Kwa muda mrefu sasa utendaji wa Mamlaka ya Maji Jiji la Mwanza umekuwa hauridhishi hata kidogo na hii imetokea tangu Mhandisi Sanga ambaye kwa sasa ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji kuondolewa kutoka Mamlaka hii na kupewa wadhifa mwingine.
Mfano hai ni pale kila kukicha kuna shida ya maji katika maeneo mengi katika jiji la Mwanza. Kuanzia Ijumaa mpaka leo maeneo ya Mwananchi, Mahina hatujapata maji na hata taarifa haijatolewa.
Inawezekana wanataka kumhujumu Mhe. Magufuli ili wananchi wakasirike na wasimpe kura tarehe 28.10.2020. Kwa kifupi Uongozi wa MWAUWASA unatakiwa ufumuliwe mara moja ili tuwe na uongozi mpya utakaotekeleza majukukumu ya kuwatumikia wananchi.