maji

  1. JamiiForums Tanzania Wapalestina sasa kuuliwa kwa kunyimwa maji na msongamano wa makazi

    Kucheleweshwa kwa zoezi la vikosi vya Israel kuingia Gaza kuna watu wanaamini kuwa ni woga wa Israel kupata kipigo kutoka kwa vikosi vya wanamgambo wa Hamas na wenzao huko Gaza kama ilivyokuwa huko nyuma. Hapana safari hii ni zaidi ya uwoga. Nia safari hii ni kuwamaliza wapalestina kwa wingi...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nimeona warembo, kweli maji yapo!

    "Nimeona kina mama warembo kweli, wanang'ara kweli, warembo na wanang'ara hii ni dalili kwamba maji yapo, walikuwa wanapauka kwasababu maji hakuna na yale machache yaliyokuwa yanatafutwa yakifika baba anayasubiri, lakini leo wanang'aa kweli." - Dkt. Samia Suluhu akiwa ziarani mkoani Singida...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini wana CCM wameendelea kuishi kwa kutoachiana chakula wala maji mezani?

    Viongozi wa CCM hawaachiani maji wala msosi mezani. Ukienda kuongea na simu ukaacha maji aidha colorless water or maji ya dhahabu basi sharti uyamwage maana lolote laweza kutokea. Haya matamshi yapo mioyoni mwa wengi na Kikwete aliwahi kuyasema, lakini pia unaweza kufanya utafiti binafsi kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Profesa Janabi: Aliyewaambia Watu wawe Wanakunywa Maji Lita 5 kwa Siku kawadanganya sana

    "Unatakiwa kunywa Maji pale tu Mwili wako ukikuambia au ukijisikia kuwa una Kiu. Na hata kama usiposikia Kiu na kutokunywa Maji bado Afya yako itakuwa imara. Huwa nashangaa mno kuwaona na kuwasikia Watu wakisema kuwa Mwanadamu kwa Siku anatakiwa Kunywa Maji Lita 5 hii si sahihi na wengi...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Maeneo ya Ada Estate kuna mgao wa maji wa kimyakimya? DAWASA wakitafutwa hawatoi ushirikiano

    Wakuu, Nimekuja jamaa yangu maeneo haya ya Ada Estate, Kinondoni, Dar maji ni shida. Nadhani kuna mgao wa maji wa kimyakimya ambao hauna taarifa rasmi na DAWASA wapo kimya. Leo tuna siku ya nne maji yanatoka usiku tu na preshayake ni ndogo sana. Ukienda kwenye ofisi zao hawatoi ushirikiano...
  6. JamiiForums Tanzania Mbunge Zaytun Swai: Utekelezaji wa Programu Endelevu ya Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini Itawasaidia Sana Akina Mama

    MBUNGE ZAYTUN SWAI: PROGRAMU ENDELEVU YA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA VIJIJINI ITAWASAIDIA SANA AKINA MAMA Mhe. Zaytun Swai, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha tarehe 11 Oktoba, 2023 ameshiriki katika Hafla ya Uzinduzi wa Utekelezaji wa Programu Endelevu ya Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini...
  7. A

    JamiiForums Tanzania MADALE: Kero ya Kukatiwa maji bila maelezo na kijana wa DAWASCO

    Habari wana JF. Niende moja kwa moja kwenye kelo yangu juu ya Dawasco. Kumekuwa na changamoto ya kukatiwa maji mara kwa mara na baada ya kukata huyu kijana hatoi maelezo kwa mhusika. Akishakata huwa anadai 15000 kurejesha maji. Navyoelewa mteja anatakiwa kupewa taarifa ya mdomo kisha barua ya...
  8. JamiiForums Tanzania Rukwa: Chongolo akiona cha moto, wananchi wampekekea maji machafu ili anywe

    Katibu Mkuu wa CCM , chama ambacho kimeasisi kila dhiki unayoiona Nchini Tanzania , Ndugu Chongolo , amegonga mwamba huko Rukwa , pale alipotembelea Jimbo la Kwela (ngome ya Chadema) Mbwembwe zote za Chongolo zilisha zenyewe baada ya wananchi kumletea maji machafu wanayoyatumia , hata baada ya...
  9. JamiiForums Tanzania Katibu mkuu wa CCM tunaomba utembelee Kata ya Matundasi iliyopo Wilaya ya Chunya, vijiji vyote Tangu uhuru havijawahi kupata maji safi na salama

    Kwa masikitiko makubwa na hizi ni kubwa, ninaomba kumjulisha Katibu Mkuu wa CCM kuwa, Kata ya Matundasi iliyopo Wilaya ya Chunya, mkoa wa mbeya. Haina maji safi na salama Tangu Tanzania upate uhuru hadi leo. Kata ya Matundasi ina vitongoji vifuatavyo:- Itumbi Kisimani Makatang'ombe Matondo...
  10. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Tarakea wachota maji Kenya

    Inasikitisha mno yaani maji yamekuwa ya shida sana hadi kupelekea wakaji wa Tarakea kwenda kuchota maji Kenya. Halafu baadae utasikia ooh mama anaupiga mwingi 🤣🤣
  11. JamiiForums Tanzania Ulanguzi wa Maji Dodoma: Waziri wa Maji Chukua Hatua

    Hii nimepenyezewa na watani zangu wa kigogo Wananchi wa Dodoma wanataabika kupata maji kutoa mamlaka yao ambayo ni Duwasa, huku Duwasa wenyewe wakiwapelekea wauza maji wenye matenki chini ya ardhi ili wauze Imekua ni kawaida kwa Duwasa kutoa ratiba ya maji ambayo hawaitekelezi. Ikifika Siku ya...
  12. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Maji Tukuyu: Mgao wa maji unahusu watu wote, hadi nyumbani kwa Spika Tulia na kwa DC napo kuna mgao

    Baada ya kuibuka kwa malalamiko ya uhaba wa maji Mjini Tukuyu, Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya, ikidaiwa kuwa kuna upendeleo katika mgawo wa maji, Mamlaka ya Maji ya Tukuyu imefafanua sababu ya mgao wa maji na kuweka wazi kuwa hakuna upendeleo katika mchakato huo. Malalamiko haya hapa - Tukuyu...
  13. JamiiForums Tanzania Vyanzo vya maji visivyo kauka/ vya kudumu

    Nakumbusha tu kuwa, Kipindi hiki cha Kiangazi kitumike kutambua vyanzo vya maji visivyo kauka. Hii itaepusha kuwekeza fedha kwenye vyanzo vya maji vyenye maji ya msimu. Nashauri pia kuwepo na uhamasishaji wa kuotesha miti ya maji kwenye vyanzo vya maji hata kwa zile chemchem Ndogo ndogo na...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza maji ya kunywa

    Habari za asubuhi Nilikuwa naomba kuuliza hii biashara ya kuuza maji ya kunywa Katika vituo mfano wa atm imeakaaje ( faida na hasara zake) Naomba kuwasilisha
  15. T

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza maji ya kunywa (maji baridi na maji Moto) katika vituo vya daladala

    Habarini za asubuhi Kuna biashara nimeona ikianza kushika Kasi dar es salaam, uzaaji wa maji ya kunywa kwa gharama nafuu ya shiling Mia mbili kwenye vituo mfano wa ATM hii imeakaaje wataalamu naomba kuwasilisha
  16. L

    JamiiForums Tanzania Japan kumwaga maji taka ya nyukilia baharini kwasababisha hasira kubwa ya jamii ya kimataifa

    Kampuni ya Umeme ya Tokyo ya Japan imetangaza kuwa imemaliza awamu ya kwanza ya kumwaga maji taka ya nyuklia baharini, na awamu ya pili inatarajiwa kuanza hivi karibuni. Tangu Japan ilipoanza kumwaga maji taka ya nyukilia baharini, kitendo hiki kimesababisha hasira kubwa ya jamii ya kimataifa...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Jumaa Aweso, mulika Mamlaka ya maji safi na maji taka Mbeya, wanabambikiza bili kwa wateja waaminifu

    Ingawa hili ni tatizo la kitaifa, lakini Idara ya maji mbeya ni tatizo kubwa. Wanatesa sana walipaji bili wazuri. Huwa wanapandisha bili taratibu hadi wanafikia sehemu ambayo wanaona wao ndio stable na ajabu wenye malalamimo matumizi ya nyumbani huwa ni yaleyale, lakini bill zinabadirika. Kila...
  18. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli January Makamba na Maharage Chande waliamuru maji yafunguliwe na kumwagika kwenye bwawa la Mtera?

    Uzembe na utendaji mbovu ukiandamana sambamba na hujuma na ufisadi, katika wizara ya Nishati.Ndio hasa imekuwa chanzo cha sakata la kuadimika kwa nishati ya umeme nchini kwa sasa. Wakati hali ikiwa hivi ilivyo. Kuna tetesi hizi hapa ya kwamba, nanukuu. KIPARA na Maharage mwezi Machi 2023...
  19. JamiiForums Tanzania Kauli ya Damu ni nzito kuliko Maji ni Uongo

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Misemo na kauli za kilaghai imekuwa ikitumiwa kujenga jamii ya kinafiki katika jamii na Ulimwengu huu. Moja wapo ya misemo au kauli za Uongo au kilaghai ni pamoja na kauli isemayo, Damu ni nzito kuliko Maji. Hiyo dhana au kauli hiyo haina ukweli wowote...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia wanakuhujumu kwenye umeme na maji uonekane hufai

    Mara baada ya kumuondoa maharage wapambe wake wanazima umeme na maji hayasukumwi kwa baadhi wa wananchi. Kisimngizio pressure/msukumo mdg? Kinyerezi Kanga ipo sintofaham wanakuhujumu mh rais ili Uonekane hufai, hawasambazi maji wanayafunga makusudi wanadai msukumo mdogo. Watanzania wa ajab...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…