maji

  1. M

    SGR Morogoro mwageni maji kwenye diversion

    Kuna maeneo mawili ambapo wajenzi wa reli ya kisasa SGR wamefanya mchepuko wa barabara katika manispaa ya Morogoro,moja ni Kihonda na ya pili ni mbele kidogo Lutheran Junior seminary. Shida kubwa ni kuwa hawamwagillii maji hizi diversion ni hii inasababisha vumbi jingi. Mnaowakagua...
  2. Unajua kwanini maji ya kuchemsha hupoteza ladha (flat taste)? Fahamu nini ufanye kurudisha ladha yake

    UNAJUA KWA NINI MAJI YA KUCHEMSHA HUPOTEZA LADHA? Mbinu ya kuchemsha maji ni moja ya mbinu ya kuyafanya maji kuwa salama, kupitia mbinu hii utaweza kuua vijidudu, bacteria na virusi mbalimbali ambavyo vipo katika maji. Ubaya wa njia hi ni kwamba, baada ya hapo maji yanakua hayana ladha (flat...
  3. Ukosefu wa maji baadhi ya maeneo ya Dodoma kwa takriban wiki sasa tatizo nini?

    Habari za usiku, ninachukua nafasi hii kuwauliza wahusika wa mamlaka ya maji Safi na Taka ya Dodoma (DUWASA) kutopatikana kwa maji takriban wiki sasa katika maeneo ya mailimbili Oysterbay tatizo nini? -DUWASA mnafahamu fika kuwa mji wa Dodoma hauna Visima,mito na mabwawa kama njia mbadala ya...
  4. Kufanya mapenzi Majini, hasa mkiwa baharini kuweni Makini

    Kumekuwa na watu ambao hupenda fanya mapenzi majini hasa hasa baharini. Nliwahi shuhudia mmoja kunduchi wakati anafanya tendo hilo akabanwa na mshipa. Alipiga kelele sana huku na mpenzi wake naye akikimbia chupi ipo upande.jamaa mashine inaonekana inatema some heavy liquid kama pua inayotokwa...
  5. Y

    SIM Tank La Maji Lita 10000 Linauzwa

    Sim Tank La Maji Lita 10000 linauzwa lipo Dar, Bei 1,000,000, Karibuni kwa maelezo zaidi PM Please
  6. House4Sale Tunauza Nyumba aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Nyumba ipo Mbezi beach upande wa chini Ina vyumba vitatu kimoja master Jiko, sebule, dinning na public toilet Ina eneo lenye ukubwa wa sqm 1000 Hati miliki mkononi Wahi sasa BEI ni milioni 200 Tu Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283...
  7. J

    Kwanini baadhi ya vijiji na kata mkoani Morogoro havina maji?

    Nilishangaa kuona baadhi ya vijiji mkoani Kigoma na hasa kule wanakotoka mawaziri Prof Ndalichako na Dr Mpango wananchi wanakunywa maji ya tope. Sasa leo nusura nizimie baada ya kuwaona runingani wabunge wawili Asenga wa Kilombero na Babu Tale wa Morogoro kusini wakielezea shida ya maji...
  8. J

    Waziri Aweso apiga marufuku EWURA kupandisha ankara za maji

    Waziri wa maji mh Aweso ameipiga marufuku Ewura kupandisha ankara za maji kadhalika mamlaka zote za maji nchini zimeambiwa zisithubutu kuwapandishia wananchi bei za maji. Waziri Aweso amesema hayo kwenye kikao cha watendaji wa wizara ya maji na taasisi zake. Maendeleo hayana vyama! --- Waziri...
  9. Watawala wetu, tatizo la maji Jangwani tulitegemea litapewa kipaumbe

    Wakazi wa Dar wanaoathirika na tatizo hili ni wengi sana. Pamoja na hayo Dar ni lango la nchi, kwa anga, na kwa bahari. Wageni wengi wanaingia Tanzania kupitia lango la Dar. Daraja la juu la miguu na la magari lingeokoa muda mwingi watu wanaopoteza katika kadhia ya usafiri eneo hili wakati...
  10. Kokoto zinazonyonya maji kupeleka ardhini zipoje na zinapatikana wapi?

    Wadau, nimeambiwa eti kuna aina ya kokoto maalum zinazonyonya maji kupeleka ardhini. Je, nani anazijua na zinapatikana wapi? Maana kuna maji ya pavement tumeyatengenezea mfereji lakini mvua ikiwa imepiga kubwa yanachelewa kukauka mferejini. Na hamna sehemu ya kuyatoa zaidi ya hapo maana mbele...
  11. Dar: Nyumba 16 zasombwa na maji baada ya mto kutanuka

    Baadhi ya wakazi wa Kimara Kibo, Dar es Salaam wanaoishi kando ya mto Gide wamelazimika kuhama baada ya mto huo kutanuka na kusomba nyumba 16. Waathirika wa tukio hilo wameomba msaada kwa wakati huu ambao baadhi yao wanahifadhiwa kwa majirani huku wengine wakisemekana kufariki kwa mshtuko...
  12. Naibu Waziri avunja bodi ya Maji Mbeya na kuagiza meneja wa RUWASA kusimamishwa kazi kwa kushindwa kutatua kero za Wananchi na kutoa ripoti za uongo

    Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (MB) ametangaza kuivunja Bodi ya ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira ya Mji Mdogo wa Rujewa katika Wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya kwa kushindwa kuisimamia ipasavyo menejimenti ya mamlaka hiyo kutimiza majukumu yake kwa ufanisi...
  13. Happy birthday Mwaka Mpya: Nimemwagiwa maji kitandani

    Sina zaidi ya salaam maana naona ata uvivu kuandika, nasema haiwezekani Leo nipo nimelala zangu kitandani mara naskia Mwaaaaa nakurupuka ni nini nakutana na kitu maji yamejaa kitandani sio godolo sio shuka vyote chapa chap, nauliza kulikoni eti siku yangu ya kuzaliwa, Tena angalau wangechukua...
  14. Serikali yavunja mkataba na Mkandarasi wa mradi wa maji Same - Korogwe kwa kushindwa kuukamilisha kwa wakati

    Serikali imevunja mkataba na Mkandarasi aliyekuwa akitekeleza mradi mkubwa wa maji wa Same, Mwanga na korogwe, kutokana na kushindwa kuukamilisha kwa wakati. Mradi huo ambao umegharimu zaidi ya Sh bilioni 262, ulipaswa kukamilika Mwaka 2017 na kuhudumia jumla ya wananchi 438,000. Waziri wa...
  15. N

    Mwanafunzi mwingine(Ilboru) afa maji akiogelea St. Gaspar Hotel dodoma

    Wimbi la wanafunzi kufa maji wakiogelea mkoan dodoma linazidi kushika kasi ambapo Jana jioni mwanafunzi mmoja wa ilboru kidato cha 5 aitwae Francis amefariki akiwa anaogelea katika hotel maarufu ya St Gasper iliyopo dodoma baada ya kunywa maji mengi na kusababisha kifo chake. Mwanafunzi huyo...
  16. C

    Simu (Tecno Pouvoir 3) ilidondoka kwenye maji, Je, kuna uwezekano ikarejea katika hali yake ya kawaida?

    Kama kichwa hicho cha uzi kinavyojieleza hapo juu Ni kwamba hiyo simu ilidondoka kwenye maji mtoni ikaja kupatikana baada ya saa kama 1 hivi baadae Je, kuna uwezekano ikarejea hali yake ya kufanya kazi kama mwanzo au tu niachane nayo nisije nikapoteza pesa na mafundi pamoja na muda wangu?
  17. Wazo lenye mantiki: Bil 5.4 zilizotaifishwa toka biashara haramu ya upatu zielekezwe wilayani Chato kuboresha huduma ya maji

    Natanguliza kutoa onyo kwa Watanzania kuacha wivu hasa kwa wakazi wa mkoa wa Geita linapokuja suala la maendeleo. DPP ametumia mamlaka aliyonayo kisheria na kuteleza hukumu ya utaifishaji wa bil 5.4 ambazo zilipatikana kwa biashara haramu ya upatu. Mimi kama mkazi wa mkoa wa Geita, eneo la...
  18. Wakandarasi wa miradi ya maji waonywa kufanya kazi kwa mazoea

    Serikali imewataka wakandarasi wanaosimamia ujenzi wa miradi ya maji nchini kuacha siasa na kufanyakazi kwa mazoea. Rai hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa maji, Mhandisi Marry Prisca Mahundi wakati akiongea na wananchi wa kata ya Sakura wilayani Pangani mkoani Tanga akiwa katika ziara yake ya...
  19. Upungufu wa maua jike-Kilimo cha tikiti maji

    Habari wakulima wenzangu, Nimelima tikiti ekari mbili na linaendelea vizuri kwani halina ugonjwa wowote mpaka leo siku ya 34 tokea mbegu kupasuka. Changomoto nayoipata kwa sasa ni mmea kuzalisha maua mengi sana lakini maua dume kwahio mpaka sasa matunda yalozalishwa ni machache sana. Hali...
  20. M

    Pata samaki wa maji chumvi

    Tunauza samaki wa maji chumvi Pata samaki wa Maji Chumvi kwa kiwango utakacho toka kwetu Kwa kilo tunauza 7500 Kama utachukua kuanzia kilo mia moja bei inapungua. Wasiliana nasi kwa namba 0765758624
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…