Bajeti ya Wizara ya Maji

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,908
945
Leo tarehe 10 Mei, 2023 Nitachangia Bajeti ya Wizara ya Maji nakuomba idhini ya Fedha kwa Miradi ya Jimbo la Igunga kwa Mchanganuo ufuatao;

1. Upanuzi wa Mradi wa Maji ya Ziwa Victoria kwenda Vijiji na Vitongoji vya Kata za Mwamashiga, Mbutu, Isakamaliwa, Kining'inila, Mwamakona, Igurubi na Kinungu. Mradi una thamani ya Shilingi Bilioni Ishirini (Tshs 20,000,000,009/=). Msimamizi ni RUWASA Mkoa wa Tabora.

2. Upanuzi wa Mtandao wa Maji Safi na Salama kutoka Makomero mpaka Mgongoro kwa Tshs. 840,000,000. Msimamizi ni IGUWASA

3. Ukarabati wa Mfumo wa Uzalishaji Maji katika Chanzo cha Bwawa la Bulenya 521,000,000. Msimamizi ni IGUWASA.

Nicholaus George Ngassa
Mbunge wa Jimbo la Igunga

#KaziNaMaendeleo
#KaziIendelee

WhatsApp Image 2023-05-10 at 11.02.09.jpeg
 
Back
Top Bottom