Username/ID za JF zinatafakarisha sana

King _Of_Everything

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
692
1,338
Habari za majukumu,

Pamoja na mada nzuri na taarifa mbalimbali zinazotolewa hapa JF, wakati mwingine najikuta nacheka mwenyewe kwa baadhi ya ID/Username zanazotumiwa na baadhi ya members.

Japo tuna uhuru wa kuchagua Username tunazopenda lakini tuwe tunaangalia na aina ya majina yenyewe wakuu.

Imagine siku moja tukaamua kukutana kama wana JF na kila mmoja akatakiwa kujitambulisha kutokana na jina analotumia hapa si itakua vichekesho.

Je, unafurahia jina unalotumia? Utakua proud kusimama na kujitambulisha kwamba mimi ni:

Pua ya zege
pilipili kichaa
BURUTA
Pilitoni
Mchimba Chumvi
Rohombaya
Mwadilifu Mdhulumiwa
ndege JOHN
FUSO
Mbu
mr bann
Chakaza
Upepo wa Pesa
Sexless
machafuko jr
tamuuuuu
Mlima simba
Mnazi kuyumba
Muuza Kangala
Mtoto halali na hela
Basi Nenda
mapesa yamejaa
Bwana Utam
Killing machine
My Son drink water
Nyani Mzee Snr
Laki Si Pesa
Janjaweed
ukikaidi utapigwa2
mtu tu
punje haradari
Pool Table
Uhakika Bro
chupa ya maji
joto la jiwe
Iblis Bin Shetan
Waminyato
Joto la baridi
Magonjwa Mtambuka
Mgagaa na Upwa
Mrengwa wa kulia
MR MAJANGA
mashinetata
mbu wa dengue
Sa 7 mchana
Kunguru wa Manzese
Dawa ya Uvccm
mpiga era
uzio usio onekana
muonamambo
my name is my name
Mtoto wa nzi
mkorinto
wa kupuliza
raraa reree
Panzi Mbishi
Equation x
Mlolongo
mpiga domo
Natafuta Ajira
njaakalihatari
Imeloa
Mfuku bin Nyuku
Tafuta Hela
MIMI BABA YENU
kunguni wa ulaya
Buzi Maarufu
mjingamimi
kaa chini
Kambi ya Fisi
Babu Kijana
ANAUPIGA MWINGI
CHOKAMBOVU
maji ya gundu
Below 40
JABALI LA KARNE
NAWATAFUNA

Ama kweli ukistaajabu ya @King_Of_Everything basi hujayaona ya Iblis Bin Shetan
 
Habari za majukumu.
Pamoja na mada nzuri na taarifa mbalimbali zinazotolewa hapa JF, wakati mwingine najikuta nacheka mwenyewe kwa baadhi ya ID/Username zanazotumiwa na baadhi ya members.

Japo tuna uhuru wa kuchagua Username tunazopenda lakini tuwe tunaangalia na aina ya majina yenyewe wakuu. Imagine siku moja tukaamua kukutana kama wana JF na kila mmoja akatakiwa kujitambulisha kutokana na jina analotumia hapa si itakua vichekesho.
Je, unafurahia jina unalotumia? Utakua proud kusimama na kujitambulisha kwamba mimi ni:

Pua ya zege
pilipili kichaa
BURUTA
Pilitoni
Mchimba Chumvi
Rohombaya
Mwadilifu Mdhulumiwa
ndege JOHN
FUSO
Mbu
mr bann
Chakaza
Upepo wa Pesa
Sexless
machafuko jr
tamuuuuu
Mlima simba
Mnazi kuyumba
Muuza Kangala
Mtoto halali na hela
Basi Nenda
mapesa yamejaa
Bwana Utam
Killing machine
My Son drink water
Nyani Mzee Snr
Laki Si Pesa
Janjaweed
ukikaidi utapigwa2
mtu tu
punje haradari
Pool Table
Uhakika Bro
chupa ya maji
joto la jiwe
Iblis Bin Shetan
Waminyato
Joto la baridi
Magonjwa Mtambuka
Mgagaa na Upwa
Mrengwa wa kulia
MR MAJANGA
mashinetata
mbu wa dengue
Sa 7 mchana
Kunguru wa Manzese
Dawa ya Uvccm
mpiga era
uzio usio onekana
muonamambo
my name is my name
Mtoto wa nzi
mkorinto
wa kupuliza
raraa reree
Panzi Mbishi
Equation x
Mlolongo
mpiga domo
Natafuta Ajira
njaakalihatari
Imeloa
Mfuku bin Nyuku
Tafuta Hela
MIMI BABA YENU
kunguni wa ulaya
Buzi Maarufu
mjingamimi
kaa chini
Kambi ya Fisi
Babu Kijana
ANAUPIGA MWINGI
CHOKAMBOVU
maji ya gundu
Below 40
JABALI LA KARNE
NAWATAFUNA

Ama kweli ukistaajabu ya @King_Of_Everything basi hujayaona ya Iblis Bin Shetan
Wewe mwenyewe unajiita @King_Of_Everything siku tukakuona live ukute hata mandonga ana unafuu,
Watu watajiuliza huyu uking wake uko wapi😀😀
 
Habari za majukumu,

Pamoja na mada nzuri na taarifa mbalimbali zinazotolewa hapa JF, wakati mwingine najikuta nacheka mwenyewe kwa baadhi ya ID/Username zanazotumiwa na baadhi ya members.

Japo tuna uhuru wa kuchagua Username tunazopenda lakini tuwe tunaangalia na aina ya majina yenyewe wakuu.

Imagine siku moja tukaamua kukutana kama wana JF na kila mmoja akatakiwa kujitambulisha kutokana na jina analotumia hapa si itakua vichekesho.

Je, unafurahia jina unalotumia? Utakua proud kusimama na kujitambulisha kwamba mimi ni:

Pua ya zege
pilipili kichaa
BURUTA
Pilitoni
Mchimba Chumvi
Rohombaya
Mwadilifu Mdhulumiwa
ndege JOHN
FUSO
Mbu
mr bann
Chakaza
Upepo wa Pesa
Sexless
machafuko jr
tamuuuuu
Mlima simba
Mnazi kuyumba
Muuza Kangala
Mtoto halali na hela
Basi Nenda
mapesa yamejaa
Bwana Utam
Killing machine
My Son drink water
Nyani Mzee Snr
Laki Si Pesa
Janjaweed
ukikaidi utapigwa2
mtu tu
punje haradari
Pool Table
Uhakika Bro
chupa ya maji
joto la jiwe
Iblis Bin Shetan
Waminyato
Joto la baridi
Magonjwa Mtambuka
Mgagaa na Upwa
Mrengwa wa kulia
MR MAJANGA
mashinetata
mbu wa dengue
Sa 7 mchana
Kunguru wa Manzese
Dawa ya Uvccm
mpiga era
uzio usio onekana
muonamambo
my name is my name
Mtoto wa nzi
mkorinto
wa kupuliza
raraa reree
Panzi Mbishi
Equation x
Mlolongo
mpiga domo
Natafuta Ajira
njaakalihatari
Imeloa
Mfuku bin Nyuku
Tafuta Hela
MIMI BABA YENU
kunguni wa ulaya
Buzi Maarufu
mjingamimi
kaa chini
Kambi ya Fisi
Babu Kijana
ANAUPIGA MWINGI
CHOKAMBOVU
maji ya gundu
Below 40
JABALI LA KARNE
NAWATAFUNA

Ama kweli ukistaajabu ya @King_Of_Everything basi hujayaona ya Iblis Bin Shetan
MUDA MWINGINE HUWA NACHEKA SANA NIKIONA HIZI ID ZA JF
 
Kuna majina mengi daa yaan yanachekesha sana mimi sipati picha sexless mwengine magonjwa wengine majanga ila nakupa siri ukiona mtu yoyote anajipa majina ya ajabu hapa jamii forum hiyo dalili tosha amefikia kiwango cha juu cha ustarabu na ana busara nyingi
 
Back
Top Bottom