Mradi wa maji Butimba wafikia asilimia 94, kuongeza upatikanaji wa maji kutoka lita 90 hadi 138.
Mradi mkubwa wa maji wenye thamani ya Sh69 Bilioni unaojengwa eneo la Butimba jijini Mwanza umefikia asilimia 94 na utaanza majaribio ya kutoa maji Septemba 15 mwaka huu.
Waziri wa Maji, Jumaa...
Habari zenu wanajamvi. Nimefanikiwa kujenga nyumba ya flat roof, nyumba ina mitaro darini inayokinga maji ya mvua ila mitaro inaonekana kwa ndani kama mnavyoona ktk hii picha.
Mtaro uko kulia (sebuleni) na kushoto (dining) . Dari haina muonekani mzuri, Naomba mawazo yenu juu ya design nzuri ya...
KERO YA MAJI KANDIYA HAITANISHINDA - MBUNGE EDWARD LEKAITA
Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mhe. Edward Ole Lekaita amewaambia wananchi wa tawi la Kandiya Kitongoji cha Kona kuwa changamoto ya Maji waliyonayo haitamshinda kuitatua na ameahidi kushirikiana na RUWASA kutatua changamoto hiyo.
Mbunge wa...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso (Mb) leo tarehe 20 Agosti, 2023 amemuondoa katika nafasi yake Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jijini Mwanza (MWAUWASA), Mhandisi Leonard Msenyele.
Mhe. Aweso amechukua hatua hiyo kwa mamlaka aliyo nayo kupitia Sheria Namba 5 ya...
Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba
Aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Februari 2023. Pia ametumikia nafasi mbalimbali ikiwamo Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Ubora wa Maji.
Habari za leo ndugu zangu?
Kwa miezi kadhaa sasa, wananchi wengi wa Kibaha wanaoomba kuunganishiwa maji kwa mara ya kwanza (wateja wapya) hawajaweza kupata huduma hiyo.
DAWASA Kibaha wanapokea maombi mapya, lakini hawatoi bili za malipo (control namba), wanadai wameishiwa vifaa.
Wadau...
Hii ni pasi inayotumia mvuke wa maji. Ni rahisi sana kutumia kwani haiunguzi nguo hata ukiwa na haraka. Kwa wale wenye maduka ya nguo za mitumba hii itawafaa zaidi kwenye biashara zao ila inatumika kwa mtu yeyote mwenye uhitaji nayo. Ukihataji wasiliana nami kupitia namba 0675184274.
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA), Mohamed Saif anafafanua:
"Kwanza sio kweli kwamba hatutoi taarifa kwa wateja wetu kuhusu mgao, mamlaka imekuwa ikitoa taarifa kupitia njia mbalimbali kupitia mitandao yetu...
Mhe. Waziri ninakuandikia ujumbe huu kwa masikitiko makubwa sana. Tatizo la maji hapa Mwanza limekuwa kero kubwa. Kila kukicha maji hayapo kwenye mabomba.
Walitudanganya kuwa kulikuwa na uharibifu kwenye chanzo cha maji Capri Point na tatizo hili lingechukua miezi miwili tu kurekebishwa lakini...
VISIMA 10 VYA MAJI KUCHIMBWA WILAYA YA KALIUA, KUMTUA MAMA NDOO KICHWANI
Taarifa kutoka Ofisi ya Meneja RUWASA Wilaya ya Kaliua imethibitisha kuwa Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Kaliua Mkoa wa Tabora Imepokea Mitambo ya kuchimba Visima Kumi (10) ambavyo vitasaidia kumshusha Mama Ndoo...
Swala la Ukosefu wa Maji katika halmashauri ya Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza imekuwa sugu kiasi kwamba wananchi wanakosa walalamike kwa nani kutokana na kero ya ukosefu huo wa maji safi na Salama.
Kijografia Ilemela imezungukwa na Ziwa Victoria lakini upatikanaji wa maji safi na salama kwa...
Habari wana JF.
Maji yanafanyaje hadi yanazima moto? Na kwa nini vitu vibichi huwa "haviwaki"? Pia inawezekana maji yakashika moto na kuwaka kama ilivyo kwa mafuta, ponbe nk? Kiufupi naomba kupata elimu juu ya moto na maji.
Natanguliza shukrani.
MAJI YA BOMBA KUTOKA ZIWA VICTORIA YAENDELEA KUSAMBAZWA MUSOMA VIJIJINI
Jimbo la Musoma Vijijini lina Kata 21, Vijiji 68 na Vitongoji 374. Vijiji vyetu vyote vina miradi ya maji ambayo iko kwenye hatua mbalimbali za utekelezaji.
Miradi ya maji ya bomba kutoka Ziwa Victoria inatekelezwa kwa...
Tafadhali naomba kujua hawa Wananchi wa hilo Jimbo wangependa GENTAMYCINE niwape Zawadi gani kwa Kunifurahisha hivi?
Na Mimi sasa najiandaa kuanzisha Kampeni ya chini chini na Wananchi wa Jimbo langu ili Mbunge Wetu Samjo Samjo ( Muongo Muongo ) japo ni Mtumishi wa Mola ( Maulana ) nae akija...
Mh.Rais mama SSH heshma yako mama yangu(Shikamoo).
Binafsi mimi na wananchi wenzangu tumekuwa tukifuatilia kwa muda mrefu kupata huduma ya maji pasipo mafanikio yeyote.
Kwanza Mh. Rais naomba nikufahamishe ama ni weke rekodi sawa. Mungumaji ninayo izungumzia hapa ipo manispaa pia ni sehemu...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama, amesema mradi wa Ujenzi wa Mji wa Serikali Mtumba, pamoja na Miradi mingine ya kimkakati imeleta ajira na kuchangia kasi na chachu ya ukuaji wa uchumi hususan katika Jiji la Dodoma.
Ameyasema...
Watu 13 wanahofiwa kufariki dunia huku wengine 14 wakiokolewa baada ya mitumbwi miwili kuzama ndani ya Ziwa Victoria wakati wakitoka kusali ibada ya Jumapili Kijiji cha Ichigondo Wilaya ya Bunda mkoani Mara.
Akizungumza kwa simu na Mwananchi leo Jumatatu Julai 31, 2023, Mkuu wa Wilaya ya Bunda...
Ndugu wanajamii, kuna utofauti upi wa kiimani Kati ya maji ya "baraka " na maji "ya upako"?
Je, tofauti pekee ni, yale mengine kuuzwa? Au kuna tofauti zingine za ziada?
Je, mkate wa Bwana na keki ya upako Vina tofauti gani?
Nashawishika kuamini kuwa bulldozer ana"copy" vitu upande wa...
Waziri wa Maji Jumaa Aweso tarehe 01 Agosti, 2023 amezindua mradi wa Maji wa Bwawa la Muko wenye thamani ya Shilingi Bilioni 1.9 lililopo katika Kijiji cha Mengo Kata ya Ndalambo ndani ya Jimbo la Momba.
Bwawa la Maji la Muko lina uwezo wa kuchukua Maji Lita Milioni 166,386,474 na kuhudumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.