Leo nimekumbuka shairi la Moto na Maji

Leo nimekumbuka shairi la Moto na Maji

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,292
Reaction score
10,842
Kwa wale wazee mliosoma kipindi tunabeba maji, kidumu na mfagio kwenda shule mtakuwa mnakumbuka lile shairi moto na maji wakijibizana kuwa nani ni bora.

Nyie vijana wa siku hizi sijui kama lile shairi bado lipo au ndio mnasoma mashairi ya Zuchu.

Jamani kama kuna aliyemeza lile shairi hebu tuliweke tukumbuke utoto sisi tuliozeeka sasa.

Ubeti wa kwanza uliandikwa.

Mimi ninaitwa moto, sifa zangu mwazijua.
Wazee pia watoto, wanipenda kuzidia.
Mimi ni mtoa joto, .....

Maji akajibu

Tulia moto tulia, mimi maji nakuzima.
....
 
MOTO NA MAJI1.

Moto:
Mimi naitwa moto, sifa zangu mwazijua,Mimi ni mtoa joto, watu nawasaidia,Wazee hata watoto, wote wanipenda pia,Bila mimi kupika, chakula hakitaliwa!

2. Maji:
Jizuie wewe moto, sifa usijipalie,Mimi ndio suluhisho, kiumbe kinililie,Kwenye jua na utoto, kiu nikiiondoe,Ukiwasha joto lako, mimi ndiye mkombozi!

3. Moto:
Maji wewe unafeli, nguvu zangu huzijui,Nateketeza makali, milima hainisumbui,Nami ninasafisha chuma, thamani yake kuikuza,Bila mimi duniani, viwanda vitasimama!

4. Maji:
Hata uwe na hasira, na nguvu za kutisha,Mimi nikija kwa mdundo, zote nazizimisha,Mimea inapata uhai, mito inatiririka,Wewe unaharibu tu, mimi ninaleta baraka!

5. Mshana Jr (Mwisho):Tokeni kwenye ugomvi, nyote mna umuhimu,Duniani mna siri, maisha kuyahukumu,Maji yakikosa moto, baridi itawadhuru,Na moto bila maji, jangwa litatawala!
image_aa27785d-1.png
 
Back
Top Bottom