Zile fly-over tunazosimangwa nazo zimejaa maji

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,273
1602712345876.png

Mungu ni mwema kutufumbua macho, Yale maendeleo ya vitu hali yake ndiyo hii.
 
Jengo la Bakhressa ilibidi litaifishwe lirudi NMC, livunjwe, zifunguliwe njia za asili za mikondo ya maji

Engineer Mfugale was in over his head.

Hata pakiwa hapana maji bado kuna foleni ya kuongozwa na traffic police muda wote kwa wanaopita chini, ambao ni wote kasoro wanaokwenda airport moja kwa moja kutokea mjini

TANROADS was not up to the job
 
Back
Top Bottom