DOKEZO Maji huku kwetu Mungumaji, Singida ni anasa badala ya Huduma

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Emmanuel Mkwama

Senior Member
Apr 24, 2013
165
122
Mh.Rais mama SSH heshma yako mama yangu(Shikamoo).

Binafsi mimi na wananchi wenzangu tumekuwa tukifuatilia kwa muda mrefu kupata huduma ya maji pasipo mafanikio yeyote.

Kwanza Mh. Rais naomba nikufahamishe ama ni weke rekodi sawa. Mungumaji ninayo izungumzia hapa ipo manispaa pia ni sehemu ambayo ni maarufu kwa kuhusika katika kuchangia kuijenga Singida yote kwa kutumia malighafi yake muhimu inayopatikana kwa wingi ambayo ni madini ya mchanga.

Pamoja na yote haya lakini kiukweli huduma ya maji kwetu ni shida sana labda uwenda hatuna viongozi sahihi wa kuweza kufuatilia kwa usahihi mahitaji yetu muhimu.

Mh. Rais imefikia hatua tunashare maji na mifugo ivi kweli,tena hapa hapa Manispaa...!

Mh. Rais kiukweli kwa muda mrefu wananchi wachache tumekuwa tukipambana wenyewe,tumekwenda mara kwa mara ofisini pale idara ya maji kwa vipindi tofautitofauti na kwa awamu tofautitofauti pia,lakini majibu yanakuwa yaleyale ambayo vitendo hakuna.

Pia tumejitahidi kuonana na mkurugenzi Warioba,pia kabla yake tulianza kuona na Eng. Lubango Muwelu lakini wote majibu yao yale yale ambayo leo naweza kusema tumeshindwa kuwashawishi ili kupata maji. Tuliomba hadi tufanyiwe tathmini ili tuyagharimie sisi wenyewe lakini tuligonga mwamba.

Mwisho wa siku walituambia tatizo hakuna huduma ya umeme kwenu ndiyo maana huduma ya maji inakuwa shida kutuletea. Kiukweli tulichoka,tukaona ni way kwa sababu kwa kipindi icho hakukua na dalili za kupata umeme. Lakini Mungu si athumani tulikuja kubahatika kupata huduma ya umeme tena kwa kupambana sana tena sana hadi ilifika hatua mh. Diwani anatuambia sisi wakonongo(akimaanisha watu wakuja) tunataka Udiwani wake.

Lakini nashukuru Mungu TANESCO ya Singida iliweza kutuelewa na tukafanikiwa kupata huduma ya umeme🙏.Tulikuja kukaa karibu mwaka mzima tulijaribu tena kufuatilia maji matokeo yake tulikuja kuambiwa diwani wenu aleti ushirikiano kaeni nae vizuri. Kiukweli tulipo kuja kufuatilia tulikuja kugundua anatageti nayo hayo maji kwa ajili ya jambo lake. Kiukweli tangia hapo tulikuwa tukienda hapo suwasa Singida tupigwa karenda tu mwanzo mwisho. Kiukweli ilifikia hatua mkurugezi akakutaja hadi wewe Mh. Rais SAMIA S. HASSANI ya kwamba kunafungu limetengwa pia kuna mradi upo wa mama SAMIA nchi nzima ambao ni mradi utakao anza kazi ndani ya miezi kama sikosei ni miezi 24 ama la sikosei miezi 32 lakini hadi sasa inaenda mwaka na miezi kadha lakini hakuna dalili yeyote yani hata kuchimba mitaro waliotuahidi wangeanza kufanyia kazi.

Kwa sasa tumeletewa huduma ya vioski vya kujiendesha kwa kutumia solar power ambavyo kwa namna moja ama nyingine wamepunguza changamoto. Lakini kiukweli changamoto ya maji bado ipo pale pale ila wamepunguza ile changamoto ya kuchangia maji na mifugo. Lakini kiukweli maji bado ni shida kwa kipande chetu huku kwetu mungumaji- Singida.

Kiukweli Mh. Rais tunaomba msada wako kupitia waziri wako Mh. Juma Aweso aweze kutusaidia kumaliza ili tatizo.

Tunatanguliza shukran zetu za dhati zikufikie tukiwa na matumaini ya dhati mtatusaidi kutatua hili tatizo letu la maji.
Kwa niaba ya wananchi wa Mungumaji🙏🙏
 
Mh.Rais mama SSH heshma yako mama yangu(Shikamoo).

Binafsi mimi na wananchi wenzangu tumekuwa tukifuatilia kwa muda mrefu kupata huduma ya maji pasipo mafanikio yeyote.

Kwanza Mh. Rais naomba nikufahamishe ama ni weke rekodi sawa. Mungumaji ninayo izungumzia hapa ipo manispaa pia ni sehemu ambayo ni maarufu kwa kuhusika katika kuchangia kuijenga Singida yote kwa kutumia malighafi yake muhimu inayopatikana kwa wingi ambayo ni madini ya mchanga.

Pamoja na yote haya lakini kiukweli huduma ya maji kwetu ni shida sana labda uwenda hatuna viongozi sahihi wa kuweza kufuatilia kwa usahihi mahitaji yetu muhimu.

Mh. Rais imefikia hatua tunashare maji na mifugo ivi kweli,tena hapa hapa Manispaa...!

Mh. Rais kiukweli kwa muda mrefu wananchi wachache tumekuwa tukipambana wenyewe,tumekwenda mara kwa mara ofisini pale idara ya maji kwa vipindi tofautitofauti na kwa awamu tofautitofauti pia,lakini majibu yanakuwa yaleyale ambayo vitendo hakuna.

Pia tumejitahidi kuonana na mkurugenzi Warioba,pia kabla yake tulianza kuona na Eng. Lubango Muwelu lakini wote majibu yao yale yale ambayo leo naweza kusema tumeshindwa kuwashawishi ili kupata maji. Tuliomba hadi tufanyiwe tathmini ili tuyagharimie sisi wenyewe lakini tuligonga mwamba.

Mwisho wa siku walituambia tatizo hakuna huduma ya umeme kwenu ndiyo maana huduma ya maji inakuwa shida kutuletea. Kiukweli tulichoka,tukaona ni way kwa sababu kwa kipindi icho hakukua na dalili za kupata umeme. Lakini Mungu si athumani tulikuja kubahatika kupata huduma ya umeme tena kwa kupambana sana tena sana hadi ilifika hatua mh. Diwani anatuambia sisi wakongo(akimaanisha watu wakuja) tunataka Udiwani wake. Lakini nashukuru Mungu TANESCO ya Singida iliweza kutuelewa na tukafanikiwa kupata huduma ya umeme.Tulikuja kukaa karibu mwaka mzima tulijaribu tena kufuatilia maji matokeo yake tulikuja kuambiwa diwani wenu aleti ushirikiano kaeni nae vizuri. Kiukweli tulipo kuja kufuatilia tulikuja kugundua anatageti nayo hayo maji kwa ajili ya jambo lake. Kiukweli tangia hapo tulikuwa tukienda hapo suwasa Singida tupigwa karenda tu mwanzo mwisho. Kiukweli ilifikia hatua mkurugezi akakutana hadi wewe Mh. Rais SAMIA S. HASSANI ya kwamba kunafungu limetengwa pia kuna mradi upo wa mama SAMIA nchi nzima ambao ni mradi utakao anza kazi ndani ya miezi kama sikosei ni miezi 24 kama sikosei ama 32 lakini hadi sasa inaenda mwaka na miezi kadha lakini hakuna dalili yeyote yani hata kuchimba mitaro waliotuahidi wangeanza kufanyia kazi.
Kwa sasa tumeletewa huduma ya vioski vya kujiendesha kwa kutumia solar power ambavyo kwa namna moja ama nyingine wamepunguza changamoto. Lakini kiukweli changamoto ya maji bado ipo pale pale ila wamepunguza ile changamoto ya kushare na mifugo. Lakini kiukweli maji bado ni shida kwa kipande chetu huku kwetu mungumaji- Singida.

Kiukweli Mh. Rais tunaomba msada wako kupitia waziri wako Mh. Juma Aweso aweze kutusaidia kumaliza ili tatizo.

Tunatanguliza shukran zetu za dhati zikufikie tukiwa na matumaini ya dhati mtatusaidi kutatua ili tatizo letu la maji.
Kwa niaba ya wananchi wa Mungumaji
Hanasa maana yake ni Nini? Halafu huko hakuna diwani wala mbunge, ? Kwanini usimwambie Juma Awesu?

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Mimi binafsi njia rahisi ndio hii sina access ya kuweza kumpata Mh. Aweso kirahisi zaidi ya hapa. Ukisoma vizuri maandishi yangu utaona kwa jinsi gani tulivyo angaika kuweza kupata na kutafuta huduma ya maji. Samahani sana kama nitakuwa nimekukwanza ama maandishi yangu yanashida tafadhali niwe radhi tupo tofauti mkuu.
 
Hivi vioski vya maji vilivyopo kuja tulitegemea kwamba vitatusaidia kurahisisha kuunganisha maji majumbani kwa mtu mmoja mmoja, lakini matokeo yake tulipofuatilia tuliambiwa kwamba "Mabomba yaliyo tumika hayaruhusu kuunganisha maji majumbani.

Hivyo basi walituambia kwamba zinahitajika bomba zingine zenye ukubwa kuanzia milimita 3 wenye urefu wa mita 100 ili ziweze kuunganishwa na kipande kilipo ishia na mradi mwingine wa kititimo ambao mradi wake umekwisha kamilika.

Ndipo hadi sasa tunaendelea kusota kutokana na kipande cha bomba kilichokosekana kwa muda wote huo Mh. Kwa umoja wetu tuliomba tupewe gharama ili tuweze kujichangisha kupata huduma lakini tumegonga mwamba kwa kuzuia kuchangia ingawa gharama zinafahamika.
 
Mh.Rais mama SSH heshma yako mama yangu(Shikamoo).

Binafsi mimi na wananchi wenzangu tumekuwa tukifuatilia kwa muda mrefu kupata huduma ya maji pasipo mafanikio yeyote.

Kwanza Mh. Rais naomba nikufahamishe ama ni weke rekodi sawa. Mungumaji ninayo izungumzia hapa ipo manispaa pia ni sehemu ambayo ni maarufu kwa kuhusika katika kuchangia kuijenga Singida yote kwa kutumia malighafi yake muhimu inayopatikana kwa wingi ambayo ni madini ya mchanga.

Pamoja na yote haya lakini kiukweli huduma ya maji kwetu ni shida sana labda uwenda hatuna viongozi sahihi wa kuweza kufuatilia kwa usahihi mahitaji yetu muhimu.

Mh. Rais imefikia hatua tunashare maji na mifugo ivi kweli,tena hapa hapa Manispaa...!

Mh. Rais kiukweli kwa muda mrefu wananchi wachache tumekuwa tukipambana wenyewe,tumekwenda mara kwa mara ofisini pale idara ya maji kwa vipindi tofautitofauti na kwa awamu tofautitofauti pia,lakini majibu yanakuwa yaleyale ambayo vitendo hakuna.

Pia tumejitahidi kuonana na mkurugenzi Warioba,pia kabla yake tulianza kuona na Eng. Lubango Muwelu lakini wote majibu yao yale yale ambayo leo naweza kusema tumeshindwa kuwashawishi ili kupata maji. Tuliomba hadi tufanyiwe tathmini ili tuyagharimie sisi wenyewe lakini tuligonga mwamba.

Mwisho wa siku walituambia tatizo hakuna huduma ya umeme kwenu ndiyo maana huduma ya maji inakuwa shida kutuletea. Kiukweli tulichoka,tukaona ni way kwa sababu kwa kipindi icho hakukua na dalili za kupata umeme. Lakini Mungu si athumani tulikuja kubahatika kupata huduma ya umeme tena kwa kupambana sana tena sana hadi ilifika hatua mh. Diwani anatuambia sisi wakonongo(akimaanisha watu wakuja) tunataka Udiwani wake. Lakini nashukuru Mungu TANESCO ya Singida iliweza kutuelewa na tukafanikiwa kupata huduma ya umeme🙏.Tulikuja kukaa karibu mwaka mzima tulijaribu tena kufuatilia maji matokeo yake tulikuja kuambiwa diwani wenu aleti ushirikiano kaeni nae vizuri. Kiukweli tulipo kuja kufuatilia tulikuja kugundua anatageti nayo hayo maji kwa ajili ya jambo lake. Kiukweli tangia hapo tulikuwa tukienda hapo suwasa Singida tupigwa karenda tu mwanzo mwisho. Kiukweli ilifikia hatua mkurugezi akakutaja hadi wewe Mh. Rais SAMIA S. HASSANI ya kwamba kunafungu limetengwa pia kuna mradi upo wa mama SAMIA nchi nzima ambao ni mradi utakao anza kazi ndani ya miezi kama sikosei ni miezi 24 ama la sikosei miezi 32 lakini hadi sasa inaenda mwaka na miezi kadha lakini hakuna dalili yeyote yani hata kuchimba mitaro waliotuahidi wangeanza kufanyia kazi.
Kwa sasa tumeletewa huduma ya vioski vya kujiendesha kwa kutumia solar power ambavyo kwa namna moja ama nyingine wamepunguza changamoto. Lakini kiukweli changamoto ya maji bado ipo pale pale ila wamepunguza ile changamoto ya kuchangia maji na mifugo. Lakini kiukweli maji bado ni shida kwa kipande chetu huku kwetu mungumaji- Singida.

Kiukweli Mh. Rais tunaomba msada wako kupitia waziri wako Mh. Juma Aweso aweze kutusaidia kumaliza ili tatizo.

Tunatanguliza shukran zetu za dhati zikufikie tukiwa na matumaini ya dhati mtatusaidi kutatua hili tatizo letu la maji.
Kwa niaba ya wananchi wa Mungumaji🙏🙏
Hakuna mbunge huko mpaka nyie mhangaike kiasi hicho, mbona kuna diwani kule Songwe alijigaragaza mbele ya waziri wa maji Jumaa Aweso akapatiwa Milioni 500 pale pale. Nyie inaonekana wajeuri flani mnashindana na viongozi. Eneo lina diwani, lina mbunge halafu eti wananchi mnajihangaikia wenyewe? Hueleweki
 
Sitaki kuliongelea swala la ujeuri kwa viongozi ila nichokijua tungekuwa na ujeuri japo kidogo,nahisi tungekwisha pata huduma hii muda mrefu sana.

Kwa mfano ambao wewe unasema labda tunao;
1) ingekuwa rahisi sana kuweza kuzuia huduma fulani kama vile kuzuia magari yote ya kuchimba mchanga yasichukue mchanga hadi pale tutakapo fanikishiwa kupatiwa huduma zetu za msingi. Lakini tupo kimya pia wengi wetu tupo busy na majukumu ya familia,ndiyo maana viongozi wetu wanahisi tumeridhika na hali tuliyonayo.

2)Tungeweza hata kuzuia miradi ya umeme hadi pale tungeona matatizo yetu kutatuliwa lakini tupo kimya tukiwa tunasubiri labda ipo siku tungekuja kusikilizwa ama kuonekana nasi ni wahitaji wa huduma muhimu kama wengine. N.k

Kiukweli kuna mambo mengi tungeweza kufanya lakini tupo kimya na tumekaa kimya hatukutaka kuwa midomoni mwa watu, kisa unaonyesha kumfundisha kiongozi kutimiza wajibu wake.

Kiukweli nimeshtuka ulipo sema diwani alijigaragaza mbele ya waziri ili kuwapigania wananchi wake duh...! Kweli hii ni hatari,kumbe uwenda diwani wangu na yeye anapambana sana.
Hapa kuna picha nimeipata,na pia najiuliza kama mh.diwani anatumia njia ya kujigaragaza ili aweze kupata kile anachokihitaji kwa ajili ya wananchi wake,je sisi ambao hatuna mbele wala nyuma tutatumia njia gani ya kufanya ili jambo letu lifike sehemu husika,Aswa pale tunapoona ya kwamba uwenda viongozi wetu wanashindwa kuwajibika?
 
Mh.Rais mama SSH heshma yako mama yangu(Shikamoo).

Binafsi mimi na wananchi wenzangu tumekuwa tukifuatilia kwa muda mrefu kupata huduma ya maji pasipo mafanikio yeyote.

Kwanza Mh. Rais naomba nikufahamishe ama ni weke rekodi sawa. Mungumaji ninayo izungumzia hapa ipo manispaa pia ni sehemu ambayo ni maarufu kwa kuhusika katika kuchangia kuijenga Singida yote kwa kutumia malighafi yake muhimu inayopatikana kwa wingi ambayo ni madini ya mchanga.

Pamoja na yote haya lakini kiukweli huduma ya maji kwetu ni shida sana labda uwenda hatuna viongozi sahihi wa kuweza kufuatilia kwa usahihi mahitaji yetu muhimu.

Mh. Rais imefikia hatua tunashare maji na mifugo ivi kweli,tena hapa hapa Manispaa...!

Mh. Rais kiukweli kwa muda mrefu wananchi wachache tumekuwa tukipambana wenyewe,tumekwenda mara kwa mara ofisini pale idara ya maji kwa vipindi tofautitofauti na kwa awamu tofautitofauti pia,lakini majibu yanakuwa yaleyale ambayo vitendo hakuna.

Pia tumejitahidi kuonana na mkurugenzi Warioba,pia kabla yake tulianza kuona na Eng. Lubango Muwelu lakini wote majibu yao yale yale ambayo leo naweza kusema tumeshindwa kuwashawishi ili kupata maji. Tuliomba hadi tufanyiwe tathmini ili tuyagharimie sisi wenyewe lakini tuligonga mwamba.

Mwisho wa siku walituambia tatizo hakuna huduma ya umeme kwenu ndiyo maana huduma ya maji inakuwa shida kutuletea. Kiukweli tulichoka,tukaona ni way kwa sababu kwa kipindi icho hakukua na dalili za kupata umeme. Lakini Mungu si athumani tulikuja kubahatika kupata huduma ya umeme tena kwa kupambana sana tena sana hadi ilifika hatua mh. Diwani anatuambia sisi wakonongo(akimaanisha watu wakuja) tunataka Udiwani wake. Lakini nashukuru Mungu TANESCO ya Singida iliweza kutuelewa na tukafanikiwa kupata huduma ya umeme🙏.Tulikuja kukaa karibu mwaka mzima tulijaribu tena kufuatilia maji matokeo yake tulikuja kuambiwa diwani wenu aleti ushirikiano kaeni nae vizuri. Kiukweli tulipo kuja kufuatilia tulikuja kugundua anatageti nayo hayo maji kwa ajili ya jambo lake. Kiukweli tangia hapo tulikuwa tukienda hapo suwasa Singida tupigwa karenda tu mwanzo mwisho. Kiukweli ilifikia hatua mkurugezi akakutaja hadi wewe Mh. Rais SAMIA S. HASSANI ya kwamba kunafungu limetengwa pia kuna mradi upo wa mama SAMIA nchi nzima ambao ni mradi utakao anza kazi ndani ya miezi kama sikosei ni miezi 24 ama la sikosei miezi 32 lakini hadi sasa inaenda mwaka na miezi kadha lakini hakuna dalili yeyote yani hata kuchimba mitaro waliotuahidi wangeanza kufanyia kazi.
Kwa sasa tumeletewa huduma ya vioski vya kujiendesha kwa kutumia solar power ambavyo kwa namna moja ama nyingine wamepunguza changamoto. Lakini kiukweli changamoto ya maji bado ipo pale pale ila wamepunguza ile changamoto ya kuchangia maji na mifugo. Lakini kiukweli maji bado ni shida kwa kipande chetu huku kwetu mungumaji- Singida.

Kiukweli Mh. Rais tunaomba msada wako kupitia waziri wako Mh. Juma Aweso aweze kutusaidia kumaliza ili tatizo.

Tunatanguliza shukran zetu za dhati zikufikie tukiwa na matumaini ya dhati mtatusaidi kutatua hili tatizo letu la maji.
Kwa niaba ya wananchi wa Mungumaji🙏🙏
Viongozi ngazi ya Kijiji,Kata na Wilaya hawapo!?
 
Serikali bado ipo imara mkuu,tatizo watu wachache ambao awataki kutimiza wajibu wao.
Serikali ingekuwa imara kama unavyodai usingekuja kulalamika huku bali ungefuata taratibu za kiuongozi kufikisha hoja zako.
Labda iwe hujui maana ya serikali na jinsi inavyofanya kazi kimfumo.

Halafu hiyo serikali imara imeshindwa kukupa elimu ya kujua neno 'anasa' linavyoandikwa? Hakuna neno 'hanasa'.
 
Nashukuru kwa kunisahihisha kwenye neno hanasa badala ya Anasa🙏
 
Unamlilia rais wakati suwasa wapo, kwani kazi ya suwasa ni nini, hilo tanki kubwa la maji hapo muhawa kititimo hulioni? Mungumaji yenyewe bado kijiji ndio kwanza nyumba zimeanza kujengwa kwa kasi. Mbona huombi network wakati njia panda kuna minara rundo lakini mungumaji hakuna network
 
Mh.Rais mama SSH heshma yako mama yangu(Shikamoo).

Binafsi mimi na wananchi wenzangu tumekuwa tukifuatilia kwa muda mrefu kupata huduma ya maji pasipo mafanikio yeyote.

Kwanza Mh. Rais naomba nikufahamishe ama ni weke rekodi sawa. Mungumaji ninayo izungumzia hapa ipo manispaa pia ni sehemu ambayo ni maarufu kwa kuhusika katika kuchangia kuijenga Singida yote kwa kutumia malighafi yake muhimu inayopatikana kwa wingi ambayo ni madini ya mchanga.

Pamoja na yote haya lakini kiukweli huduma ya maji kwetu ni shida sana labda uwenda hatuna viongozi sahihi wa kuweza kufuatilia kwa usahihi mahitaji yetu muhimu.

Mh. Rais imefikia hatua tunashare maji na mifugo ivi kweli,tena hapa hapa Manispaa...!

Mh. Rais kiukweli kwa muda mrefu wananchi wachache tumekuwa tukipambana wenyewe,tumekwenda mara kwa mara ofisini pale idara ya maji kwa vipindi tofautitofauti na kwa awamu tofautitofauti pia,lakini majibu yanakuwa yaleyale ambayo vitendo hakuna.

Pia tumejitahidi kuonana na mkurugenzi Warioba,pia kabla yake tulianza kuona na Eng. Lubango Muwelu lakini wote majibu yao yale yale ambayo leo naweza kusema tumeshindwa kuwashawishi ili kupata maji. Tuliomba hadi tufanyiwe tathmini ili tuyagharimie sisi wenyewe lakini tuligonga mwamba.

Mwisho wa siku walituambia tatizo hakuna huduma ya umeme kwenu ndiyo maana huduma ya maji inakuwa shida kutuletea. Kiukweli tulichoka,tukaona ni way kwa sababu kwa kipindi icho hakukua na dalili za kupata umeme. Lakini Mungu si athumani tulikuja kubahatika kupata huduma ya umeme tena kwa kupambana sana tena sana hadi ilifika hatua mh. Diwani anatuambia sisi wakonongo(akimaanisha watu wakuja) tunataka Udiwani wake. Lakini nashukuru Mungu TANESCO ya Singida iliweza kutuelewa na tukafanikiwa kupata huduma ya umeme🙏.Tulikuja kukaa karibu mwaka mzima tulijaribu tena kufuatilia maji matokeo yake tulikuja kuambiwa diwani wenu aleti ushirikiano kaeni nae vizuri. Kiukweli tulipo kuja kufuatilia tulikuja kugundua anatageti nayo hayo maji kwa ajili ya jambo lake. Kiukweli tangia hapo tulikuwa tukienda hapo suwasa Singida tupigwa karenda tu mwanzo mwisho. Kiukweli ilifikia hatua mkurugezi akakutaja hadi wewe Mh. Rais SAMIA S. HASSANI ya kwamba kunafungu limetengwa pia kuna mradi upo wa mama SAMIA nchi nzima ambao ni mradi utakao anza kazi ndani ya miezi kama sikosei ni miezi 24 ama la sikosei miezi 32 lakini hadi sasa inaenda mwaka na miezi kadha lakini hakuna dalili yeyote yani hata kuchimba mitaro waliotuahidi wangeanza kufanyia kazi.
Kwa sasa tumeletewa huduma ya vioski vya kujiendesha kwa kutumia solar power ambavyo kwa namna moja ama nyingine wamepunguza changamoto. Lakini kiukweli changamoto ya maji bado ipo pale pale ila wamepunguza ile changamoto ya kuchangia maji na mifugo. Lakini kiukweli maji bado ni shida kwa kipande chetu huku kwetu mungumaji- Singida.

Kiukweli Mh. Rais tunaomba msada wako kupitia waziri wako Mh. Juma Aweso aweze kutusaidia kumaliza ili tatizo.

Tunatanguliza shukran zetu za dhati zikufikie tukiwa na matumaini ya dhati mtatusaidi kutatua hili tatizo letu la maji.
Kwa niaba ya wananchi wa Mungumaji🙏🙏
Mmeshindwa kujichangisha mkachimba visima?

Anza ngazi ya mwenyekiti wa kijiji au mtaa kama ni manispaa.
 
Back
Top Bottom