maji

  1. O

    JamiiForums Tanzania Kujengea tanki la maji juu vs kufunga pressure pump. Tubadilishane mawazo

    Linapokuja suala la kilimo cha umwagiliaji, kuna mbinu nyingi hutumika. Leo naomba kushea nanyi drip irrigation. Sasa ili maji yasambae shambani yanatakiwa yawe na pressure nziri. Watu wengine hujengea tanki juuu ambapo maji hupandishwa kutoka chanzo husika hadi kwenye tanki ndipo yashuke kwa...
  2. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Maji aagiza fundi wa mradi awekwe ndani

    Huyu ni naibu waziri wa maji, Meryprisca Mahundi. Baada ya kuchukizwa na kitendo alichokifanya fundi Imani Mussa, ambaye ni fundi wa mradi wa maji huko Kyenda, wilaya ya Ngara, mkoani Kagera. Inadaiwa fundi alitaka kuupeleka msafara wa Bi. Naibu waziri kwenye sehemu tofauti na sehemu iliyo na...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za maji safi na maji taka hazitakiwi kukatia wateja huduma za maji

    Unaambiwa kwenye sheria za Tanzania, hairuhusiwi Mwananchi yeyote kukatiwa maji pale anaposhindwa kulipia bili yake ya mwezi, hii ni kwa mujibu wa Sheria ya Maji safi na Mazingira ya mwaka 2019. “Mtu yeyote anaetumia maji ambayo yanatoka kwenye Mamlaka ya Maji Tanzania anatakiwa kisheria...
  4. Gulio Blog

    JamiiForums Tanzania Menu hii ya mamlaka ya maji haifanyi kazi *152*00#

    Nimejaribu kupata bili yangu ya maji kwa menu ya mamlaka ya maji siku ya pili leo lakini hawaja nitumie sijui tatizo ni nini.
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya maji Sengerema yakatiwa umeme na Tanesco

    Shirika la Umeme nchini (Tanesco) mkoa Mwanza limesitisha huduma ya umeme kwenye chanzo cha maji cha Nyamazugo kinachosambaza maji wilayani ya Sengerema mkoani hapa. Meneja wa shirika hilo wilayani Sengerema, James Kabasa amesema wamesitisha huduma hiyo kutokana na Mamlaka ya Maji Safi ya Mji wa...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la maji Bwawa la Mtera wananchi watahadharishwa

    Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) limewatahadharisha wananchi wa vijiji vilivyopo kandokando mwa bwawa la Mtera na Kidatu ambao wanaendesha shughuli zao ikiwemo kilimo, uvuvi na makazi kuwepo kwa ongezeko kubwa la maji kwenye bwawa la Mtera hivyo shirika hilo kulazimika kuyafungulia maji hayo...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Maji nayo yakatika mkoani Texas, Marekani, wananchi Wachota barafu kwa matumizi

    CBS NEWS Wakati Mbunge Edward Cruz akishutumiwa vikali kwa kujijali mwenyewe na familia yake kwa kuwakimbia wananchi wenye majanga kwenda safari ya mapumziko kisiwani Cancun Mexico maelfu ya wakazi mkoani Texas Marekani wamejikuta hawana maji kufuatia mabadilko makubwa ya tabia nchi. Baadhi...
  8. mchaganaduka

    JamiiForums Tanzania Sewage disposal (Huduma ya maji taka)

    TUTAFUTE: +255/0659 91 33 44 or -0764 22 68 67 Call, SMS or whatsap. 10,000 Litres price 180,000 14,000 Litres price 220,000 18,000 Litres price 260,000 -Carriage vehicle from 500 to 18,500 litres. -Suitable for homesteads,hotels,schools,colleges and hospitals. -Price is negotiable depending...
  9. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Monduli: Waziri Jumaa Awezo akuta maji hayatoki kisa Sh. elfu 50, amtumbua Meneja mbele ya Wananchi

    WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso, amefanya ziara ya kikazi katika wilaya ya Monduli mkoani Arusha na kukuta wananchi hawapati maji kutokana na changamoto mbali mbali hali iliyopelekea kuchukua hatu ya kumsimamisha kazi Meneja wa mradi wa maji wa RUWASA Nevill D. Msaki.
  10. U

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ametengua uteuzi wa viongozi 23 wa Wakala wa RUWASA, meneja wa Mkoa wa Geita na mameneja wa wilaya 20

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ametengua uteuzi wa viongozi 23 wa Wakala wa Usambazaji Maji na Usafi wa Mazingira (Ruwasa) akiwemo Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi za mamlaka hiyo, Deusdedith Magoma. Aidha, Aweso ameiagiza Bodi ya wakurugenzi ya Ruwasa kutengua uteuzi wa meneja wa anayeshughulikia...
  11. Slowly

    JamiiForums Tanzania Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

    Haya haya jamani mji umechafuka kwa mara nyingine tena... Wakati Kajala anaendelea kutrend kutokana na picha zake na Harmonize wakiwa Zanzibar ikidaiwa wawili hao ni wapenzi, leo hii yameibuka mapya baada ya Rayvanny kutoka WCB kupost video akiwa na Paula Mathysse ambaye ni mtoto wa Kajala na...
  12. B

    JamiiForums Tanzania DAWASA na ubambikiaji wa bili za maji

    Katika siku za karibuni mashirika yanayojiendesha yamekuwa katika mikakati ya kuhakikisha yanazalisha pesa kwa namna yoyote Ile ili mradi wapate kujiongezea stahiki na mambo mengine, sasa katika harakati hizi ni DAWASA. DAWASA imekuwa ikilalamikiwa na wateja wengi sana kuhusu bili za maji...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Temeke, chunguza kampuni ya Wachina inayojenga Mtaro Mkubwa wa Maji ya mvua

    Nimekuona ukipambana na Wachina wanaojenga barabara ya Mwendokasi huko Mbagala , sasa Wachina wale wa Mwendokasi wana nafuu mno kuliko hawa wanaojenga mtaro wa maji ya mvua kuanzia kule kwenye kiwanda cha bia cha Serengeti, haifahamiki walipataje kazi kubwa hivi kwa viwango vyao duni...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Faida ya maji ya madafu yakichanganywa na ndimu au limao

    Siku za hivi karibuni watu wamekuwa wakitumia maji ya madafu na kuchanganya na ndimu au limao, huku wengine wakijiuliza ikiwa mchanganyiko huo hauna madhara yoyote kiafya. Tafiti zinaeleza kuwa maji ya madafu yana faida kede kede mwilini, lakini lamao linaweza kuongeza ladha na lina vitamin C...
  15. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna ya kufika Comoro kwa njia ya maji (bahari)

    Wakuu habari zenu, Poleni na majukumu ya kutwa nzima ya leo. Naomba kujua namna ya kufika comoro kwa njia ya maji. Na je kuna vyombo vya moja kwa moja toka Dar au Zanzibar mpaka huko? Kuna fursa gani za kiuchumi huko? Kuna watu wameniambia ukipeleka zile culture wanazovaa vijana kule soko ni...
  16. MSHINO

    JamiiForums Tanzania Huduma ya kusambaza maji imewashinda mmeamua kufanya biashara ya kuuza mabomba kwa Wananchi

    Napenda kuishauri serikali kuu kuzuia taasisi zake kuacha biashara ndogo ndogo kwani kufanya hivyo ni kuzuia kukua kwa biashara na wajasiliamali kwa ujumla hivyo kupunguza mzunguko wa pesa na kuikosesha serikali kodi. Mfano shirika la kusambaza maji Morogoro MOROWASA linalazimisha wananchi...
  17. J

    JamiiForums Tanzania KKKT Sinza wachukua tahadhari ya Corona waanza na maji tiririka na social distancing ibadani!

    Ni jambo jema. Kinga ni bora kuliko tiba. Niwapongeze sana Kanisa la KKKT Sinza kwa umakini wenu katika kukabiliana na wimbi jipya la Corona. Nawatakia Dominica yenye baraka.
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azindua mradi wa maji Kagongwa - Kahama

    Rais John Magufuli akizindua mradi wa maji ulioko Kagongwa, Isaka - Kahama Mradi umegharimu takriban Tsh bilioni 23.157 fedha ambazo zimetolewa na serikali ya Tanzania. Matenki yanajaza lita milioni 1.6 Serikali ilitoa tsh. 24 mkandarasi alitumia Tsh bilioni 23.157
  19. J

    JamiiForums Tanzania Hongera CHADEMA kwa kuweka ndoo ya maji tiririka ya kunawa pale ofisini Makao makuu Ufipa st

    Hii nimeipenda na ni jambo jema kwa kweli. Ni ofisi chache sana utakuta kuna maji tiririka ya kunawa mikono kadhalika niwapongeze wahudumu wa Viva supermarket pale Makumbusho kwa kuvaa barakoa. Maendeleo hayana vyama!
  20. Fatma-Zehra

    JamiiForums Tanzania Mpendwa Rais Magufuli, Dodoma haina maji. Hali ni mbaya!

    My President, hali ni mbaya sana. Inazidi kuwa mbaya kila kukicha. Mgao wa maji ulikuwa mara mbili kwa wiki na awamu zote zilikuwa zinatoa maji kama mkojo (forgive me kwa lugha hii baba yangu). Kwa sasa ni mara moja kwa wiki on an unknown day, and time. By the way hata yakitoka, you need hours...
Back
Top Bottom