Kwanini Serikali ya CCM miradi ya watu kama maji mpaka wakope ndio itekelezwe? Lakini majengo hutolewa taslimu?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Serikali ya ccm sijaelewa njiani hugawa cash sana kuliko kuzingatia bajeti iliyopangwa katika eneo husika na siku hizi anatembea nazo hasa kwe ye nyumba za ibada na kugawa maburungutu na haijulikani zinatoka wapi.

Katika maongezi na Waziri Mkuu wa India nimegundua kuwa miradi ya maki ya nchi hii inaendeshwa kwa mikopo ya mabebebru inamaana wagigoma kuitoa maji hayatamfikia mwananchi.

Najiuliza inamaana miradi muhimu kama hii iweje itegemee mikopo ya mabeberu na huku majengo yanakimbizwa na fedha cash na tunajiita sie matajiri?
IMG_20200614_152114.jpg
 
Back
Top Bottom