maisha

  1. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Umetimiza ndoto zako?

    Nakumbuka nilipokuwa form 2 nilianza kupenda sana majibizano na wenzangu kuhusu siasa, yaani ilitokea napenda sana kukosoa serikali kwa kuwa ndiyo kitu simple sana kuliko kusifia sababu ni kwamba toka tunavyopata uhuru fikra zetu zimejengwa kuwa Wazungu(watawala) ni wanyonyaji na wabaya sana...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Pochi tatu za kugawa mshahara wako ili kuweka mipango ya maisha

    Kipato cha walio wengi ni mshahara, hata kama unafanya biashara ni muhimu kujiwekea mshahara wako, hii itakusidia kuiheshimu faida na kutokuigusa. Matumizi ya muhimu katika mshahara ni chakula, kodi ya nyumba na usafiri. Haya yanatakiwa kutolewa katika mshahara kabla hujapanga mipango yeyote...
  3. Mkanganyiko kukanganya

    JamiiForums Tanzania Maisha ya ufungwani/ mahabusu ni machungu ndugu zanguni

    Maisha ya mahabusu/ mfungwa ni magumu na mabaya ila siyo kwa ubaya ule unaovumishwa mitaani kwamba kule kuna Kupigwa na wababe Kunyang'anywa chakula Kuteswa Kubakwa n.k ni hapana Maisha yanaenda kawaida ikiwa kwa upande wa burudani Television ipo Draft/bao lipo Mpira wa miguu upo "Kwaya kwa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Maisha yananigonga

    Nafikiria njia mpya za kujikwamua wenye mawazo chanya tupeane michongo ,Mungu ni mkubwa
  5. big soap

    JamiiForums Tanzania Ukweli unaochukiwa kutokana na tamaa au maisha ya kujiziuka

    Tupeane pole kwa mihangaiko na harakati za kimaisha wote me na ke. 1. Wanawake kuvaa nguo vupi au zenye kubana na kuonyesha maumbile. nje ya utamaduni, nje ya utamaduni. 2. Kutolegeza mashart ya kuoa au kuolewa, utasikia mahari million kumi "pumbavu" million mbili sijawai kuishika_ 3...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kosa hili la Kiroho limewafanya wakristo wengi kuishi maisha magumu

    Habari, Ukisikiliza nyimbo nyingi za Injili, ukisikiliza maombi ya wakristo wengi au ukisikiliza ibada za shukrani hukosi kusikia neno "Sikustahili." Mtu kapata division one anatoa sadaka huku akilia anasema hakustahili, akiolewa, akioa, akinunua hata pikipiki au gari used mtu husema...
  7. Kijakazi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha haya duh! Raila Odinga kapigwa ban na Mzungu!

    Huyu huyu Raila Odinga aliyekuwa darling wa Mzungu alikuwa kila kukicha yuko Ulaya au USA kuchongea wenzake, Raila Odinga aliyepeleka wenzake The Hague leo hii Mzungu kamgeuka na kapigwa ban kukanyaga Ulaya na USA? Kweli Jew hana rafiki, ipo siku hata hapa kitabadilika tu, ni swala la muda kama...
  8. Yofav

    JamiiForums Tanzania Kwanini nashauriwa nioe?

    Habari wana Jf, Hapa ninapoishi ni mimi pekee ambae sina mke na nilishawahi kuleta uzi hapa ➡️ Thread 'Ninapoishi ni mimi pekee ambae sijaoa' Ninapoishi ni mimi pekee ambae sijaoa Sasa imekuwa kawaida mwenye nyumba kunitania kila siku kwamba nioe (mwenye nyumba wangu ni mtani wangu kikabila)...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda kwa vijana mliojitoa mhanga kutimiza ndoto

    Mimi ni kijana niliekuja Dar mwaka nusu ulopita. Nilikuja Dar baada ya kutoka nje kimasomo. Pamoja na course niliyosoma, mida ya jioni nilisoma skill nyingine nje ya curriculum kwa personal arrangement. Niliweza kuimaster vuzuri kwa kuwa pia iliakisi uwezo wangu tangu utotoni. So baada ya...
  10. mr_stev001

    JamiiForums Tanzania Maisha ni jinsi unavojipanga mwenyewe

    Kuna wale wenzetu ambao huwa wanaomba ushauri juu ya biashara za kufanya😕,na kupewa ushauri mbalimbali lakini kiuhalisia ukiona umewin kupata pesa basi ni kuwa una uwezo wa kuchanganua jinsi utaitumia hiyo pesa. Kama ni biashara angalia una idea gani kwanza, ukiomba ushauri kuna watu...
  11. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Maisha matamu, tongoza anayeonesha dalili za kukuelewa achana na mamba uishi maisha marefu

    Salaam JF, Mwanamke sio sanamu bali ni binadamu, hivyo wanaume acheni uduni wa fikra usijichoshe. Tongoza mwanamke mwenye dalili zote za kuvutiwa na wewe. Kwa uchache tu pokeeni huu ujumbe. Wadiz
  12. Heaven Seeker

    JamiiForums Tanzania Karibu upate ushauri mbalimbali kuhusiana na changamoto za maisha bila malipo

    Heshima kwenu Wakuu. Naam, hii ni fursa ya kubadilishana mawazo hasa kwa wale wenye changamoto za maisha ili ku-share experiences na skills za hapa na pale. Kwahiyo karibu sana na ujisikie huru. Itapendeza iwapo utaelezea kwa undani kidogo changamoto uliyonayo ili iwe rahisi kusaidiwa. Je...
  13. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kwanini Askari Magereza wengi wanaishi maisha magumu?

    Jeshi la Magereza ni kama limesahaulika hivi au ndio mimi sijui? Askari magereza wengi hasa wa vyeo vya chini maisha yao ni duni sana kwanzia kazini mpaka huku uraiani tunapoishi nao. Kwanza wengi wao uniform zao ni zimechakaa na kupauka tofauti sana na majeshi mengine. Pili makazi yao duni...
  14. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Vitu vya kuzingatia katika maisha

    VITU VYA KUZINGATIA KATIKA MAISHA MAISHA YANA VITU 7; 1:- Furaha. 2:- Karaha. 3:- Misukosuko. 4:- Majonzi. 5:- Migogoro. 6:- Mikasa. 7:- Chuki. Haya yote husababishwa na viumbe hai kama mimi na wewe, ili kuyashinda haya yakupasa uwe na mambo 4. 1:- Subira. 2:- Uelewa. 3:-...
  15. Hold on

    JamiiForums Tanzania Unajutia nini katika maisha yako?

    Vipi? Katika maisha yetu ya kila siku tunapitia nyakati tofauti ambazo kwa wakati fulani tunazions sawa kufanya na kwa wakati fulani tunaona sio sawa Leo nimekaa nimekutana na rafiki yangu wa shule ya sekondary nikakumbuka matukio yangu kiukweli yalikuwa ya aibu natamani ata ningeweza...
  16. Yofav

    JamiiForums Tanzania Amini kwamba maisha ni kuchagua

    Oy wakuu habarini, Moja kwa moja kwenye point, Maisha ya hapa duniani ni mafupi mno na hayana raha yoyote kwani ili uishi maisha yanayoeleweka basi itakubidi uchague njia moja kati ya mbili (amini kwamba) Katika njia hizo mbili basi kila moja ina changamoto zake so, wewe ndo utachagua na...
  17. kwenda21

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunafanya kazi ngumu sana ikiwa tunafanya kazi ili tuishi?

    Hivi jamani kama tunafanya kazi ili tuishi, sasa kwanini tunafanya kazi ngumu inayopelekea kutuua? If we work for the living,why do we kill ourself working
  18. L

    JamiiForums Tanzania Ukipewa maisha duniani tambua ya kuwa Mungu amekuamini

    Maisha unayoishi hauishi Kwa bahati nasibu, Mungu amekupa nafasi adhimu, wengine ni wagonjwa,wengine wamejufa lakini wewe upo hai ,una afya njema, huna cancer, huna tatizo la Figo lakini masikini ya Mungu wewe ndiyo unafanya dhambi ya hovyo hovyo, unalawiti au kulawitiwa. Fahamu ya kuwa Kuna...
  19. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Kila mtu ana PhD yake katika maisha yake Sasa Kama ndio hivi. Nina PhD ya kumvumilia jirani yangu mkorofi tangu 1970

    Kama ndio Hali ilivyo ya kujigawia PhD Kama akina Tale Tale ambao nao wanajitambulisha Bungeni eti anajiita Dkt.Tale Tale, Basi Kila mtu ajipe udaktari kwa sababu kila mtu amepitia changamoto na kuvumilia Mambo mengi maishani. Hivyo kila mtu ajiite Dkt Sasa. Mimi naitwa Dkt. Kyambamasimbi Nina...
  20. Mshuza2

    JamiiForums Tanzania Maisha magumu sana jamani

    Jamani huko mliko nyie wenzangu vipi? Huku naona kama kipa katoka, ngoma ngumu sana! Ile milo mitatu kwa siku imekua kwa mbinde sana, hebu fikiria yale mahitaji muhimu ya mwanadamu bado kwetu ni tatizo. Hatuli vizuri, hatuvai vizuri, na mbaya zaidi hatulali pazuri. Kuna kundi kubwa la watu...
Back
Top Bottom