majina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO CCM - Mkoa wa Ruvuma wapokea rushwa kukata majina ya wagombea

    Makao Makuu ya CCM - DODOMA, Tunaomba mfuatilie suala hili kwa sababu linawaumiza wagombea wengi sana katika mkoa wa Ruvuma katika uchaguzi unaofanyika wa CCM. Mfano wa wazi: Kuna idadi ya watu waliojitokeza kugombea nafasi ya mwenyekiti wa ccm mkoa wa ruvuma na miongoni mwao yupo anayemaliza...
  2. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Tutaje majina ya Mawaziri wachapakazi 2022

    Mawaziri wetu wako kazini kila mmoja kwa nafasi yake na kipawa chake alichojaliwa na Mungu Tuweke orodha ya mawaziri wachapakazi ambao kazi zao zinaonekana kwa matokeo kwa Wananchi kutokana na usimamizi wao sio wanaongoza kuonekana kwenye Tv.
  3. King _Of_Everything

    JamiiForums Tanzania Username/ID za JF zinatafakarisha sana

    Habari za majukumu, Pamoja na mada nzuri na taarifa mbalimbali zinazotolewa hapa JF, wakati mwingine najikuta nacheka mwenyewe kwa baadhi ya ID/Username zanazotumiwa na baadhi ya members. Japo tuna uhuru wa kuchagua Username tunazopenda lakini tuwe tunaangalia na aina ya majina yenyewe wakuu...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Majina ya Pesa kulingana na matumizi na huduma

    Kwema Wakuu!! Pesa inamajina mengi Sana kulingana na matumizi ya Huduma Fulani. Kwa uchache haya ni sehemu ya majina hayo; 1. Nauli. Pesa Kwa ajili ya kupata Huduma au kununua Huduma ya usafiri. 2. Zaka na Sadaka. Pesa Kwa ajili ya kupata Huduma au kununua huduma ya Ibada au shughuli za...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa aliyepata majina ya Sensa wilaya ya Temeke

    Habarini wakubwa! Kuna aliyepata/ ona majina ya waliochaguliwa kwenda kwenye semina wilaya ya temeke? Maana naoma majina yametoka kwa wilaya nyingi ila ya temeke sijayaona.
  6. singanojr

    JamiiForums Tanzania Simulizi -Kitabu kilichojaa majina yote

    SIMULIZI HII NI YA KUTUNGA HAIUSIANI NA MTU YOYOTE WALA KIKUNDI CHOCHOTE , MAENEO , OFISI NA MAJINA YALIONDANI YA HII SIMULIZI NI YA KUBUNI ENJOY SURA YA 01 Ilikuwa ni siku iliokuwa ikisubiriwa na kila mmoja ndani ya Taifa la Tanzania , kila mwananchi alionekana kufurahia lile jambo ambalo...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Majina ya Sensa ya wilaya ya Ubungo yakitoka naomba tuambizane

    Naomba majina ya Sensa kwa wilaya ya ubungo yakitoka tushtuane mana mpaka sasa naona kimya
  8. S

    JamiiForums Tanzania Majina ya Sensa ya mikoa yote yalipaswa kutoka kwa pamoja na sio hivi kwa mafungu mafungu

    Kwakweli inashangaza sana Tangu jana naona majina yanatoka nusu nusu.....mara wilaya hii mara wilaya ile ila cha ajabu mpaka sasa sijaona majina ya walioitwa kwenye usaili kwa mkoa wa Dar Mwanzoni wa huu mchakato tangu kwenye hatua kutuma maombi niliamini mambo yatakwenda kisasa zaidi kwamba...
  9. Don san tan

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kuona majina ya Sensa kwenye mitandao yetu nini tatizo?

    Mfano Majina ya Sensa yametoka kila Mkoa na wilaya na Halimashauri zake. lakini ukifungua yanakataa. Wataalamu tunaomba msaada wenu na majibu Yenu kitaalamu.
  10. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baadhi ya majina kutoka Kenya yameongezwa kwenye Oxford English dictionary

    Baadhi ya majina kutoka Kenya ambayo yameongezwa kwenye Oxford English dictionary ni pamoja na "chapo", "githeri", "mpango wa kando", "chang'aa" na kadhalika. Chapo, Githeri, Mpango Wa Kando Among Kenyan Words Added To Oxford Dictionary By Joseph Muia For Citizen Digital Published on: July 15...
  11. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI CHADEMA kupeleka majina mengine ya wabunge Viti Maalum Bungeni

    MADAI Taarifa zinaenea mitandaoni kuwa CHADEMA watapeleka majina ya wabunge Viti Maalum Bungeni pamoja na kuanza kuchukua ruzuku ambayo wameigomea kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa. Zaidi ya hayo inadaiwa Bunge litaridhia Halima Mdee na wenzake kuondolewa bungeni baada ya kikao cha Baraza kuu...
  12. G M S

    JamiiForums Tanzania Majina yamepotea ghafla katika gmail

    Habari wadau ,, naomba niende kwenye mada,, ni siku nne Sasa majina mengi yametoweka ktk sim yangu hasa yaliyokuwa saved ktk email nimepambana kila namna nimefeli msaada pls"
  13. makofia360

    JamiiForums Tanzania Majina ya walioitwa kazini TPA kupitia Utumishi yalishatokaga?

    Pamoja na mtihani wa mchujo kuwa mkali sana TPA kupitia Utumishi wapo waliopenya vipi walishaitwaga kazini
  14. englibertm

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Vita vya Majimaji

    Vita vya majimaji ni vita vilivyopiganwa na wazee wa kiislam kupinga utawala wa kimabavu wa kijerumani, lakini kwa makusudi vita hivi historia yake imechafuliwa kwa makusudi kuonesha kuwa vilikuwa vita vilivyopiganwa kwa imani za kishirikina. Ikumbukwe kuwa kusini mwa Tanzania kuna mkoa unaitwa...
  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Athari ya majina ya mitaa katika historia ya Tanganyika

    ATHARI YA MAJINA YA MITAA KATIKA HISTORIA YA TANGANYIKA Mtaa wa Makunganya unaanza karibu ya Msikiti wa Shia ambao uko kwenye kona ya Mtaa wa Zanaki unashuka chini kama unakwenda Picha ya Bismini (Askari Monument) na kabla ya kufika Picha ya Bismini inapita pembeni ya Msikiti wa Ngazija na...
  16. Dx and Rx

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya na ninyi toeni hiyo PDF, najua mumenipiga kibuti kama TAMISEMI

    Mwaka jana nilifanya maombi 8 ya kazi Serikalini(Tamisemi na Afya), taasisi binafsi. Nilipigwa kibuti sehemu zote, taasisi moja tu ya binafsi ndio walinipa mrejesho wa kunikataa japo kwa usahili, mrejesho wao kidogo ulikuwa unaumiza ila nilipiga moyo konde na nikaamua kukaa kimya bila kutuma...
  17. Slowly

    JamiiForums Tanzania Siwajui majina Yao Ila nafkri hii ndo commedy Bora kabisa Kwa Afrika Kwa sasa

    Hawa jamaa ni amsha, ni kwere, ubunifu wa Hali ya juu, sifurahii camera wanayotumia Ila action zao ni za kiwango cha standard gauge. Kitu Kingine kizuri kwao, ni kuwa hawatumii sauti , na hii inafanya mtu yeyote duniani anaweza kuwaelewa ,...wabongo tunakwama wapi aisee, jamaa naona wanazidi...
  18. X

    JamiiForums Tanzania JKT yatangaza majina ya vijana waliohitimu Kidato cha Sita 2022 wanaotakiwa kujiunga na JKT kwa Mujibu wa Sheria

    Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limechagua vijana waliohitimu elimu ya sekondari kidato cha sita kwa mwaka 2022, kutoka shule zote za Tanzania Bara kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria. Vijana waliochaguliwa wamepangiwa katika kambi za JKT Rwamkoma - Mara, JKT Msange - Tabora, JKT Ruvu...
  19. Profesaa

    JamiiForums Tanzania Je, majina ya nafasi za kazi za TRA yameshatoka?

    Wapendwa samahani sana, Naomba kufahamu kuhusu zile nafasi za kazi kwa wake waliotuma maombi Aprili 2022, ni kweli majina yalishatoka? Usahili tayari umefanyika na wameingizwa kazini?
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Majina 963 marufuku kuingia Urusi, staa wa Hollywood, Morgan Freeman naye ni mmoja wao

    Urusi imetoa orodha ya watu 963 wakiwemo Wamarekani maarufu kuwa ambao hawaruhusiwi kuingia Urusi kutokana na sababu mbalimbali. Jina maarufu lililoongezeka katika orosha hiyo mbali na Rais wa Marekani, Joe Biden na mmiliki wa Facebook, Mark Zuckerberg pia kuna muigizaji wa Hollywood, Morgan...
Back
Top Bottom