majina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Majina 963 marufuku kuingia Urusi, staa wa Hollywood, Morgan Freeman naye ni mmoja wao

    Urusi imetoa orodha ya watu 963 wakiwemo Wamarekani maarufu kuwa ambao hawaruhusiwi kuingia Urusi kutokana na sababu mbalimbali. Jina maarufu lililoongezeka katika orosha hiyo mbali na Rais wa Marekani, Joe Biden na mmiliki wa Facebook, Mark Zuckerberg pia kuna muigizaji wa Hollywood, Morgan...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Majina 19 yanayotajwa kuwarithi Halima Mdee na wenzake bungeni

    Sakata la kuvuliwa uanachama wabunge 19 wa Viti Maalum wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) linaendelea kushika kasi baada ya tetesi zinazodai kuwa kuna uwezekano mkubwa wa chama hicho kupeleka majina mengine ya wabunge wa viti maalum ili kuchukua nafasi yao. Majina yanayotarajia...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Tamisemi watatoa lini majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2022/2023?

    Husika na kichwa cha uzi hapo juu, nataka kujua ni lini watatoa hizo selection, maana nimesikia watoto wanaanza masomo mwezi June.
  4. Edward Mangapi

    JamiiForums Tanzania SENSA 2022: Nimefanikiwa kujaza form ya maombi ya kazi ya muda lakini nimekosea kuandika majina ya mdhamini

    SENSA 2022 Nimefanikiwa kujaza form ya maombi ya kazi ya muda kwa ajiri ya kazi ya sensa 2022,lakini nimekosea kuandika majina ya mdhamini mmoja yaani jina la kwanza nimeliweka mwisho na jina la mwisho limekuwa la kwanza. nimejaribu ku log in kwenye account ili nifanye editing ya majina lakini...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Siwezi kumuita mpenzi wangu majina ya kimahaba

    Namuitaga tu jina lake mambo ya kumuita baby sijui mpenzi sijui honey naonaga ulimi mzito na iyo ni kwa mademu zangu ote niliokuwaga nao
  6. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Miaka 20 ijayo, majina ya Asili Tanzania yatakuwa yamefutika kabisa

    Miaka 20 ijayo majina ya Asili Tanzania ya makabila kama Ngonyani, Mkude, Kimaro, Haule, Maduhu, Mwita, Wambura, Mabada, Sumari, Kiondo nk yatakua ni ya kuhesabu ana ni ya kutafuta ama yatakua yameisha kabisa. Leo 95% ya watoto wanaozaliwa majini ni James, John, Abdalah, Mohamed, Abdrazak...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Wanaume ndiyo viumbe pekee wanaoweza kukaa pamoja na kupiga ‘story’ kwa saa 6 bila kujuana majina yao

    Wadau wote hamjamboni? Huo ndiyo ukweli na mashahidi ni wanaume wenyewe Hakuna kuulizana majina zaidi ya kupiga "story" Cha ziada utakachosikia ni wao kuitana kwa majina ya Kiongozi, Mkuu, Mwamba, Chalii wangu au Kamanda wangu n.k kutegemeana na muonekano wako Niwatakie Sabato njema
  8. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje safari ya Rais inagharamiwa na Wananchi wachache ambao hawataji majina yao? Je, haya sio mazingira ya kulipana fadhila kwa ufisadi?

    Rais anaenda kukaa USA zaidi ya wiki mbili. Huko anaenda kufanya shughuli za kiserekali na kubwa zaidi ni Uzinduzi wa filamu ya royal tour. Kila siku tunaambiwa hii filamu ilitengenezwa kwa pesa kiasi cha bil 7 na sio pesa za Serikali. Sisi akina Kabwela tukajua ni pesa za akina Greenberg na...
  9. Fohadi

    JamiiForums Tanzania Majina yapo mengi, ila kwanini MTARO ulipewa jina la mtandao wetu pendwa.

    Ni jumanne nyingine, hali ya hewa ni rafiki na sio rafiki kwa namna moja ama nyingine. Inategemea na mtu na mtu. Nimeona sio vibaya nikiuliza na kujifunza kutoka kwa wanaofahamu. Nina amini baadhi ya majina ya maeneo yaliwekwa kutokana na matukio au shughuli ambazo ziliwahi kutokea kwenye...
  10. Waibi fredy

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Vyeti vya elimu na NIDA vimetofautiana majina

    Habari wapendwa, Kama kichwa cha habari apo juu. Nilikuw na changamoto kwenye majina cheti cha form four Nida Chuo Naomba ushauri kipi nibadilishe kati ya ivyo juu au kipi nichukue kiapo ili nitumie kwenye harakati za ajira . Cheti cha form 4 - xxx xxxx FREDI Nida - xxx xxxx FREDI Chuo...
  11. JACKLINE CELESTINE KITALE

    JamiiForums Tanzania Upoteaji wa majina ya asili ya Waafrika

    Ushawahi kuchukua muda na kutathmini utofauti wa majina mengi ya Sasa na kipindi cha nyuma? Au unaona kila kitu Ni sawa? Wengi wetu tumekuwa tukilalamika kuwa tamaduni zetu zimekuwa zikiharibiwa na wazungu na tamaduni za kigeni, lakini wakati mwingine tumekuwa tukichangia wenyewe katika...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Marekebisho ya majina katika vyeti

    Msaada tutani wadau mwenye uelewa kuhusu jinsi ya kurekebisha jina lililokosewa kwenye vyeti msaada maana jina la vyeti vingine ni PASCHAL lakini cheti kimoja ni PASCAL je inamadhara katika maombi ya ajira , mikopo nk ?
  13. Fund man

    JamiiForums Tanzania Ijue Nguvu ya majina yanayoanza na herufi J, K na M

    Habari Wana JF Kuna ukweli usio pingika kuhusu Nguvu ya majina yanayo anza na herufi J,K na M. Tuanze na hapa kwetu Tanzania,Rais wa Kwanza jina lake ni Julius Kambarage Nyerere,yeye alibahatika kwenye jina lake Kuna herufi mbili za Nguvu yaani J na K JF Kennedy alikuwa Rais wa Marekani pia...
  14. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Tuliopotezana na Wapenzi wetu tuwatambue kwa majina nyakati na sehemu

    Ebwana eeeh namkumbuka Koku alikuwa receptionist giraffe hotel na peacock Hotel, bonge la pisi halafu mtamu safari zangu za mbele nimepotezana nae, 2008-2010, DSM nikiwa mkazi wa kijitonyama, Mfugale junior tulikuwa ligi moja ila sio mbaya, koku uko wapi?koku kama koku Tuwatafute
  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya mitaa iliyopewa majina ya Wapigania Uhuru wa Tanganyika

    Hapo chini ni picha za baadhi ya mitaa iliyopewa majina ya wapigania uhuru wa Tanganyika: Katika picha hizi picha ya kwanza inamuonyesha Ali Msham wa kwanza kulia akiwa na Baba Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika. Ali Msham amefanya mengi ambayo...
  16. zink

    JamiiForums Tanzania Whatsapp ya blustack haioneshi majina ya namba

    Habari wakuu wa jf, niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu, nimekua nikitumia whatsapp ya blustack kwenye laptop yangu, sasa shida imeanza juzi hapo nilipofungua whatsapp hii ya blustack na kushindwa kuona majina ya namba nilizosave na sijajua shida ni nini ebu wakuu nisaidieni hapo...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Panga la wachezaji Simba linanukia mwishoni mwa msimu huu, kuna majina makubwa

    Inadaiwa kuwa uongozi wa Klabu ya Simba un mipango ya kupitisha panga kwa wachezaji wao walioonyesha kushuka kiwango mara baada ya kumalizika kwa msimu huu. Hilo limeshapangwa lakini kwa sasa wameweka wazi kuwa mawazo yao yote yapo katika kufanya vizuri kwenye michuano mbalimbali wanayoshiriki...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kati ya watumishi wa Mungu wenye majina makubwa na wanaoonekana kwenye TV, hakuna hata mmoja aliyetabiri kinagaubaga vita ya Ukraine.

    Sasa nimeamini kuwa kadri elimu inavyoongezeka basi ujinga inapungua na nafasi yake kushikwa na upumbavu. Kwenye haya makanisa ya kitapeli kuna wasomi wa level zote lakini huwaambii kitu kuhusu kiongozi wao. Kabla ya vita ya UKRAINE sijasikia mtu wa Mungu yeyote aliyetabiri kwa uwazi mahali...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu apokea orodha ya majina 453 ya wananchi wa Ngorongoro waliokubali kuhama kwa hiyari yao

    Waziri mkuu mh Majaliwa leo amepokea orodha ya awali ya wananchi 453 walioomba kuhama kwa hiyari katika hifafhi ya Ngorongori. Waziri mkuu amewaahidi wamasai hao kwamba serikali itawapeleka kuishi sehemu yoyote watakayoichagua wao wenyewe. Source: ITV habari! ===== Waziri Mkuu Kassim...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwanaume akikataa mimba au kukutelekezea mtoto, usitumie majina yake Kwa mtoto wako

    Kwema Wakuu! Lazima tutende haki, lazima tuseme ukweli. Wanawake wanamakosa Yao Kama tulivyo Sisi wanaume tunamakosa yetu. Na mwenye makosa lazima aadhibiwe, na akiomba Msamaha sharti asamehewa lakini adhabu inaweza kubaki palepale. Taikon huwaga ni mtu wa kuongea mambo magumu yasiyo rahisi...
Back
Top Bottom