majeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania NMB yakabidhi jezi kwaajili ya michezo ya Majeshi

    Benki ya NMB imekabidhi jezi kwa Baraza la Michezo kwa Majeshi Tanzania kwajili ya mashindano yatakayotimua vumbi kuanzia Julai mpaka August mwaka huu. Jezi 154 kwa Football Jezi 84 kwa Basketball Track suit 32 Tshirt 250 Vifaa hivyo vyenye thamani ya Milioni 16 vitasaidia ufanyikaji wa...
  2. E

    JamiiForums Tanzania KUMEKUCHA!! Kongo DRC Majeshi ya SADC kuwaangamiza M23

    Jumuiya ya Maendeleo ya nchini za Kusini mwa Afrika (SADC), imetangaza kuwa vikosi vyake nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo vitafanya mashambulizi, kwa ushirikiano na vikosi vya serikali, ili "kuwamaliza waasi wa M23 na kurejesha amani na usalama." SADC ilitangaza hayo katika taarifa yake...
  3. JamiiForums Tanzania Endeleeni tu Kujidanganya na Jeshi lenu kuwa ndiyo Bora wakati wenye Majeshi bora, imara na hatari Afrika wala hawajisifu ila Wanakubalika na Kazi yao

    UPDF trains 177 Guinea Bissau soldiers in VIP and special operations tactics A total of 177 trainees from Guinea-Bissau, who underwent training in the Very Important Persons and Special Operations Tactics Course, passed out today at the Special Mission Training Centre in Butiaba, Bulisa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Msije kushangaa mwaka 2030 tukawa na CDF Mwanamke

    Rais Samia amesema amefurahi kuona kikosi cha Bendera katika gwaride la Muungano kikiwa na askari wa kike Rais Samia amesema huo ni Mwanzo na msije shangaa 2030 tukawa na CDF Mwanamke Source: TBC
  5. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi wa Kenya alitaka azikwe bila Jeneza na asicheleweshwe kuzikwa

    Mkuu wa majeshi Kenya,alitaka azikwe bila jeneza na asicheleweshwe kuzikwa ili kupunguza gharama za mazishi,japo yeye ni mkristo.
  6. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi ya Israel akiri kushindwa na Hamas

    Allahu Akbar. Mkuu wa majeshi ya Israel kwa kauli yake mwenyewe, amekiri kushindwa vita na Hamas. Israel imethibitisha kuwa imeshindwa kufikia malengo yake ya vita katika Ukanda wa Gaza wakati waasi wa IDF wakijiondoa kutoka sehemu kubwa ya eneo la Palestina baada ya mapigano ya miezi kadhaa...
  7. JamiiForums Tanzania Israel yarudisha majeshi nyuma kutoka Rafah na katikati ya Gaza. Hii ina maana gani

    Ikiwa ni miezi sita kamili tangu vita vianze baina ya Hamas na Israel,na baada ya vifo vingi vya raia na askari wa Israel,na baada ya Israel kuwaudhi washirika wake, hatimae leo jeshi hilo limeamua kurudisha nyuma vikosi vyake kutoka kusini ya Gaza na Rafah. Baadhi ya taarifa zinaeleza kuwa...
  8. P

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni amteua mwanae Muhoozi Kainerugaba kuwa CDF

    Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amemteua Mtoto wake Jenerali Muhoozi Kainerugaba kuwa Mkuu mpya wa Majeshi (CDF) Nchini Uganda akichukua nafasi ya Jenerali Wilson Mbasu Mbadi ambaye ameteuliwa kuwa Waziri anayehusika na masuala ya biashara kwenye mabadiliko mapya aliyofanya katika Baraza la...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Marekani, Irani na Urusi wafanya mazoezi ya pamoja ya majeshi ya baharini

    Sisi mashabiki tunadhani wenzetu wanawaza kupigana tu, kumbe sometimes wanakaa pamoja na kufanya vitu pamoja. Mwezi february mwaka huu majeshi ya marekani, urusi na Iran yalifanya mazoezi ya pamoja katika bahari ya hindi. Mazoezi hayo yalikuwa hosted na India. Unaweza kupata taarifa hizo...
  10. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini yapendekeza nchi zitoe majeshi yatumike kuvusha misaada Rafah watu wasiendelee kufa

    Bi Naledi Pandor, Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Afrika Kusini ameshangazwa na matumizi ya maneno pekee kutaka misaada ifikishwe Gaza bila vitendo huku watu wakidondoka mitaani kwa njaa. Amesema wale wale wanaipa Israel silaha iendeleze maangamizi ya Wapalestina kama hawana...
  11. JamiiForums Tanzania Ama M23 wataiteka Goma au majeshi ya SADC yataingia Ikulu Kigali

    Hapa itatokea moja kati ya hayo mawili. M 23 wakishindwa kuiteka Sake na Goma,jeshi la SADC litakwenda Ikulu Kigali. Mpaka sasa jeshi la SADC ndio lina nafasi nzuri ya kushinda. Lina uwezo mkubwa,pia linasaidiwa na Urusi. Mambo wanayofanya M 23 siyo Democratic,kwa hiyo nadhani Warusi...
  12. JamiiForums Tanzania Majeshi yangu bora ya Afrika 2024

    Ni kazi kubwa sana kupima uwezo wa kijeshi wa nchi, kuna vigezo vingi hutumika na pengine kwa malengo tofauti. Kuna vyanzo ranking huzingatia namba kwamba idadi ya zana na wanajeshi, hii ni rahisi kufanya na hutumiwa pale mtu asipotaka mambo mengi ila sio sahihi. Hakuna ranking inayoweza kutoa...
  13. JamiiForums Tanzania Tofauti ya majeshi yetu yana maoni gani juu ya utofauti wa sare

    Ni ipi sababu inayofanya sare za polisi na majesh mengine ya wizara ya mambo ya ndani hayavai sare zenye rangi ya mabaka kama sare za jeshi la jwtz, na wakati kiprotoko yote ni majeshi kama majeshi mengine, kwa wenzetu kenya majeshi yao yote yanavaa sare za kijeshi zenye mabaka mabaka tofauti ni...
  14. JamiiForums Tanzania Nini majukumu ya majeshi ya Zanzibar?

    Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984, imeyatambua "majeshi" ya Zanzibar kama Idara Maalum. Idara Maalum inajumuisha: (A). Jeshi la Kujenga Taifa - JKU (B). Kikosi Maalum cha Kumzuia Magendo - KMKM (C). Chuo cha Mafunzo Nafikiri, Chuo cha mafunzo ni mbadala wa Jeshi la Magereza. Vikosi...
  15. JamiiForums Tanzania Kauli Tata ya Mkuu wa Majeshi kwa Wakimbizi

    Kauli ya CDF, mkuu wa majeshi Gen Jacob John Mkunda, kwamba kuna wakimbizi wamepewa nafasi nyeti serikalini naona ni kauli dhaifu na inawachafua zaidi wao kama walinzi namba moja wa mipaka ya nchi. Inamaana jeshi limeshindwa kazi ya kulinda mipaka ya nchi? Wakimbizi wakishakua raia by...
  16. JamiiForums Tanzania Kauli ya Mkuu wa Majeshi kwa Rais ni ONYO, Turejee hii

    Nikiri wazi kutoka sakafu ya moyo wangu, nimefurahi sana kilio changu na kampeni yangu ya miaka mingi kuona leo imejibiwa na Mkuu wa Majeshi nchini. Nilionya kuwa nchi yetu tumeingiliwa, tunahujumiwa tena vya kutosha. Nakumbuka 22 December 2019 niliandika makala hii hapa chini nikitilia mashaka...
  17. U

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchambuzi wa Tamko la RC Chalamila: Watawala kutumia majeshi kizembe na kiholela ni jaribio la kujipindua!

    Maswali muhimu kujiuliza na utakayoyatumia kama msingi wa majadiliano katika mada hii: 1. Kikatiba Mkuu wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na usalama anaweza kukasimu mamlaka yake ya kutoa amri au maelekezo kwa majeshi yetu ya Ulinzi na usalama kwa mtu mwingine ili kufanya...
  18. JamiiForums Tanzania Kuuliza si ujinga, Tanzania tuna Amiri Jeshi wakuu wangapi? Je Chalamira ana mamlaka Kwa Majeshi ya ulinzi na usalama?

    Kuna haja ya CDF kutoka hadharani na kukataa kudharauliwa kiasi hiki kwamba Leo hii mkuu wa mkoa anaweza kumuamuru CDF? hii mliwahi kuona wapi? Jeshi la Misri linajitambuwa, lilikataa Amri kutoka Kwa Amiri Jeshi wao Hosni Mubarak na kusimama na wananchi, leo Tanzania anatoka Mlevi mmoja wa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini Chalamila ameamua kutumia madhabau kutoa kauli ya kuyataka majeshi yafanye usafi 23-24/01/2024?

    Tusaidiane wananzengo, ilikuwa sahihi kwa Chalamila kusimama kanisani na kutoa tangazo la kisiasa kanisani? Anatamka mbele ya kanisa kwamba askari polisi 5000 watakuwa barabarani, anawaleta barabarani wanajeshi 8000 nk kufanya usafi muda mfupi baada ya Mbowe kusema kutakuwa na maandamano...
  20. JamiiForums Tanzania Inatia wasiwasi na kuumiza sana kuona Majeshi yetu yanavyotumika Kisiasa

    Yaani baada ya CHADEMA kutangaza maandamano kuanzia Januari 24 ghafla Mkuu wa Mkoa wa Dar anaibuka eti Majeshi yatakuwa yanafanya usafi katika jiji la Dar. Yote hii ni kutisha Wapinzani wasitumie haki yao ya kikatiba kwa uhuru.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…