maji

  1. JamiiForums Tanzania KWELI Sio kila maji ya mvua ni salama, baadhi hayafai kwa kunywa

    Salaam wakuu, Wakati mikoa mingi nchini ikiendelea kupata mvua ya kutosha, kwa wengine imekuwa neema kwao kwani sasa wanaweza kuvuna maji ya kutosha kwa ajili ya matumizi ya nyumbani, mifugo na hata mazao. Sasa kwa matumizi ya nyumbani ni pamoja na kuyatumia kwa kunywa bila kuyafanyia...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini picha ya kujaa Maji Bwawa la Nyerere haionekani google wakati huu, nini shida

    Tangu kuanza kujazwa maji katika bwawa la nyerere ni takribani mwaka mmoja umepita, na maendeleo ya ujenzi wa bwawa la nyerere limefikia asilimia takribani 90. Sasa toka maji yameanza kujazwa disemba 2022 maji yameingia mengi mno, na ujazo umefikia mita takribani 160+, hawa google kwanini...
  3. JamiiForums Tanzania World Bank: Tanzania kinara wa Dunia upelekaji maji vijijini, yaongeza Dola Milioni 300

    https://twitter.com/WBTanzania/status/1724805228581781607?t=rIJGgp2j31MJan_0GHtG-w&s=19 Tanzania imetajwa kuongoza Duniani kwa upelekaji wa huduma ya maji ya bomba Duniani kupitia program ya Lipa kwa Matokeo. Kupitia programu hiyo jumla ya miradi 1,500 imetekelezwa vijijini na inafanya kazi na...
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Viongozi hawa Mamlaka ya Maji Singida (SUWASA) ni tatizo, Waziri Aweso sikia kilio chetu Watumishi

    Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) ni Taasisi ya Serikali inayotoa huduma ya maji safi katika Mkoa wa Singida kwa zaidi ya miaka 20 sasa, ipo chini ya Wizara ya Maji inayoongozwa na Waziri Jumaa Aweso. SUWASA inaongozwa na Mkurugenzi Mtendaji, Sebastian V. Warioba...
  5. JamiiForums Tanzania Mpanda: Wananchi waondokana na adhaa ya maji ya visima

    Wananchi wa Mtaa wa Tulieni iliyoko Kata ya Nsemulwa, Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamesogezewa huduma ya maji safi mara baada ya mradi wa kutanua mtandao wa maji safi kukamilika katika mtaa huo. Hadija Kunja na Saidi Ramadhani ni wananchi wa mtaa huo wamesema kwa muda mrefu Wananchi wa...
  6. JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama yatembelea Kiwanda cha Maji Mgulani kuona mitambo mipya

    Mwenyekiti Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Victor Kawawa amesema wameridhishwa na jinsi SUMA JKT walivyotekeleza maelekezo yao kwa kukifanya kiwanda cha maji ya Uhuru kuongeza kasi ya uzalishaji. Ameyasema hayo kwa niaba ya wajumbe wa Kamati hiyo wakati wa ziara kwenye kiwanda hicho...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tanesco na kuhadaa wananchi mara kina cha maji, mara uchakavu wa mitambo. The story will never end

    Hivi kwanini wa TZ ni mazumbukuku. Kila uwongozi ukija TANESCO wanakuja na same story lakini wa TZ wanasahau walichoambiwa nyuma. Ni upole ama ni ujinga. Mvua inanyesha sasa hivi natumaini bwawa limejaa. Lakini bado mgao. Mitambo inatengenezwa kila uwongozi lakini haiponi. TZ bwana !! Mtu...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete aishukuru DAWASA kutatua changamoto ya maji Chalinze. Rais Samia atoa fedha kusambaza kwa wananchi

    Mbunge wa Chalinze na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Ndg. Ridhiwani Kikwete ameishukuru serikali na Uongozi wa Wizara na DAWASA kwa kutatua tatizo la Maji katika halmashauri ya Chalinze. Akiongea mbele ya Kamati ya Bunge ya Mitaji kwa Umma, Mbunge huyo wa Chalinze...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya mafuriko Dar es Salaam, wananchi inapaswa kujikana, kuukataa uchafu ili mitaro ya maji ifanye kazi vizuri

    Wanajamvi kama uzi unavyojieleza,binafsi tatizo kubwa la changamoto ya mafuriko yasiyoisha nimeona kwenye suala la uchafu wa mazingira uliokithiti kama chanzo ambayo inaathiri kwa kiasi kikubwa mitaro na njia za maji. Karibuni kwa mjadala zaidi tuisaidie serikali cha kufanya ili kujinusuru na...
  10. JamiiForums Tanzania Pedrollo 0.5 hp water pump haipandishi maji

    Habari za leo wakuu, Nimenunua pedrollo 0.5 hp water pump kwa ajili ya matumizi ya kujaza maji kwenye matenki ya matumizi madogomadogo hapa nyumbani lakini kila nikiwasha na nikifanya primming naona bado haiwezi kupandisha maji, Yeyote aliyewahi kukutana na changamoto kama hii...
  11. JamiiForums Tanzania Mvua kubwa DSM, klabu ya Yanga yazingirwa na maji muda huu

    Mvua kubwa inaypendekea muda huu imesababisha mafuriko kunako club ya yanga jangwani
  12. JamiiForums Tanzania Bati langu linavujisha maji

    Kwenye paa langu kuna maeneo linavujisha maji je ni njia ipi mzuri ya kuweka mambo sawa. Mafundi mnisaidie tafadhali na sina uwezo wa kubadili bati kwasasa hata kipande kimoja. Je nini nifanye katika hili.
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nani alitoa Kibali cha Ujenzi kwa anayejenga Eneo la Mkondo wa Maji katika Mtaa wa Kibugumo, Kigamboni?

    Baadhi ya sisi Wakazi wa Mtaa wa Kibugumo Wilaya ya Kigamboni pembezoni na ilipo Sheli ya Puma hapa Dar es Salaam kuna mwekezaji ameziba njia ya maji hali ambayo imetufanya tunaoishi maeneo ya karibu na eneo hilo kuingiwa na hofu endapo mvua kubwa zikinyesha basi mambo yanaweza kuwa mabaya zaidi...
  14. JamiiForums Tanzania Mwenezi Makonda amwambia waziri wa Maji ndani ya wiki 3 tatizo la Maji katoro liwe Historia

    📌📌 WAZIRI WA MAJI MHE. AWESU AMTHIBITISHIA MWENEZI MAKONDA NDANI YA WIKI 3 MAJI KUPATIKANA KATORO - GEITA Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa , Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda amempigia simu Waziri wa Maji Mhe. Juma Awesu na kumtaka kutolea ufafanuzi kero ya upatikanaji wa Maji...
  15. JamiiForums Tanzania Vita vya Israel vimepata jina jipya. Ni vita vya kupigana na hospitali, waandishi wa habari na mapipa ya maji

    Meneja wa hospitali ya Alshifa hapo jana kwa niaba ya hospitali chache ambazo hazijasitisha huduma ameiita siku hiyo kuwa ni vita dhidi ya hospitali hiyo ni baada ya jeshi la Israel bila haya kuzizingira hospitali kadhaa kwa vifaru na kuzuia huduma zote kuendelea. Baada ya hapo hospitali hizo...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Amekosa mkopo Chuo Kikuu, anahitahi angalau 50% tu

    Alisoma: Primary: English Medium. O level: private. A. Level: government Occupation: 1. Baba: mkulima. 2. Mama: mama wa nyumbani. Dogo ndio anashughulika na appeal yake now. Anataka ata least apewe hata mkopo wa asilimia hamsini tu. Je, kuna namna anaweza kusaidiwa katika hilo? Afanye...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Umeme bado ni kizungumkuti licha ya mito na mabwawa kujaa maji

    Serikali ilitamka kuwa upungufu wa umeme umetokana na ukame lakini sasa hivi mabwawa na mito imejaa kutokana na mvua kuendelea kunyesha. Pamoja na sababu hiyo kuna maeneo hapa Mwanza tangu asubuhi hakuna umeme. Hivi tunaishi nchi gani hii kila siku ni porojo tu?
  18. F

    JamiiForums Tanzania House4Rent 2 bedroom house inapangishwa Tabata Kisukulu (Maji Chumvi) karibu na Ubungo External 250,000

    Habari wadau. Appartment ya vyumba viwili vya kulala. Sebule jiko na choo inapangishwa maeneo ya tabata kisukulu. Ni 3km ukitokea Mandela Road EPZA ama TFDA office ubungo external. 1. Nyumba ipo ndani ya fence na kuna geti. Parking ipo ya gari ndogo 2. Umeme na maji inajitegemea 3. Vyumba...
  19. JamiiForums Tanzania Biteko: EWURA zingatia maslahi ya Watanzania na maslahi ya nchi katika kazi za Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji

    EWURA ZINGATIENI MASLAHI YA NCHI KATIKA SHUGHULI ZA UDHIBITI WA MAFUTA NA MAJI -DKT. BITEKO ✔️ Awapongeza kwa kushusha gharama za uagizaji mafuta ✔️ Asisitiza EWURA kudhibiti vitendo vya urasimu na rushwa mahali pa kazi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…