Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe,akiwa na mgombea ubunge wa Jimbo la Muhambwe Julius Masabo wamevamiwa na watu waliokuwa kwenye magari matatu yanayosadikiwa kuwa ya CCM yakiwa na namba za Usajili T281BFG, T195JV na T148DFA.
Katika uvamizi huo gari yenye namba DFA inasadikiwa kuwa...
Kama mtakumbuka mwezi mmoja au miwili iliyopita nilileta taarifa ya kanisa lililojengwa katikati ya barabara na kupiga muziki mkubwa sana masaa 24 mtaa Kariakoo kata ya Kitete.
Baada ya viongozi wa mkoa, wilaya, afisa mipango miji manispaa, mtendaji kata, mwenyekiti wa mtaa, afisa mtendaji wa...
Habari kamili hii hapa
======
Bawacha wamesema kuwa, hao ni wabunge wasiokuwa na chama, wanamwambia kamanda Muroto kuwa pamoja na kusema utatupiga mabomu sisi tunaandama mpaka Dodoma. Wewe sio mwanasiasa achana na mambo ya siasa kazi yako ni kutulinda sisi na mali zetu, tunakata tujibiwe na...
Kuna matangazo mbashara kupitia TBC1.
Ni uzinduzi wa ripoti ya utendaji wa mamlaka za maji na usafi wa mazingira kwa mwaka 2019/2020.
Ni tukio zuri. Watendaji wote wa RUWASA kutoka nchi nzima wapo hapa
Nafuatilia.
Tatizo: wengi wanaosimama salamu ni Bwana Asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo, Asalam...
Polisi ya Tanzania ni ile ile. Jambo gani litawafika hawa wadada?
Hawa wadada lazima wafuate Sheria za Tanzania kama wengine wote tunavyozifuata.
Wanataka kulivamia Bunge kama wafuasi wa Trump walivyoivamia Congress.
Hawa watu hawana uzalendo.
Hawa ni vilaza au vipi?
Lazima tuwe na nidhamu...
The Kalambo Falls on the Kalambo River is a 772ft (235m) single drop waterfall in Tanzania, very near the border with Zambia at the southeast end of Lake Tanganyika. The falls are some of the tallest uninterrupted falls in Africa (after South Africa's Tugela Falls, Ethiopia's Jin Bahir Falls...
Kutokana na ongezeko mabadiliko ya hali ya hewa, kuongezeka kwa shughuli za uchumi zinazoharibu mali asili. Uhaba wa maji duniani unatabiriwa huko siku za mbele.
Wataalamu wamekuja na choo cha ndani kisichotumia maji. Unaweka mfuko kama lining ndani ya choo, ukimaliza shughuli kuna kifute...
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini, Dkt. Alfred Kimea ameshauri Wizara ya Maji kutengeneza Sera itakayowafanya Watanzania wawe na tabia ya kuvuna maji ya mvua
Akichangia katika Bajeti ya Wizara ya Maji Bungeni amesema, "Kila Mtanzania mwenye nyumba ya bati tayari ana chanzo cha Maji, kinachobaki...
Jeshi la Maji la Uingereza limefanya majaribio ya kutumia mavazi maalum yanayomwezesha mtu kupaa kwa lengo la kuboresha operesheni za kuzuia uharamia baharini.
Kampuni ya utafiti wa teknolojia ya anga ya Gravity Industries imechapisha video inayoonesha wanajeshi hao wakifanya mazoezi kwa...
Maji husaidia mmeng'enyo au usagaji wa Chakula na mara nyingine hutuliza Maumivu ya Kichwa endapo maumivu hayo yametokana na upungufu wa Maji mwilini. Kunywa Maji ya kutosha kunaweza kukusaidia kupata haja kubwa kiulaini na mara nyingi zaidi
Pendezesha ngozi yako kwa kunywa Maji ya kutosha...
Mbunge Juliana Shonza suala la maji limeendelea kuwa kilio kikubwa cha wananchi licha ya Wizara ya Maji kupelekewa fedha nyingi huku vilio vikitoka kwenye maeneo yale yale ambayo Serikali tayari imepeleka miradi mikubwa
Ameeleza hayo Bungeni wakati wa majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Maji na...
Hii mimea kwa kiingereza
1.Unaitwa -chamomile
2.Unaitwa-nutmeg
nimejaribu kutafuta maana yake kwa kiswahili mpaka sasa sijafanikiwa.
Tafadhali yeyote unaye fahamu jina la mimea hii kwa kiswahili,nakuomba unisaidie hapa tafadhali.
Mbunge wa Viti Maalum Singida, Aisha Rose amesema Serikali imechimba visima katika Jimbo la Ikungi Mashariki na Ikungi Magharibi lakini havina mtandao wa maji.
Kabla ya kupata maelezo ya Naibu Waziri wa Maji, Spika Job Ndugai alimshukuru Mbunge huyo kwa maswali kuhusu Ikungi Mashariki akisema...
Ndugu wana jamii forum.
Naomba mwenye uzoefu wa tank zuri la kuhifadhia maji (Domestic use ) anielezee hapa nayaona mengi kama vile.
Kiboko, Simtank NK.
Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso, jana Aprili 28,2021 amefanya kikao kazi na watumishi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA). Katika Kikao hicho Waziri ameitaka EWURA wahakikishe mamlaka zote za maji nchini, zinatoa ankara sahihi kwa wateja wa maji na zinafuata sheria...
Na Mwandishi Maalum
Lakini, mtaalamu bingwa kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Profesa Mohamed Janabi, ana kidokezo kuhusiana na matumizi ya nadharia hiyo kiholela kwamba yanaweza kumrudisha mhusika katika maradhi zaidi.
Profesa Janabi, ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa...
Umbali kutoka usawa wa bahari una uhusiano mkubwa sana na maisha ya viumbe hai, nadharia mbalimbali zinaonesha asili ya viumbe engi kuwa na ukaribu na maji na hata viumbe wanaoishi kwenye maji.
Kadiri umbali kutoka usawa wa bahari unavyoongezeka aina ya viumbe, mimea n.k hubadilika na uwezekano...
Nadhani wataalamu wetu waliosomea fani ya maji na walioajiriwa katika mamlaka ya maji wanapitia wakati mgumu Sana na nadhani wanajuta kwanini walisomea taaluma hizo hasa wahandisi.
Muda uliopita nimeona Aweso ameamrisha watumishi wa maji sengerema 6 wakamatwe na wakawekwe ndani kwasababu...
Fedha hizo zimetolewa na Serikali ya Ubelgiji kama nyongeza ya fedha zacawali zilizotolewa ambazo no Euro Milioni 8, hivyo kufanya jumla ya fedha zote kuwa Euro milioni 12 sawa na tshs 33 bilioni
Malengo ya msaada huo ni kusambaza maji katika Wilaya zote 6 za Mkoa wa Kigoma
Katibu Mkuu wa...
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kama kuna watu usiku huu hawatalala ni Mainjinia wa Maji na wilaya katika mikoa mbalimbali nchini, kauli ya Rais, Mama Samia kuwahusu itawakosesha amani kabisa hasa kama kwenye maeneo yao ya kazi kuna miradi inasuasua. Joto lao wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.