Al nassr
New Member
- Aug 20, 2023
- 1
- 3
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Wakuu siko vizuri kupangilia maandishi naomba mnisamehe kwa hilo.
Mimi ni kijana mwenye miaka 30 nimefanya biashara kama tatu hapa bongo sioni mafanikio biashara ya mwisho nimeachana nayo last month nimeuza vitu kwa hasara nimepata 2M. Nimeamua kwenda kutafuta maisha nje najua humu kuna watu mna exposure na nchi za nje naomba mnishauri ni chi gani naweza kwenda kwa mtaji huo nikafanikiwa?
Nimeifatilia sana nchi ya Zambia hasa mji wa Kitwe nasikia kuna biashara nzuri ya nguo na mabegi, pili nimefatilia South Africa biashara ya Apple nitoe South nikauze Lusaka, Zambia but sijui gharama wala chochote kile ndio maana nimekuja humu mnaojua naomba mnisaidie.
Tatu nimeifatilia kidogo nchi ya South Sudan nasikia kuna biashara nzuri ya chakula kutoa Kampala kupeleka Mji Mkuu wa South Sudan but hii sijaipa priority kubwa kwasababu ya usalama.
Mawazo yenu ni muhimu sana ndugu zangu, pia kama kuna mwenyeji anaweza kunishika mkono kati ya nchi hizo please naomba anisaidie Mungu atambariki.