama wewe maelfu kwa maelfu Duniani. Unganeni nyote mniombee dua mbaya ili nipatwe na mabaya. Lakini kwa vile Mungu hasikilizi Watu wa hovyo mtagongana mwamba.

Mimi sio mwanao. Tayari nimekua, vigodoro vyako vimenidhalilisha vyakutosha.

Acha nipumzike sasa.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Mbona kama unatusema sisi tunaosoma bandiko lako? Kumbuka sisi sio, mama yako umemuacha huko kwenye vigodoro mfuate ukamueleze anaweza akakuelewa.

Ila najaribu kukivaa kiatu chako naona ni kikubwa na chenye maumivu makali sana moyoni. Pole
 
Asante kwa fasihi.
 
M

Mmh!!?!!!!
 
Mkuu picha ya Mama akicheza kigodoro inahusu ili tuamini zaidi
 
Mwanafasihi mahiri, nimekupata vyema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom