Nimekuwa nikijiuliza Sana swali hili kwamba ni nani aliclassify majina haya kiasi ambacho mwanaume akiitwa Rachel au Diana kuwa ni kosa au mwanamke kuitwa juma au Gabriel ni kosa. Au muislam kuitwa John au mkristo kuitwa Abdul kwamba eti nalo ni kosa.
Mi navyojua wewe kuitwa flani labeling tu...
Wanufaika wapya wa Mkopo zaidi ya elfu 20 HESLB 2022/2023 | Majina ya Waliopata Mkopo
Habari njema kwa waombaji wote wa mkopo wa HESLB, Allocation ya mkopo bechi ya kwanza sasa inapatikana mtandaoni kuangalia allocation ya mkopo Tembelea Tovuti ya HESLB ya Maombi ya Mikopo na Mfumo wa...
Ni ujinga kufanya hiyo ndagu kwa mechi 30 za TFF ambapo mwisho wa msimu unapata millions 500 wakati leo ukiifanya hapo Khartoum unaingia makundi na kujipatia billion 1.2.
Ule mtindo wa kutembelea vituo yatima msiogope wandugu, ipigeni leo mkitua hapo mchana. Wahi supermarket kanunueni...
Kwangu mimi jina langu la mwanzo limekosa umaarfufu kabisa, ni jina ambalo lipo kwenye vyeti tu na vitambulisho.
Jina langu la ziada ni la kijijini lakini hili halipo kwenye cheti cha kuzaliwa
Shule ya msingi nimeitwa jina la ukoo
Sekondari nimeitwa jina la ukoo
mtaani na nyumani naitwa jina...
Huu ni upuuzi mkubwa sana tunauendekeza, unakuta mtu akiwika ama akifanya vizuri basi anapewa jina la mtu mwingine mpaka linafifisha jina lake.
Utasikia Kelvin John Mbape, mara Juma Mgunda Pep Guardiola Mnene, hebu waacheni watengeneze utambulisho wao.
Nachukia sana hili suala la kuiita miundombinu kwa majina ya watu binafsi, kama maraisi au watu wengine wanasiasa na wengineo. Kinachoniudhi zaidi ni kwamba mapendekezo ya majina haya mara nyingi hufanywa na watu ambao wana ajenda ya kujipendeke kwa raisi au wengineo.
Sikatai kwamba hawa watu...
Mimi kama watu wengine wengi tunaotafuta ajira serikalini, niliomba nafasi za kazi zilizotangazwa mwezi MAY.
Jambo la kushangaza ni kwamba miezi mitano inaenda kuisha bila kuitwa kwenye usaili na wakati huo nafasi zilizotangazwa mwezi August nyingine September watu wameitwa kwenye usaili tayari...
Sami scholarship yatangazwa tar 27, Leo sep 29 ,majina ya waliopata yatolewa!
Kuna sehemu tunakosea! MAJINA HAYA HAPA
Pia soma: Thread 'Samia Scholarship ni uwekezaji wenye tija' Samia Scholarship ni uwekezaji wenye tija
Majina ya wanafunzi 640 waliochaguliwa kuomba ufadhili wa masomo ya Samia
Ufadhili wa Samia: Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia ilitangaza majina ya wanafunzi 640 wanaostahili kupata ufadhili wa masomo kupitia Samia Scholarship baada ya kufanya vizuri katika masomo ya sayansi.
Leo wizara...
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linawashikilia watuhumiwa 23 wakiwamo wanne wanaotuhumiwa kutumia majina ya viongozi wa serikali na watu maarufu kwa utapeli na wizi wa mtandao kujiingizia kipato kwa njia isiyo halali.
Akizungumza Septemba 26, Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Benjamin Kuzaga amesema...
Tume Huru ya Kitaifa ya Uchaguzi (INEC) imebainisha kuwa Vyama Vya Siasa 18 vimesimamisha wagombea Urais na Wagombea Wenza akiwemo Atiku Abubakar wa Chama Cha Upinzani cha Peoples' Democratic Party (PDP) na Gavana wa zamani wa Lagos, Ahmed Bola Tinubu, wa Chama Tawala cha All Progressives...
Poti wangu IGP Wambura Mimi GENTAMYCINE nimeamua leo Kukuambia hili mapema baada ya Kugundua kuwa 95% ya hawa Vijana Wahalifu waliobatizwa Jina la Panya Road wanajulikana na Mapolisi wako na hata Vituoni ila Wanalindwa na hata baadhi ya Askari wako Wanafaidika nao.
Haiingii Akilini Polisi wa...
Nilihudhuria live band moja hapa mkoani Dar es Salaam siku si nyingi na kilichotokea kilinisikitisha sana na kuamini kuwa bendi za Tanzania bado sana Kushindana na za Congo DR na Congo Brazzaville.
Wakati bendi inapiga na watu tunaserebuka kwa sebene akaja mmoja wa marapa jirani yangu na...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti ndio imelifikisha taifa hapa lililopo sasa kwenye mkwamo na mgogoro mkubwa wa kuichumi kwa kubariki msururu mkubwa wa tozo kwa wananchi masikini.
Bahati mbaya sana Kamati hii imejificha na lawama zote zinaelekezwa kwa Rais wetu Samia Suluhu Hassan badala ya...
Ucheshi kidogo, baadhi ya majina ya kipekee Jamiiforum
1. Kichwa kichafu
2.mpwayungu
3. Wa stendi
4. Bujbuji
5. Prakatatumba
6. To yeye
Hayo majina ya ukoo au?
Wawe wanashirikisha wadau bana.
Na hata kama hawashirikishi wengine watunge basi majina ama maneno mazuri. Sasa kama hili kishkwambi Yani unaltamka huku umekunja uso. Angalau wangeita tu tableti.
Mengine yanayokera jokofu wangeacha tu friji. Smart phone Eti simu janja. Eti password nywila...
Wanawake kubadili majina yao ya ukoo (surname) baada ya kuolewa na kufuata majina ya waume zao ina onyesha au kuashiria hali ya utegemezi wa mwanamke kwa waume zao, mwanamke kufuata jina la mume wake baada ya kuolewa kunaashiria kuwa yeye ni mali ya mwanaume (mume wake), na anakosa mamlaka ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.