Habari za Jioni ndugu zangu wote!
Nimekuja na ID mpya kwa sababu nayotumia nadhani imekuwa maarufu sana hapa na ni ya siku nyingi.
Naanza maisha mapya sasa, nimeshaamua na nimeshamaliza ujana nina miaka 34 sasa, nina mtoto wa kiume miaka 9 sasa, nimekuwa na uzoefu wa familia sababu mimi ni...