majeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kifaru Cha Uingereza CHALLENGER 2 chaungana na vile vya ujerumani LEOPORDS 2 kuchomwa moto na majeshi ya Urusi: ABRAHAMS cha USA kitafuata mkondo!

    Putin alipowaambia waingereza walipokuwa wanajidai kupeleka vifaru vyao wanavyoviamini nchini ukraine kuwa na vyenyewe vitaungua hakua anatania. Kilipopelekwa tu kimoja uwanja wa mbele kupima kina cha maji, hakikurudi!! British Challenger 2 tank 'hit' in Ukraine By Thomas Spencer & Alex...
  2. President of China

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa Jeshi la Tanzania (JWTZ) Kulinganisha na majeshi mengine duniani

    Kutokana na taarifa rasmi za JWTZ kwamba jeshi letu ni la 6 kwa ubora duniani. Katika uzi huu nitajikita katika kuchambua kwa kina uwezo wa majeshi mengine hapa duniani. Nitatumia statistics zilizopo kwenye mitandao mbalimbali na kuonesha picha za vifaa vinavyotumika. Nitajikita zaidi katika...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania JWTZ: Jeshi letu ni kati ya Majeshi 6 Bora duniani

  4. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Amtembelea Mkuu wa Majeshi wa Kwanza Mstaafu, Jenerali Mrisho Sarakikya, Nyumbani Kwake Arusha

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na Mkuu wa Majeshi wa kwanza Mstaafu Jenerali Mrisho S. Sarakikya wakati alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Nkoaranga Wilaya ya Arumeru Arusha tarehe 20 Agosti, 2023.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tuelimishane: Mapinduzi ya kijeshi hupangwa na kufanyika vipi ili hali majeshi huwa na vikosi vingi tena sehemu tofautitofautoi za nchi?

    Wote ni mashuhuda wa taarifa za mapinduzi ya kijeshi sehemu mbalimbali duniani hasa Afrika kwa nyakati za sasa. Binafsi nimekuwa najiuliza haya mapinduzi huwa yanafanyikaje ili hali Jeshi huwa lina askari wengi tena katika sehemu mbalimbali za nchi. Kwa mfano, kikosi au vikosi katika mji mkuu...
  6. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lapiga marufuku watu kuvaa nguo zinazofanana na Majeshi ya Ulinzi na Usalama

    Jeshi la Polisi Tanzania limepiga marufuku uvaaji wa nguo zinazofanana na majeshi ya ulinzi na usalama kwa watu binafsi. Atakayekiuka atachukuliwa hatua kali za kisheria kwa kufikishwa mahakamani mara moja.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wahenga hawakukosea, tamaa mbele mauti nyuma: Huyu boss wa Wagner alipewa tenda yote kulisha majeshi ya Urusi, bado hakutosheka!!

    Fikiria jamaa alikuwa anapata mabilioni mangapi kwa kupewa tenda ya kulisha majeshi yote ya Urusi!! Lakini bado akawa hajaridhika na kuwa na bifu na waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wanaoidhinisha tenda yake!! Bila shaka alitamani yeye ndio awe top kwenye jeshi la Urusi!! Sasa atakula jeuri...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa upandaji vyeo kwenye majeshi ya Wizara ya Mambo ya Ndani utawafanya watumishi walogane kwa kweli. Nimecheka sana

    Kuna miamba imekunjwa bia hapa Mwenge imekaa inajadili mambo ya kijeshi....miamba hii inaongea kwa uchungu hadi natamani kuwarekodi wanavyopayuka kuhusu dhulma za upandishwaji vyeo wizara ya mambo ya ndani. Washenzi wanajitia kumsaidia uchaguzi JPM lakini akakataa wasipandishwe vyeo na sasa...
  9. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Hatimae Putin aweka makubaliano yake na Zelesky wazi hadi aliamua kuondosha majeshi yake Kiev

    Raisi Putin asema alishakubaliana rasmi na Ukraine kumaliza Vita baada ya Ukraine kukubali kuwa nchi huru bila NATO na aliahidi ulinzi dhidi ya Ukraine in future ila aliomba uwe mkataba wa siri lakini Ukraine ikawageuka tena tizama huu mkataba aliwaambia Maraisi wa Africa... so ndio maana...
  10. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Majeshi yetu yana Maoni gani kwenye Sakata la Bandari?

    Tupo katika kipindi ambacho ugaidi unakua na kusambaa na kushika taswira ya janga la kidunia. Ni dhahiri kuwa ubinafsishwaji wa bandari unaweza kuwa na athari za Kiulinzi na za kiusalama kwa nchi yetu kwani itapunguza mamlaka za bandari hivyo hata uwezo wa ukaguzi wa shehena huwenda utapunguwa...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania DR-Congo: Tunataka maelezo kwa Majeshi yaliyoua raia wetu 10 jijini Khartoum

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeitaka Serikali ya Sudan kutoa maelezo kuhusu shambulio hilo lililofanywa katika eneo linalokaliwa na Wananchi wasio na Silaha ikiwemo raia wa kigeni kutoka mataifa mengine na kusababisha majeruhi. Waziri wa Mambo ya Nje, Christophe...
  12. MK254

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wagner asema wakuu wa majeshi ya Urusi wafunguliwe mashtaka kwa ukiukwaji wa haki za kibinadamu

    Sijaelewa nini huyu mzee anachokitafuta, amesema wakuu wa majeshi ya Urusi waliokiuka haki za kibinadamu wakamatwe wote. Alitoroka mapambano, kila siku anatoa matamko. === Russia's most powerful mercenary, Yevgeny Prigozhin, said on Wednesday that he had asked prosecutors to investigate...
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kuna upendeleo maalum wa wazanzibari kupendelewa katika vyeo?

    Na hapa tunaangalia zaidi Jeshini. Niliwahi sikia stori mzanzibari si mwenzako mnapomaliza mafunzo JKT, wewe mtu wa bara uliezaliwa na kukulia hapa bara utaenda JKT na kujitolea hata miaka lakini mwisho wa siku utaambiwa umeiva sasa urudi kwenu kuendelea na shughuli zingine, Ila wazaznibari...
  14. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuna upendeleo wa kuwaingiza wazanzibari kwenye majeshi pindi wamalizapo mafunzo JKT na huko kwenye majeshi hupewa vyeo vyenye hadhi ?

    >> MOVED / IMEHAMISHWA >>
  15. Fanfa

    JamiiForums Tanzania Ni kweli majeshi ya NATO yako Ukraine na Silaha za NATO zinatumika Ukraine?

    Tangu majeshi ya Russia yavamie Ukraine kumekuwa na tuhuma nyingi kutoka kwa Putin na Pro Russia kuwa majeshi ya NATO yamepelekwa Ukraine kupigana. Tuhuma hizo zimeenda mbali zaidi na kusema kuwa NATO inapeleka vifaa vyake vya kivita Ukraine. Rais Putin kila anapoongea na taifa amekuwa akidai...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tanzania imekuwa na Wakuu wa Majeshi wengi kwanini waliopewa Magari na Rais ni Waitara na Mboma tu?

    Najiandaa kwenda Msibani ( Mazikoni ) Kijijini Busegwe Mkoani Mara ( Musoma ) kumzika Mzee Mkono na nitapita Kumsalimia na Babu yangu Mzee David Bugozi Musuguri ( Mkuu wa Majeshi Mstaafu ) hivyo naomba nikifika Kwake Butiama nikute nae kapewa Land Cruiser LC 300 Jipya kama walilopewa CDF...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Waziri Innocent Bashungwa awakabidhi Wakuu wa Majeshi Wastaafu Land Cruiser LC300 mpya

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa amewakabidhi magari mapya Wakuu wa Majeshi Wastaafu kwa maelekezo ya Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Wakuu wa Majeshi Wastaafu waliokabidhiwa magari ni CDF Mstaafu George Waitara na Robert Mboma na makabidhiano...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Je, mpaka sasa Majeshi yaliyo Wizara ya Mambo ya Ndani hayajapata mshahara?

    Makamanda wananipiga chenga hawataki kulipa madeni yangu wanasema hawajapata mshahara mpaka Jana jioni wqkati watumishi wengine tiyari wamenipa changu. Mbona hii hali si kawaida au wameamua kunitapeli?
  19. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania Mbabe wa vita Zelensky atembelea majeshi ya mstari wa mbele Donetsk

    Mbabe wa vita kwa karne yetu Volodymyr Zelenskyy ametembelea wanajeshi walio mstari wa mbele na kutoa nishati kwa wanajeshi wasiokata tamaa kulinda nchi yao kwa gharama hata kama ni maisha yao. =========================== Zelenskyy visits troops on Donetsk front line Zelenskyy has visited...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Video: Mkuu wa Majeshi Mstaafu Tanzania, Jenerali Mabeyo aonekana akiwa na Papa Francis

    CDF mstaafu General Venance Mabeyo ameonekana ktk video clip iliyosambaa mitandaoni toka juzi aliwa Kanisa la Mt Petro akishiriki shuguli kadhaa za Kikanisa Nchini Vatican. Pamoja naye anaonekana na baadhi ya Maaskofu kutoka Tanzania na masister Haijafahamika zaidi ni shughuli gani lakini...
Back
Top Bottom