Wakazi wa Tarakea wachota maji Kenya

Wakazi wa Tarakea wachota maji Kenya

Kama serikali inatoa pesa mpaka 15million kununua magoli ya mpria na hili linawezekana muhimu kupaza sauti tu mpaka lifike ngazi za juu
Ni haki ya walipa kodi na serikali pia imebeba dhamana ila kama wao hawajali ni bora kufanya yetu na likija jitu linataka lichaguliwe mnalifukuza kama mbwa
 
Inasikitisha mno yaani maji yamekuwa ya shida sana hadi kupelekea wakaji wa tarakea kwenda kuchota maji kenya halafu baadae utaskia ooh mama ana upiga mwingi 🤣🤣
Ndiyo Huko Kenya Mpaka Watusaidie Na Mambo Mengine
 
Wachimbe visima, Kama dodoma nzuguni mbona watu wamechimba tu, wangelalamika kule makao makuu Ila wamejiongeza tu.
 
Ngoja tumuite Boss la DP World aje atupe msaada wa kutuchimbia Visima

Ninachojua Serikali ina mipango ya kujenga miundombinu ya huduma ya maji kwenye Vijiji vyote kabla ya 2030 ikiwemo hapo Tarakea, ni vile rasilimali fedha imekuwa haitoshi.

Nadhani Wananchi wapaze sauti kuwasukuma Viongozi wao kuwaharakishia Mchakato wa kuanzisha mradi huo hapo Tarakea
 
Back
Top Bottom