maji

  1. BigTall

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kunywa maji wakati wa Ujauzito

    Ninywe Maji Kiasi Gani Kila Siku Wakati wa Ujauzito? Uhitaji wa maji wakati wa ujauzito ni mkubwa zaidi ili kuhakikisha mfumo wa mwili unaosimamia maisha ya viumbe wawili unafanya kazi vizuri. Ijapokuwa utofauti upo wa kiasi gani cha maji unywe kwa siku kutokana na sababu mbalimbali kama aina na...
  2. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kwa nini maji yanakuwa na ladha chungu ukiyanywa baada ya kula nanasi?

    Eti wakuu, kwa nini hili hutokea?
  3. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanaotumia mita za luku za maji tukutane hapa

    Waziri Juma Aweso amekuwa akitangazia Umma wa watanzania kupatiwa mita Za Luku Za maji. Watanzania wenye meta hizo tukutana hapa.
  4. The Spirit of Tanzania

    JamiiForums Tanzania MORUWASA hivi haya ndio maji safi mnayosambaza manispaa ya Morogoro?

    Naambatanisha picha na video. Je, haya ni maji safi na salama kutumia?
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Vijiji 60 wilayani Masasi havina maji safi

    Vijiji hivyo havina huduma ya maji safi na salama, tangu kuanzishwa kwa Wakala wa Majisafi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA). Wakazi wa eneo hilo wameshauri viongozi wa RUWASA kuacha kuchanganya siasa na maji. Diwani wa Kata ya Nang’ang’a, Hams Twalibu amedai Wananchi wamekuwa wakidai...
  6. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Mwananchi mkoani Geita akamatwa na polisi akidai huduma ya maji

    Nashindwa kuelewa weledi wa police wa Tanzania, sijui huko huwa wanajifunza nini! Wengi wao wanafanya kazi kwa nidhamu ya uoga na kujipendekeza pendekeza. Pia uhuru wa wananchi kueleza hisia zao ni sufuri, huku Samia akijibainisha kusimamia haki, sijui haki gani huwa anaongelea?
  7. E

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tank za maji lita 1000

    Tank za lita 1000 zinauzwa. Zipo kwenye hali nzuri. Zipo zenye koki na zisizo na koki. Bei 180,000/= (negotiable) Njoo Godown, Temeke uchague. Call/Whatsapp: +255 699 494650
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Bomba la Maji la Mugango-Kiabakari-Butiama wakaguliwa na Kamati ya Bunge - Jimbo la Musoma Vijijini

    Jumamosi, 14.1.2023, Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji ilikagua Mradi wa ujenzi wa miundombinu ya Bomba la Maji la Mugango-Kiabakari- Butiama. Gharama ya Mradi huu ni kubwa: ~ Tsh bilioni 70.5 kutoka Serikali ya Saudi Arabia (49.12%), BADEA (31.40%) na Serikali ya Tanzania...
  9. Slowly

    JamiiForums Tanzania To be honest Architecture wa jengo la Chuo cha maji nimemkubali

    Nimeona design nyingi ya miradi ya serikali hasa majengo , ni ya hovyo hovyo na ya kitoto , design inapelekea jengo kuwa Baya na baada ya miaka miwili ya kupigwa jua jengo linaanza kupoteza mvuto. Ni tofaut Kwa Hili jengo la idara ya maji lililopo karbu na chuo cha maji ubungo , design yake ya...
  10. Mynd177

    JamiiForums Tanzania Kwanini ng'ombe anatoa maziwa yanayokuwa kama maji?

    Habari wanajukwaa la kilimo na ufugaji, Tafadhali rejea kichwa cha mada. Ng'ombe hapa nyumbani siku za karibuni amekuwa akitoa maziwa ambayo kwa kweli ni kama maji, hayana uzito wowote na hata ukiyachemsha hayana ladha yoyote ni kama maji. Jambo hili limepelekea mpaka wateja kulalamika kuwa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso tusaidie Tanga tupate maji, Tanga Uwasa wanatutesa

    Leo ni siku ya nne hakuna maji kabisa . Mvua zinanyesha na Tanga Uwasa Walikuwa wanasingizia ukame. Sasa mvua zipo za kutosha. Hakuna maji kabisa, siku nne! Tanga Uwasa hawana wa kumwogopa, hawana wa kuwakemea ndiyo maana wanafanya wanavyojua!
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ujazwaji maji Bwawa la Julius Nyerere wafikia mita 108

    Ujazo wa maji katika bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere (JNHPP) linalotarajiwa kujaa ndani ya miezi 18 hadi Januari 9, 2022 ulifika mita 108.31 kutoka usawa wa bahari. Ujazaji maji katika bwawa hilo linalotarajiwa kuzalisha megawati 2,115 za umeme likiwa na uwezo wa kuhifadhi lita bilioni...
  13. marehem x

    JamiiForums Tanzania Eti soda unaipanua, chupa ya maji unaifungua na kufunga

    Wajameni. Wkt nakula bia mhudumu wa bar alinitolea mpya Leo. Mimi. "Wewe dada lete Serengeti lite, na konyagi. Gras iwe ndefu tafadhali" Mhudumu. - Huyo akaenda akaja na bia Serengeti baridi na konyagi kaschana. " Serengeti Moja au mbili." ? Mimi. "Mbili" Muhudumu. " Nii panue?" Mimi...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Singida Kaskazini yaneemeka na miradi ya maji, Serikali yatatua kero

    SINGIDA KASKAZINI YANEMEEKA NA MIRADI YA MAJI, SERIKALI YATATUA KERO. Jimbo la Singida Kaskazini linazidi kupata Miradi mbalimbali ya Maendeleo kila iitwapo leo Kwani Wanasingida Kaskazini kwa Ujumla wake wanazidi kushuhudia Kasi kubwa ya Maendeleo tangu Mhe. Ramadhan Ighondo ambaye ndiye...
  15. complex31

    JamiiForums Tanzania Hatua za kukabiliana na joto la Dar es Salaam

    Kwa hali ilivo Dar es Salaam wakati huu sio ya kawaida. Joto lililopo wakati huu linatukumbusha kufanya vitu vingi sana kwanzia kwenye miili yetu mpaka maeneo tunayoishi au kushinda. Unapaswa kunjwa maji mengi ya kutosha, kama hauendi haja ndogo mara kwa mara na ukienda mkojo unakua na rangi ya...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya Bilioni 4 Kusambaza Maji Kata za Tegeruka na Mugango - Jimbo la Musoma Vijijini

    Zaidi ya Bilioni 4 Kusambaza Maji Kata za Tegeruka na Mugango - Jimbo la Musoma Vijijini Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga ameelekeza ifikapo Februari, 2023 utekelezaji wa mradi wa kufikisha maji kwenye Kata za Mugango na Tegeruka Wilaya ya Musoma Vijijini uwe umeanza ili...
  17. Mkwawe

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Ndani ya Maji Marefu ya Mateso ya Wakristo

    Mnamo Machi 19, 2020, Mchungaji James* aliamka kama kawaida na kuondoka kwenda kufanya maombi katika kanisa lake katika kisiwa cha Zanzibar, kilicho karibu na pwani ya Afrika mashariki mwa Tanzania. Lakini alipofika, kwa mshtuko wake, alikuta kanisa lake lilikuwa limeboreshwa. Kabla hajaelewa...
  18. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Nini kinasababisha mwanamke kuwa na maji mengi ukeni?

    Habari zenu wadau? Nini kinasababisha baadhi ya wanawake kuwa na maji ukeni yaani wakati wa mgegedo, unasikia pacha pacha ukiwa unapeleka moto unakuwa kama unatwanga kisamvu. Siko hapa kuwakejeli wanawake, ila naomba nijuzwe kama kuna dawa niusaidie huu mchepuko wangu maana kuna muda anakuwa...
  19. gimmy's

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Aweso nakujulisha kuwa rushwa imetamalaki sana DAWASA pindi wananchi tunapohitaji kuunganishiwa huduma ya maji

    Salaam, Kwanza nianze kwa kumpongeza Aweso kwa namna anavyopambana kuhakikisha maji yanafika kwa wananchi ili kuyafikia malengo ambayo chama na serikali wamejiwekea. Licha ya haya mapambano ambayo wazari anapambana kuhakikisha maji yanasambaa kwa wananchi, yanayoendelea huku kwa watendaji wako...
  20. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Aweso apanda bodaboda kukagua vyanzo vya maji, wenzake wanatumia Chopa

    WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso kijana wa watu asiye na mbeleko anahangaika kwa usafiri wa bodaboda ili mradi afike ajionee mwenyewe changamoto za maji zinazowakabili wananchi. Wengine watoto wa wakubwa wanatumia Helkopta kukagua vyanzo vya maji vilivyokauka kwa ukame na kusababisha mgao wa umeme...
Back
Top Bottom