majeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania Bunge la Afrika Kusini, lamhoji waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi kilichowapeleka wanajeshi wa nchi hiyo DRC

    "IT IS NOT A PEACEKEEPING MISSION, IT IS AN OFFENSIVE MISSION". Wabunge wa Afrika Kusini walipokuwa wakiongea na waziri wa ulinzi na mkuu wa jeshi la South Afrika, wameonekana kutofurahia kitendo cha badhi ya watu kuamuwa wenyewe kupeleka wanajeshi nchini DRC, kwa kisingizio cha kulinda amani...
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Rekodi mpya: Majeshi 15 makubwa zaidi barani Afrika 2025

    Je! Unajua kuwa Misri ni moja ya majeshi 15 yenye nguvu zaidi ulimwenguni? Jeshi la Misri ni kubwa Mara 3-4 kuliko jeshi la Afrika Kusini 🇿🇦. 1. Misri 🇪🇬 2. Algeria 🇩🇿 3. Nigeria 🇳🇬 4. Afrika Kusini 🇿🇦 5. Ethiopia 🇪🇹 6. Angola 🇦🇴 7. Moroko 🇲🇦 8. DR Congo 🇨🇩 9. Sudan 🇸🇩 10. Libya 🇱🇾 11.Tunisia...
  3. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Majeshi ya Nchi 30 yenye nguvu Barani Africa

    Sijajua vimetumika vigezo gani. Lakini nadhani TZ ilipaswa iwe ya kwanza au angalau kwenye 3 bora.
  4. Ritz

    JamiiForums Tanzania IDF Chief of Staff, Herzi Halevi atangaza kuwa atajiuzulu Machi 6, kwa kuwajibika kutokana na shambulio la Hamas la October 7

    Wanaukumbi. Mkuu wa Wafanyakazi wa IDF Lt. Jenerali Herzi Halevi amemjulisha Waziri wa Ulinzi Israel Katz kwamba anakusudia kujiuzulu mnamo Machi 6. Katika taarifa, Halevi anasema anaondoka jeshini baada ya "kutambua wajibu wangu kwa kushindwa kwa IDF mnamo Oktoba 7, na katika wakati ambapo...
  5. S

    JamiiForums Tanzania USA yalalamika kuwa ushiriki wa majeshi ya Kim vitani Ukraine unayafanya majeshi hayo kuwa hatari zaidi kwa Japan, South Korea na Marekani

    Kwa kawaida adui yako ukiwa wamfyeka vitani ni furaha kwako. Cha kushangaza South Korea na Ukraine wamekuwa wakilalamika kuwa wanaajeshi wa North Korea (adui yao) wanaopigana vita upande wa Urusi dhidi ya Ukraine wamekuwa wakifyekwa kwa makumi elfu! Wakati propaganda hizo zikiendelea, North...
  6. Ritz

    JamiiForums Tanzania Hamas imesema imeidhinisha orodha ya mateka 34 wa Israel kwa makubaliano Israel waondoe majeshi yao Gaza.

    Wanaukumbi. CAIRO, Jan 5 (Reuters) - Palestinian militant group Hamas has approved a list of 34 hostages presented by Israel to be exchanged in a possible ceasefire deal, a group official told Reuters on Sunday. The official, who spoke on condition of anonymity because of the sensitivity of the...
  7. ministrant

    JamiiForums Tanzania Waandaaji wa pambano la knock out ya mama mlipaswa kutumia brass band za majeshi yetu (TPDF, JKT, polisi au magereza) katika kupiga nyimbo za taifa

    Nimeshangazwa kuona waandaaji wa pambano hili ambalo linatazamwa Kimataifa na lina Jina la Mkuu wa nchi huku mgeni rasmi akiwa ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa well organized katika kuhakikisha nyimbo za Taifa zinapigwa katika ubora unaostahili badala ya kutumia recorded...
  8. Tman900

    JamiiForums Tanzania CDF Mstaafu Mabeyo ameweka alama kwa Majeshi ya Afrika

    Kwa mtazamo wangu mkuu wa Majeshi, aliepita ( Mabeyo).ameweka Alama au histolia kwa Majeshi ya Afrika, ninachowaza ni kua ameacha Alama na Elimu kwa Majeshi mengine ya Afrika. Na hili nimeliwaza baada ya Rais kufa,Mkuu wa Majeshi alikua imara kusimamia majukumu yake hiki ndicho, Mimi nimewaza...
  9. Cannabis

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Sikumuogopa Magufuli aliyekuwa na majeshi na silaha mpaka za kuua, sasa nimuogope Lissu kwa lipi?

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman A. Mbowe amesema hamuogopi Lissu ambaye anagombea nafasi ya kuwa mwenyekiti wa chama hicho. Amesema hakumuogopa Magufuli aliyekuwa na majeshi na dhamira ya kuua amesema Lissu hana cha kumtisha. Anasema Lissu ni kuongozi mwenzake na wamepitia mengi, hawawezi...
  10. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Timu za majeshi kwa yanga wanapokea amri hakuna cha ajabu yanga kushinda!

    Hizi timu za majeshi wakicheza na yanga wanakwenda kukamilisha matokeo tu uwanjani maana magoli waliofungwa mashujaa wenye akili wanajua magoli ya mchongo! Magoli rahisi sana!
  11. kante mp2025

    JamiiForums Tanzania Kikomo cha umri kuomba ajira za majeshi kama uhamiaji kiongezwe

    Naandika nikiwa na majonzi mengi sana mimi ni kijana wa miaka 27 jobless ambae napambana na natamani kubadili maisha yangu ila hivi vigezo vya ajira kwa kigezo cha umri vinatukosesha sana ajira sisi wagonga ulimbo ni kwa mara nyingine tena mfumo wa wa ajira portal uhamiaji umenitema kisa umri wangu.
  12. State Propaganda

    JamiiForums Tanzania Imebainika: NATO wanataka kumhadaa Putin kukubali kusitisha mapigano na kisha kugawana Ukraine kwa kutumia mwamvuli wa kupeleka majeshi ya kulinda ama

    Majasusi wa Urusi wamebaini mpango wa siri unaosukwa na mataifa ya Magharibi yanayopanga ku "freez" mzozo kwa a fake "cease fire deal"na kisha kutumia muda huo kisha kupeleka majeshi yake ya kulinda amani ambayo lengo lake kuu ni: 1) Kugawana maeneo ya Ukraine kimkakati 2)Kulipa msaada wa...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Inaogofya sana kuona hakuna mtu wala taasisi inayokemea dhulma katika uchaguzi

    Kwa jicho la kichawa unaweza kufurahia yanayoendelea, lakini kiukweli upendo, umoja na mshikamano wa watanzania vinadhoofu kila siku. Historia itakuja kutuhukumu kwa kutochukua hatua stahiki. Ukimya na kutochukua hatua kwa:- 1. Watu wanaotekwa, wanaopotea na kuuawa. 2. Ubakwaji wa demokrasia wa...
  14. chiembe

    JamiiForums Tanzania TBC wanaandika Jenerali Musuguri alizaliwa 1920, Mkuu wa Majeshi ameandika katika taarifa rasmi, kwamba Musuguri alizaliwa 1925. TBC mjirekebishe

    Wahariri wa TBC siwaelewi, wana access ya Mkuu wa Majeshi, Msemaji wa Jeshi, lakini bado wanakosea. Hata katika taarifa ya habari ya saa moja usiku wa leo, habari inahusu Mkoa wa Mwanza, caption imeandikwa Kigoma. Anyway, kwa tuliosoma Kyuba, pale palipoandikwa marehemu "ameacha familia"...
  15. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Mazen Ahmad Mkuu wa Police wa Hamas, Auawa na Majeshi ya Israel

    Ninayo huzuni kutangaza kifo cha Mazen Ahmad ambaye ni Mkuu wa Polisi wa Hamas. Mina la faadhina Rajuun. Tumwombee asipunjwe thwawabu zake peponi. Amina. Webabu Ritz FaizaFoxy Adiosamigo na kimsboy
  16. econonist

    JamiiForums Tanzania Majeshi ya Korea kaskazini yaingia kuisaidia urusi kwenye vita

    Kwa taarifa ya Sasa ni kwamba jeshi la Korea Kaskazini likiwa na Idadi ya wanajeshi 3000, limeingia Urusi tayari kupigana vita na Ukraine. Kitendo hiki Cha Korea Kaskazini kitapelekea nchi zingine kuingia upande wa Ukraine hivyo kurefusha vita hivi na kuvifanya vita vya tatu vya Dunia .
  17. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Majeshi ya DRC Yaurudisha Mji wa Kalembe Serikalini Baada ya Kuwapiga M23

    Hizi ni habari kutoka Mashariki ya DRC. Huo mji ulikuwa chini ya vikundi vya wanamgambo wa M23 wanaosaidiwa na Serikali ya Rwanda
  18. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Esmail Qaani; Kamanda wa Majeshi ya Iran Ambaye Ametoweka, Yasemekana Alikuwa Mossad Agent

    Esmail Qaani ni kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) la Iran, hasa tawi la Vikosi vya Quds, ambalo linahusika na operesheni za kijeshi nje ya Iran. Aliteuliwa kuwa kamanda wa Vikosi vya Quds mnamo Januari 2020 baada ya kifo cha Qasem Soleimani, aliyekuwa kamanda wa vikosi...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Netanyahu asema umoja wa mataifa lazima iondoe haraka majeshi yake Lebanon, asema uwepo wao unasaidia kuimarisha magaidi ya Hezbollah

    Wadau hamjamboni nyote? Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyau ameicharikia UN na kuitaka iondoe mara moja majeshi yake Lebanon akiashiria yamekuwa kikwazo kwenye operesheni za kijeshi dhidi ya magaidi hao. Netanyahu amemueleza Antonio Guterres Katibu Mkuu wa umoja wa mataifa katika ujumbe wa...
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa majeshi wa Uganda, Gen. Muhoozi Kainerugaba, anapanda mbegu gani kisiasa na anatoa ujumbe gani kwa demokrasia ya Afrika Mashariki?

    C&P Mkuu wa Majeshi wa Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ametangaza rasmi kuwa hatagombea urais katika uchaguzi wa mwaka 2026, isipokuwa ataelekeza nguvu zake jeshini huku akimuunga mkono baba yake, Rais Yoweri Museveni, ambaye anatarajiwa kugombea tena urais mwaka huo. Kupitia akaunti yake...
Back
Top Bottom