Imeandikwa Mathayo 10:41-42 "If you honor a prophet, you will receive a prophetic reward" yaani kama utamtii Nabii basi unabii utakusaidia, tumeamua kumtii nabii na tunamuuliza:
Je, ni mvua hizi zitakazo sababisha bahari imwage maji na kuifunika Dar au tusubiri mvua nyingine?
UTAFITI uliofanywa na jumuiya za wavuvi katika mwambao wa Ziwa Victoria uligundua kuwa zaidi ya watu 217 kati ya 100,000 hupoteza maisha kila mwaka wakati wa kuvua ambapo asilimia 87 ya wanaopoteza maisha ni watu wazima ambao ndiyo nguvu ya taifa katika uzalishaji mali.
Aidha Takwimu...
Akizungumza katika hafla ya kumkabidhi Mkandarasi Mradi wa Maji Bangulo, Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso amemwambia Mkandarasi kuwa Wananchi wa Kusini mwa Dar wameteseka kwa muda mrefu, hivyo hana kisingizio kutekeleza mradi huo kwa kuwa fedha zipo.
Waziri Aweso amewaambia DAWASA kuzingatia...
Kwema wakuu nataka nilianzishe hapa maana mtu unalipa kodi kila baada ya miezi 6 halafu choo kimejaa, mwenye nyumba hakai hapa lakini je ni nani mwenye jukumu la kulipa wakati sio mwenye nyumba ndo anaestahili kulipa hyo pesa kama shilingi 80,000.
Inakuaje wapangaji tupigishwe mchango wa elfu...
Salaam wakuu,
Wakati mikoa mingi nchini ikiendelea kupata mvua ya kutosha, kwa wengine imekuwa neema kwao kwani sasa wanaweza kuvuna maji ya kutosha kwa ajili ya matumizi ya nyumbani, mifugo na hata mazao.
Sasa kwa matumizi ya nyumbani ni pamoja na kuyatumia kwa kunywa bila kuyafanyia...
Tangu kuanza kujazwa maji katika bwawa la nyerere ni takribani mwaka mmoja umepita, na maendeleo ya ujenzi wa bwawa la nyerere limefikia asilimia takribani 90. Sasa toka maji yameanza kujazwa disemba 2022 maji yameingia mengi mno, na ujazo umefikia mita takribani 160+, hawa google kwanini...
https://twitter.com/WBTanzania/status/1724805228581781607?t=rIJGgp2j31MJan_0GHtG-w&s=19
Tanzania imetajwa kuongoza Duniani kwa upelekaji wa huduma ya maji ya bomba Duniani kupitia program ya Lipa kwa Matokeo.
Kupitia programu hiyo jumla ya miradi 1,500 imetekelezwa vijijini na inafanya kazi na...
Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) ni Taasisi ya Serikali inayotoa huduma ya maji safi katika Mkoa wa Singida kwa zaidi ya miaka 20 sasa, ipo chini ya Wizara ya Maji inayoongozwa na Waziri Jumaa Aweso.
SUWASA inaongozwa na Mkurugenzi Mtendaji, Sebastian V. Warioba...
Anonymous
Thread
kilio
maji
mamlaka
singida
tatizo
viongozi
watumishi
waziri
waziri aweso
Wananchi wa Mtaa wa Tulieni iliyoko Kata ya Nsemulwa, Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamesogezewa huduma ya maji safi mara baada ya mradi wa kutanua mtandao wa maji safi kukamilika katika mtaa huo.
Hadija Kunja na Saidi Ramadhani ni wananchi wa mtaa huo wamesema kwa muda mrefu Wananchi wa...
Mwenyekiti Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Victor Kawawa amesema wameridhishwa na jinsi SUMA JKT walivyotekeleza maelekezo yao kwa kukifanya kiwanda cha maji ya Uhuru kuongeza kasi ya uzalishaji.
Ameyasema hayo kwa niaba ya wajumbe wa Kamati hiyo wakati wa ziara kwenye kiwanda hicho...
Hivi kwanini wa TZ ni mazumbukuku. Kila uwongozi ukija TANESCO wanakuja na same story lakini wa TZ wanasahau walichoambiwa nyuma.
Ni upole ama ni ujinga. Mvua inanyesha sasa hivi natumaini bwawa limejaa. Lakini bado mgao. Mitambo inatengenezwa kila uwongozi lakini haiponi.
TZ bwana !! Mtu...
Mbunge wa Chalinze na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Ndg. Ridhiwani Kikwete ameishukuru serikali na Uongozi wa Wizara na DAWASA kwa kutatua tatizo la Maji katika halmashauri ya Chalinze.
Akiongea mbele ya Kamati ya Bunge ya Mitaji kwa Umma, Mbunge huyo wa Chalinze...
Wanajamvi kama uzi unavyojieleza,binafsi tatizo kubwa la changamoto ya mafuriko yasiyoisha nimeona kwenye suala la uchafu wa mazingira uliokithiti kama chanzo ambayo inaathiri kwa kiasi kikubwa mitaro na njia za maji.
Karibuni kwa mjadala zaidi tuisaidie serikali cha kufanya ili kujinusuru na...
Habari za leo wakuu,
Nimenunua pedrollo 0.5 hp
water pump kwa ajili ya
matumizi ya kujaza maji
kwenye matenki ya matumizi
madogomadogo hapa
nyumbani lakini kila nikiwasha
na nikifanya primming naona
bado haiwezi kupandisha maji,
Yeyote aliyewahi kukutana na
changamoto kama hii...
Kwenye paa langu kuna maeneo linavujisha maji je ni njia ipi mzuri ya kuweka mambo sawa.
Mafundi mnisaidie tafadhali na sina uwezo wa kubadili bati kwasasa hata kipande kimoja.
Je nini nifanye katika hili.
Baadhi ya sisi Wakazi wa Mtaa wa Kibugumo Wilaya ya Kigamboni pembezoni na ilipo Sheli ya Puma hapa Dar es Salaam kuna mwekezaji ameziba njia ya maji hali ambayo imetufanya tunaoishi maeneo ya karibu na eneo hilo kuingiwa na hofu endapo mvua kubwa zikinyesha basi mambo yanaweza kuwa mabaya zaidi...
Anonymous
Thread
eneo
katika
kibali
kigamboni
maji
mtaa
nani
ujenzi
📌📌 WAZIRI WA MAJI MHE. AWESU AMTHIBITISHIA MWENEZI MAKONDA NDANI YA WIKI 3 MAJI KUPATIKANA KATORO - GEITA
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa , Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda amempigia simu Waziri wa Maji Mhe. Juma Awesu na kumtaka kutolea ufafanuzi kero ya upatikanaji wa Maji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.